Posts

Showing posts from 2016

WAUMINI MJINI KIBAHA WATAKIWA KULINDA MAADILI YA KIFAMILIA

Image

WAKAZI MTAA MKOMBOZI MJINI KIBAHA WATULIZWA

Image

DAWATI LA JINSIA JESHI LA POLISI LASAIDIA WATOTO YATIMA

Image

GARI YA MAGEREZA MJINI KIBAHA YAKAMATWA NA NG'OMBE WA WIZI.

Image

WAFUGAJI WATAKA MPANGO WA MATUMIZI BORA YA RDHI

Image

MKUU WA WILAYA BAGAMOYO AAGIZA MKATABA UPITIWE UPYA

Image

JAMII IMETAKIWA KURIPOTI VITENDO VYA UNYANYASAJI KIJINSIA

Image

MKURUGENZI KIKAANGONI KIBAHA

Image

FATHERHOUSE CORNER STUDIO

Image

USHIRIKA WA KILIMO WAFAIDIKA NA UMEME WA REA

Image

MAELFU YA MIFUGO WAFA KUTOKANA NA NJAA

Image

ASKARI FEKI MATATANI KIBAHA

Image

POLISI BANDIA MATATANI KIBAHA.

Image

MAGARI YA ZIMAMOTO KUUNGANISHWA NCHINI

Image

KAMISHNA ZIMAMOTO AKEMEA WIZI UOKOAJI NA ZIMAMOTO PWANI

Image

MWANAFUNZI AGONGWA AKIENDA SHULE

Image

RAIS MAGUFULI ANAZIDI KUOMBEWA MAKANISANI

Image

MAPATO YALETA KIZAAZAA BAGAMOYO

Image

WIZARA YA KILIMO MIFUGO NA UVUVI IYASITISHA KUPIGA CHAPA MIFUGO PWANI.

Image

TAWI LA YANGA KIBAHA KWA MFIPA LAMUUNGA MKONO MANJI.

Image

MABANGO YAANIKIZA MKUTANO WA MKUU WA MKOA PWANI

Image

MIUNDOMBINU SHULE ZA MSINGI MJINI KIBAHA IPO HOI.

Image

WANANCHI WAJITOLEA KUCHIMBWA BWAWA BAGAMOYO

Image

MUHTASARI WAZUA SINTOFAHAMU RUVU DARAJANI BAGAMOYO

Image

BARABARA ZA KULIPIA KUJENGWA NCHINI

Image

BARABARA ZA KULIPIA KUJENGWA NCHINI

Image

HUKUMU KESI YA WALIOKUWA WAFANYAKAZI HALMASHAURI YA MJI KIBAHA.

Image

MWANAMKE AKAMATWA AKITOA MAFUNZO YA KIGAIDI KWA WATOTO BAGAMOYO

Ben Komba/Pwani-Tanzania/06/10/2016 06:04:43 Jeshi la Polisi katika mkoa wa Pwani linamshikilia mwananchi mmoja mkazi wa eneo la Kimarang’ombe Kata ya Nianjema, Tarafa ya Mwambao Wilaya ya Bagamoyo kwa kosa kutoa mafunzo yanayohusiana na uhalifu  kwa watoto  wadogo. Taarifa ya Jeshi la Polisi iliyotolewa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, BOINVENTURE MUSHONGI imemtaja BIBI.ASHURA SAID ambaye ni Mwalimu wa madrassa ya Al rahma alinasa katika mtego wa Polisi kufuatia taarifa ambazo walipata kutoka kwa wananchi juu ya vitendo vyake  vya kuwapa kasumba ya chuki watoto hao. Kamanda MUSHONGI ameongeza baada ya kupata taarifa hizo Polisi walifanya uvamizi wa kustukiza na kumpekua mtuhumiwa huyo na kufanikiwa kumkuta na bomu moja la moshi lenye namba G2020C SS-STCS katika makazi yake. Amebainisha kuwa uchunguzi wa awali unaonyesha makazi hayo ambayo BIBI.ASHURA SAID alikuwa anaishi ni mali ya Taasisi ya kiislamuya AKHA LAAGUL ISLAM ambayo imesajiliwa kwa lengo la utoaji wa hu

WANANCHI WAFUNGA OFISI YA MWENYEKITI MTAA

Image

HATIMAYE WAKULIMA KUFAIDIKA NA HUDUMA YA UMEME CHAURU

Image

WAFUGAJI PWANI KATIKA HOFU KUBWA.

Image

UTEKELEZAJI WA KUHAMA KABLA YA BOMOABOMOA KUANZA KIBAHA

Image

WAFUGAJI WALALAMIKA KUNYANYASWA NA SERIKALI BAGAMOYO

Image

MICHAEL DADA

Image
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI JESHI LA POLISI TANZANIA TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Ndugu wanahabari, Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani linapenda kuuthibitishia umma juu ya kifo cha Michael William maarufu kama Michael dada aliyeuwawa na wananchi waliojichukulia sheria mkononi. Ndugu wanahabari, Michael William alikutwa na umauti mnamo tarehe 15/09/2016 majira ya saa 16:00 alasiri kufuatia kushambuliwa maeneo mbalimbali ya mwili wake na wananchi waliojichukulia sheria mkononi kwa kisingizio cha hasira kali kufuatia kudaiwa kuwateka watoto wawili. Ndugu wanahabari, marehemu aliwateka nyara watoto wawili Furaha Justine 11 mwanafunzi wa darasa la 4 shule ya msingi Kibaha na Brigita Mashaka 6 mwanafunzi wa chekechea ya Mama Kawili  ambao walikuwa wakicheza rede mtaani kwao karibu na Bar ya Lekashingo Kata ya Picha ya Ndege Wilaya ya Kibaha kwa kuwarubuni wampeleke mtaa wa Lulanzi kwenda kuchukua mizigo yake huko na alikuwa hapafahamu. Watoto hao walimkuba

HATIMAYE MICHAEL DADA AUWAWA NA WANANCHI WENYE HASIRA

Image

HATIMAYE MICHAEL DADA AUWAWA NA WANANCHI WENYE HASIRA

Image

KANISA LAUNGA MKONO JUHUDI ZA RAIS MAGUFULI

Image

JESHI LA WANANCHI LA TANZANIA WATOA MADAWATI 200

Image

MOTO WAENDELEA KUTESA

Image

PATA TAFSIRI YA IDD EL HAJ KUTOKA KWA USTAADH LIPAMBILA

Image

WAFUGAJI WAPANIA KUENDELEZA UTUNZAJI WA MAZINGIRA

Image

SAKASAKA YA DARAJA YAKARIBIA KUZAA MATUNDA KATA PANGANI

Image

MSD YALALAMIKIWA UKOSEFU WA MADAWA PWANI.

Image

BOHARI YA MADAWA LAWAMANI

Ben Komba/Pwani-Tanzania/09/09/2016 19:37:11 Bohari ya madawa nchini imelalamikiwa kwa kushindwa kukidhi mahitaji ya halmashauri zilizopo katika Mkoa wa Pwani kutokana na dawa kuagizwa na matokeo yake kupata madawa kiduchu. Akizungumza katika kikao cha Baraza la ushauri la mkoa, Mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Kibaha BI.TATU SELEMAN amesema wamekuwa wakiagiza dawa kama utaratibu unavyoelekeza lakini badala ya kupata walichoagiza wanapata pungufu ya mahitaji. Ametoa mfano unaweza kuagiza dawa za shilingi milioni 9 lakini wao wanakupa madawa ya shilingi milioni 2 na hivyo kuwalazimu wahitaji kuanza zoezi la ufuatiliji bohari ya dawa. Awali akifungua kikao hicho Mkuu wa mkoa wa Pwani,  Mhandisi EVARIST NDIKILO amesema kuwa kupitia kikao hicho anategemea changamoto mbalimbali ikiwemo migogoro ya ardhi na upungufu wa madawa zitapatiwa ufumbuzi. END.

USHIRIKIANO WA WANANCHI UNAHITAJIKA KUPAMBANA NA UHALIFU

Ben Komba/Pwani-Tanzania/30/08/2016 13:10:17 Kamati ya ulinzi na usalama ya Mkoa wa Pwani imefanya kikao na kamati ya amani ya viongozi wa dini kutathmini hali ya kukosekana kwa amani kunakosababishwa na majambazi ambao wamejichimbia katika wilaya za Mkuranga na Rufiji. Mkuu wa mkoa wa Pwani, MHANDISI EVARIST NDIKILO amesema kuwa mapambano yanaendelea mpaka sasa katika kuhakikisha wanafuta kabisa mtandao huo wa ujambazi ambao umekuwa kitisho kikubwa kwa amani na usalama wa wananchi. BW.NDIKILO amesema kuwa ni juu ya jamii kutoa ushirikiano kwa vyombo vya usalama katika kusaidiana kwenye udhibiti wa vitendo vya uhalifu na hasa ikizingatiwa wanaofanya hivyo ni ndugu zetu au majirani zetu. Ametoa mfano wa kijana Fundi seremala ambaye alimuua Mwenyekiti wa kijiji cha PANZUA ambaye aliishi katika kijiji hicho kwa takriban miaka 25, lakini kwa mshangao wa wengi alichukua hatua ya kumuua mwenyekiti wa kijiji. Aidha ametumia fursa hiyo kutoa onyo kuhusiana na maandamano y

USHIRIKA SOKONI MAILIMOJA KIBAHA WATAKIWA KUPENDANA

Image

AKINA AKILIMALI WADHIBITIWE

Image

DAWA ZA ASILI ZIPEWE KIPAUMBELE

Image

WAKAZI WALALAMIKIA TUME

Image

HATIMAYE DARAJA KUPATIKANA

Image

WANANCHI KANDO YA BARABARA KUU YA MOROGORO WAHIMIZWA KUHAMA

Image

MAJAMBAZI YAUA MTEJA AKINUNUA VOCHA

Image

MAJAMBAZI YAUA MTEJA AKINUNUA VOCHA

Image

MAJAMBAZI YAUA MTEJA AKINUNUA VOCHA

Image

MUME WA MAREHEMU

Image

MUME WA MAREHEMU

Image

MAJAMBAZI YAUA MTEJA AKINUNUA VOCHA

Image

MKWE WA MAREHEMU

Image

MWENYEKITI SERIKALI YA MTAA KARABAKA

Image

FATHERHOUSE CORNER STUDIO

Image

MAJAMBAZI YAUA MTEJA WA VOCHA

Image

MAJAMBAZI YAUA MTEJA WA VOCHA

Image

MAJAMBAZI YAUA MTEJA WA VOCHA

Image

WATANZANIA WATAKIWA KUBADILI MTINDO WA MAISHA KUEPUKA MAGONJWA

Image

RAIS ATAKIWA KUPITIA MAAZIMIO YA KIMATAIFA KABLA YA KUTOA MAAGIZO

Image

RAIS ATAKIWA KUPITIA MAAZIMIO YA KIMATAIFA KABLA YA KUTOA MAAGIZO

Image

WALIMU WAHIMIZWA KUCHAPA KAZI KWA BIDII NEEMA YAJA

Ben Komba/Pwani-Tanzania/29/07/2016 17:53:55 Mkuu wa wilaya ya Kibaha amewataka Walimu wakuu wa shule za Msingi wilaya ya Kibaha kufanya kazi kwa uadilifu katika kuhakikisha kiwango cha elimu kinapanda wilaya hapa. Mkuu wa wilaya Kibaha BIBI. ASSUMPTER MSHAMA ameyazungumza hayo alipokutana na Walimu wakuu kutoka shule za Msingi wilayani Kibaha pamoja na mambo mengine kuzungumzia maendeleo ya elimu. BIBI. MSHAMA ameelezea kusikitishwa kwake na kuporomoka kwa kiwango kutoka nafasi ya nne kitaifa hadi kufikia nafasi ya tisa kurudi chini na kuwataka wamueleze wamekwama wapi ili aweze kuwakwamua na kuwawezesha kufanya kazi zao kwa ufanisi. Hivyo amewasisitiza walimu wakuu kuchukua hatua kwa walimu wote wanaokwenda na kinyume na utaratibu wa kazi ili kuinua kiwango cha maendeleo ya elimu ili ikiwezekana turudie nafasi ya nne au ya kwanza kabisa. Mwalimu UHAI KAMBI LEGEZA amemuomba Mkuu wa wilaya Kibaha kuhakikisha uimarishaji wa miundombinu ya elimu iende sambamba na ujen

VIDEO-MKUU WA WILAYA KIBAHA AHIMIZA WAFANYABIASHARA KULIPA USHURU

WAFANYABASHARA WATAKIWA KULIPA USHURU https://youtu.be/JwhVZa2knaY

VIDEO-WANAWAKE WANATAKIWA KUJIAMINI SEHEMU YA KAZI

https://youtu.be/fnL4U02u2xA

VIDEO-ACT WAZALENDO WAMPONGEZA DC KIBAHA KUHUSU BOMOABOMOA

https://youtu.be/G9903BAp2V4

VIDEO-MWAROBAINI WA SOKO WAPATIKANA KIBAHA

Image
 Ben Komba/Pwani-Tanzania/21/07/2016 12:39:22 Mkuu mpya wa wilaya ya Kibaha, BI.ASSUMPTA MSHAMA amepata mwarobaini wa tatizo la soko mjini Kibaha kwa kufanya ziara eneo linalotarajiwa kujengwa soko akiambatana na wafanyabiashara na watendaji wa halmashauri ya mji wa Kibaha. Mkuu wa wilaya MSHAMA amesema kuwa halmashauri ina wajibu wa kuonyesha eneo la soko ili wafanyabiashara wenye uwezo  wa kujenga wafanye hivyo na kuondoa sintofahamu iliyopo kufuatia soko la zamani kuwa karibu na barabara na hivyo kuhitajika kubomolewa kupisha upanuzi wa barabara ya Morogoro. BI.MSHAMA kwa kufanya hivyo amefanikiwa kwa kiasi Fulani kutatua mgogoro uliokuwepo kati ya halmashauri na wafanyabiashara ambao walikuwa wanahitaji kufahamu iwapo soko hilo lingevunjwa hatma yao itakuwaje. Aidha Mkuu wa wilaya ya Kibaha MSHAMA amesikitishwa na kitendo cha halmashauri ya mji kuvunja nyumba za wananchi kwa notisi ya siku saba na bila kuzingatia iwapo nyumba hizo zipo kwa takriban miaka 30 na h

MWAROBAINI WAPATIKA ENEO LA SOKO KIBAHA

 Ben Komba/Pwani-Tanzania/21/07/2016 12:39:22 Mkuu mpya wa wilaya ya Kibaha, BI.ASSUMPTA MSHAMA amepata mwarobaini wa tatizo la soko mjini Kibaha kwa kufanya ziara eneo linalotarajiwa kujengwa soko akiambatana na wafanyabiashara na watendaji wa halmashauri ya mji wa Kibaha. Mkuu wa wilaya MSHAMA amesema kuwa halmashauri ina wajibu wa kuonyesha eneo la soko ili wafanyabiashara wenye uwezo  wa kujenga wafanye hivyo na kuondoa sintofahamu iliyopo kufuatia soko la zamani kuwa karibu na barabara na hivyo kuhitajika kubomolewa kupisha upanuzi wa barabara ya Morogoro. BI.MSHAMA kwa kufanya hivyo amefanikiwa kwa kiasi Fulani kutatua mgogoro uliokuwepo kati ya halmashauri na wafanyabiashara ambao walikuwa wanahitaji kufahamu iwapo soko hilo lingevunjwa hatma yao itakuwaje. Aidha Mkuu wa wilaya ya Kibaha MSHAMA amesikitishwa na kitendo cha halmashauri ya mji kuvunja nyumba za wananchi kwa notisi ya siku saba na bila kuzingatia iwapo nyumba hizo zipo kwa takriban miaka 30 na huk

BERNARD KOMBA

Image
https://www.youtube.com/playlist?list=PLd760xdUHoDeXkOm2Z5XMZrUi6MXWSWfw

VIDEO-WATANZANIA WATAKIWA KUCHANGAMKIA HATI MILIKI YA MAENEO YAO- WAZIRI MKUU MAJALIWA

WAZIRI MKUU MAJALIWA AWAHIMIZA WANANCHI KUCHANGAMKI HATI MILIKI YA MAENEO YAO https://youtu.be/DisTZG8hTxg

VIDEO-TALGWU PWANI WACHAGUANA

https://youtu.be/cSoH68TPSK8

TALGWU WACHAGUANA

Ben Komba/Pwani-Tanzania/08/07/2016 10:05:19 Chama cha wafanyakazi wa serikali za mitaa katika Mkoa wa Pwani wamechaguana kupata uongozi utakaouongoza katika kipindi kijacho. Akitangaza matokeo ya uchaguzi huo,Kaimu  Mwenyekiti wa Taifa wa TALGWU, BW. SELEMANI KIKINGO amewataka wanachama hao kuongeza mshikamano katika utekelezaji wa majukumu yao ya kila siku. BW. KIKINGO ameongeza kuwa kwa kufanya hivyo kutawezesha chama chao kupata mafanikio wanayotarajia katika kusimamia maslahi na haki za wafanyakazi wa serikali za mitaa. Mbali ya viongozi wengi kuchaguliwa kutoka makundi mbalimbali, Chama hicho kimefanikiwa kupata Mwenyekiti mpya wa Mkoa, BW.OBADIA MWAKASITU na BW. KULWA MASAMBU  akichaguliwa kuwa mjumbe kamati ya utendaji Taifa na BW. MASAU MASAU akichaguliwa kuwa mjumbe baraza kuu TALGWU Taifa. Akiuzungumza mara baada ya kuchaguliwa, Mwenyekiti mpya wa TALGWU Mkoa wa Pwani amewashukuru wanachama wote kwa kumchagua na kuwataka kuvunja kambi ili washirikiane

MIFUGO TATIZO KITONGA

Ben Komba/Pwani-Tanzania/08/07/2016 08:57:26 Hali ya sintofahamu imeibuka katika kijiji cha Kitonga kata ya  Vigwaza wilaya mpya ya Chalinze kufuatia wafugaji kuingiza ng’ombe mashambani mwa wakulima na kuharibu mazao yao. Mwenyekiti wa kijiji cha Kitonga BW. LAMBERT MSAWANGA amesema kuwa hali ni mbaya kijijini hapo kiasi cha kutishia amani na usalama kutokana na wafugaji kuingiza mara kwa mara mifugo yao katika mashamba ya wakulima. BW. MSAWANGA ameongeza kuwa mara zote anapojaribu kutatua suala hilo imekuwa nggumu kutokana na dharau na ubabe unaoonyeshwa na baadhi ya wafugaji na hivyo jamii kuishi na wasiwasi. Naye mwananchi BW.SEIF ABDALLA  MPEMBENWEambaye shamba lake lilivamiwa na ng’o mbe wapatao 30 na kuharibu eka moja na nusu za mpunga na hivyo kurudisha nyuma jitihada zake za kuweka akiba ya chakula iwapo angefanikiwa kuvuna. BW.MPEMBENWE amebainisha mara zote wafugaji wanapoingiza ng’ombe mashambani unapowakuta wanatoa vitisho na iwapo ukimshataki unakamatw

MADKTARI WAPATIWA MAFUNZO KIBAHA

https://youtu.be/5vuGISrXnJE

VIDEO-MATIBABU BURE KINYWA NA MACHO KIBAHA

WAPATIWA MATIBABU KINYWA NA MACHO BURE NA WATAALAM KUTOKA MAREKANI KIBAHA  https://plus.google.com/107747444353490815636/posts/2ygKCeJYr9C

VIDEO-WAKUU WA WILAYA WAPYA PWANI WAHIMIZWA KUZINGATIA USALAMA MAENEO YAO

https://youtu.be/Q_RsAbe1mZE

KAMPUNI YAWEKEZA KWENYE BURUDANI KIBAHA

https://youtu.be/w21YJUHscEg

VIDEO-WAJASIRIAMALI WAPATIWA ELIMU JUU YA UZALISHAJI WA BIDHAA SALAMA

https://youtu.be/JxHDvrJr82g

VIDEO -- SIKU YA MTOTO WA AFRIKA

https://youtu.be/oZIUYIIU-uY

VIDEO-MTAALAMU AEELEZEA UGONJWA WA MOYO

https://youtu.be/ZOvZGtNpv_Y

UCHANGIAJI DAMU MAASAI WAJITOKEZA

https://www.youtube.com/watch?v=Apk0TuO04LM

VIDEO-WAMAASAI WAJITOKEZA KUCHANGIA DAMU

Image
Ben Komba/Pwani-Tanzania/14/06/2016 12:01:15 Wananchi jamii ya wafugaji wa Kimasai wametakiwa kutokuwa waoga katika suala zima la kuchangia damu katika vituo vya damu salama ili kuwasaidia wengine wenye mahitaji. Hayo yamezungumzwa na Msimamizi wa Kituo cha damu salama katika hospitali teule ya rufaa ya mkoa Tumbi, BI.FELICIANA MMASI mara baada ya wananchi hao wa jamii ya ufugaji kutoa damu. BI. MMASI amebainisha suala la kuchangia damu kwa kabila la Wamasai lilikuwa ni changamoto kubwa na hivyo kuwalazimu kununua damu kutoka kwa watu wengine ili kupatiowa wagonjwa wao wanapopungukiwa na damu. BI.MMASI ameongeza kuwa mara nyingi watoto wa kimaasai wamekuwa wanakabiliwa na tatizo la upungufu wa damu kutoka na mila na desturi zao za kupendelea vyakula vya nyama na maziwa tu na kuziweka kando mboga za majani ambazo uzalisha damu kwa wingi. Mchangiaji DAMSSON POLATERI amesema kwa upande wake alikuwa anaogopa kutokana na dhana ambayo ameijenga kichwa kwake kuwa wan

VIDEO-YANGA YAPONGEZWA KUFANYA UCHAGUZI WA AMANI

Image
Ben Komba/Pwani-Tanzania/14/06/2016 11:24:44 Mwenyekiti wa Tawi la Yanga Kibaha kwa mfipa,amepongeza  kufuatia kufanya uchaguzi wa amani ambao umewezesha klabu hiyo kupata viongozi ambao wataongoza katika kipindi hiki. Mwenyekiti huyo MRISHO HALFAN SWAGALA amesema hiyo ni hatua muhimu katika kuelekea mafanikio makubwa ambayo yanaweza kuwa ya aina yake toka kuanzishwa kwa klabu hiyo. BW. SWAGALA amempongeza Mwenyekiti YUSSUPH MANJI kwa hatua mbalimbali alizochukua katika kipindi kilichopita na kuweza kuipatia klabu hiyo mataji matatu na kujenga timu imara ambayo inaweza kutoa upinzani kwa timu kubwa Afrika. Aidha amewataka wanayanga Kujenga umoja klabuni hapo na kuachana na migogoro isiyo na lazima ambayo inadumaza soka na maendeleo yake klabuni. VOX-MRISHO HALFAN SWAGALA END

WAMAASAI WACHANGIA DAMU

Ben Komba/Pwani-Tanzania/14/06/2016 12:01:15 Wananchi jamii ya wafugaji wa Kimasai wametakiwa kutokuwa waoga katika suala zima la kuchangia damu katika vituo vya damu salama ili kuwasaidia wengine wenye mahitaji. Hayo yamezungumzwa na Msimamizi wa Kituo cha damu salama katika hospitali teule ya rufaa ya mkoa Tumbi, BI.FELICIANA MMASI mara baada ya wananchi hao wa jamii ya ufugaji kutoa damu. BI. MMASI amebainisha suala la kuchangia damu kwa kabila la Wamasai lilikuwa ni changamoto kubwa na hivyo kuwalazimu kununua damu kutoka kwa watu wengine ili kupatiowa wagonjwa wao wanapopungukiwa na damu. BI.MMASI ameongeza kuwa mara nyingi watoto wa kimaasai wamekuwa wanakabiliwa na tatizo la upungufu wa damu kutoka na mila na desturi zao za kupendelea vyakula vya nyama na maziwa tu na kuziweka kando mboga za majani ambazo uzalisha damu kwa wingi. Mchangiaji DAMSSON POLATERI amesema kwa upande wake alikuwa anaogopa kutokana na dhana ambayo ameijenga kichwa kwake kuwa wanawez

YANGA YAPONGEZWA KUFANYA UCHAGUZI WA AMANI

Ben Komba/Pwani-Tanzania/14/06/2016 11:24:44 Mwenyekiti wa Tawi la Yanga Kibaha kwa mfipa mjini Kibaha, kufuatia kufanya uchaguzi wa amani ambao umewezesha klabu hiyo kupata viongozi ambao wataongoza katika kipindi hiki. Mwenyekiti huyo MRISHO HALFAN SWAGALA amesema hiyo ni hatua muhimu katika kuelekea mafanikio makubwa ambayo yanaweza kuwa ya aina yake toka kuanzishwa kwa klabu hiyo. BW. SWAGALA amempongeza Mwenyekiti YUSSUPH MANJI kwa hatua mbalimbali alizochukua katika kipindi kilichopita na kuweza kuipatia klabu hiyo mataji matatu na kujenga timu imara ambayo inaweza kutoa upinzani kwa timu kubwa Afrika. Aidha amewataka wanayanga Kujenga umoja klabuni hapo na kuachana na migogoro isiyo na lazima ambayo inadumaza soka na maendeleo yake klabuni. VOX-MRISHO HALFAN SWAGALA END

VIDEO-TASAF YANUSURU KAYA MASKINI KIBAHA

Image
Ben Komba/Pwani-Tanzania/10/06/2016 17:53:04 Mpango wa kusaidia kaya maskini wilayani Kibaha katika kipindi cha Mei-Juni mwaka huu inatarajia kutumia jumla ya Shilingi bilioni 2,768,492,346.42 kwa ajili ya kuwapatia walengwa ambao wengi wao ni watu wazima na kinamama. Mratibu wa TASAF wilayani Kibaha, BW.GOODSON HARRY amesema hayo alipotembelewa na ugeni kutoka TASAF makao makuu ukiongoozwa na meneja rasilimali watu, BI. TECHLA MAKUNDI ambaao ulitembelea kushuhudia kupatiwa fedha kwa walengwa katika kijiji cha Disunyara na Msongola ambapo zaidi ya watu 130 walifikiwa. Ambapo amesema serikali kupitia mfuko wa maendeleo ya jamii-TASAF- inatekeleza  mpango wa kunusuru kaya maskini lengo likiwa ni kukuza uchumi na kupunguza umaskini. BW.HARRY ameongeza kuwa kwa sasa TASAF inatekeleza programu ya miradi ya ajira ya muda  kwa kaya maskini katika kipindi cha kuanzia mwezi Januari 2015 hadi April 2015. Meneja rasilimali watu wa TASAF Taifa, BI.TECHLA MAKUNDI amewataka wan

TASAF YANUSURU KAYA MASKINI KIBAHA

Ben Komba/Pwani-Tanzania/10/06/2016 17:53:04 Mpango wa kusaidia kaya maskini wilayani Kibaha katika kipindi cha Mei-Juni mwaka huu inatarajia kutumia jumla ya Shilingi bilioni 2,768,492,346.42 kwa ajili ya kuwapatia walengwa ambao wengi wao ni watu wazima na kinamama. Mratibu wa TASAF wilayani Kibaha, BW.GOODSON HARRY amesema hayo alipotembelewa na ugeni kutoka TASAF makao makuu ukiongoozwa na meneja rasilimali watu, BI. TECHLA MAKUNDI ambaao ulitembelea kushuhudia kupatiwa fedha kwa walengwa katika kijiji cha Disunyara na Msongola ambapo zaidi ya watu 130 walifikiwa. Ambapo amesema serikali kupitia mfuko wa maendeleo ya jamii-TASAF- inatekeleza  mpango wa kunusuru kaya maskini lengo likiwa ni kukuza uchumi na kupunguza umaskini. BW.HARRY ameongeza kuwa kwa sasa TASAF inatekeleza programu ya miradi ya ajira ya muda  kwa kaya maskini katika kipindi cha kuanzia mwezi Januari 2015 hadi April 2015. Meneja rasilimali watu wa TASAF Taifa, BI.TECHLA MAKUNDI amewataka wanuf

VIDEO-WAWEKEZAJI WA NDANI WAOMBA SERIKALI IWALINDE

Image
Ben Komba/Pwani-Tanzania/07/06/2016 10:40:32 Serikali imetakiwa kuboresha mpango wa matumizi bora ya ardhi ili kuepusha migogoro kati ya wakulima na wafugaji nchini. Akizungumza na mwandishi wa habari hizi, Mwekezaji wa Kimasai katika eneo la Lukenge halmashauri ya wilaya ya Kibaha, BW.TANONGO MAHENDELO amebainisha kuwa kutozingatiwa kwa mpango wa matumizi bora ya ardhi kumesababisha kuwepo kwa migogoro isiyo na lazima. BW,MAHENDELO amesema kuwa yeye anamiliki eneo la eka 5000 ambazo ndani yake anahifadhi aina za miti mbalimbali ambayo kwa hivi sasa ni adimu nchini kutokana na ukataji holela wa miti kwa matumizi mbalimbali. BW.MAHENDELO ameongeza lakini amekuwa akikabiliwa na changamoto za baadhi ya wananchi wasiozingatia sheria kuvamia katika eneo lake na kuchoma mkaa na anapoamua kuchukua hatua wanazusha mambo mbalimbali yak um chafua ikiwa pamoja na kudai kuwa anawatishia na bastola. BW. MAHENDELO ambaye ni mfugaji ameweza kusaidia upatikanaji wa maji salama,

WALALAMIKA WATENDAJI KUWAIBIA

Image
Ben Komba-Pwani-Tanzania-06/06/2016 10:10:11 Halmashauri ya wilaya ya Bagamoyo imetakiwa kuwasiliana na Ofisi ya mtendaji wa Kata inapotokea Mtendaji wa Kijiji ameamua kuhama kituo cha kazi kwa sababu mbalimbali. Akizungumza katika kikao maalum cha Kijiji cha Kitonga kilichopo katika mji mdogo wa Chalinze, Afisa mtendaji wa Kata ya Vigwaza BW. MASKUZI MASKUZI ambapo amesema kuwa baadhi ya watendaji wanaohamishwa bila kuwasiliana naye wamekuwa wanaacha athari kubwa kwa vijiji walivyotoka. BW.MASKUZI ameongeza halmashauri kwa kutomshirikisha katika suala uhamisho wa watendaji wa vijiji inasababisha kuwepo kwa migogoro isiyo na lazima ambayo inazorotesha maendeleo ya vijiji kwa kuacha makovu ambayo jamii inakuwa vigumu kuyasahau. Mmoja wa wananchi KOMREDI NDALO amebainisha kuwa wananchi wanashindwa kuelewa kutokana na kuhama kiholela kwa watendaji wa kijiji ilihali wakiwa katika kipindi chao chote hawajawahi kusoma taarifa ya mapato na matumizi na ukiukaji wa taratib

VIDEO-MKUU WA MKOA WA PWANI KUTOA NENO HITIMISHO LA SIKU YA MAZINGIRA

Image
Ben Komba/Pwani-Tanzania/04/06/2016 14:25:21 Mkuu wa mkoa wa Pwani MHANDISI EVARIST NDIKILO kesho anatarajiwa kuwa mgeni wa heshima katika siku ya hitimishi la wiki ya mazingira ambapo maadhimisho yake yanatarajiwa kufanyika katika halmashauri ya wilaya ya Kibaha kimkoa. Kwa mujibu wa Afisa mazingira halmashauri ya wilaya ya Kibaha, BI.ANNA MULEBA amesema kwa sasa wanaendelea na shughuli mbalimbali za usafi ikiwa kufanya usafi eneo la soko la Mlandizi. Usafi huo umefanywa kwa kushirikiana na wanafunzi wa Klabu ya mazingira ya shule ya sekondari DOSSA AZIZ kupitia kikundi chao kinachoitwa ROOTS AND SHOOTS ambao wamejitokeza kwa wingi katika kuhakikisha maadhimisho hayo yanafanikiwa. Bi.MULEBA amebainisha siku ya hitimisho wanatarajia kufanya usafi ikiwa pamoja na kuzibua mitaro ya maji machafu kuzunguka mji mdogo wa Mlandizi na maeneo ya jirani na kauli mbiu ya mwaka huuni ’TUHIFADHI VYANZO VYA MAJI KWA UHAI WA TAIFA LETU’. END

MKUU WA MKOA PWANI MGENI RASMI MAADHIMISHO YA MAZINGIRA

Ben Komba/Pwani-Tanzania/04/06/2016 14:25:21 Mkuu wa mkoa wa Pwani MHANDISI EVARIST NDIKILO kesho anatarajiwa kuwa mgeni wa heshima katika siku ya hitimishi la wiki ya mazingira ambapo maadhimisho yake yanatarajiwa kufanyika katika halmashauri ya wilaya ya Kibaha kimkoa. Kwa mujibu wa Afisa mazingira halmashauri ya wilaya ya Kibaha, BI.ANNA MULEBA amesema kwa sasa wanaendelea na shughuli mbalimbali za usafi ikiwa kufanya usafi eneo la soko la Mlandizi. Usafi huo umefanywa kwa kushirikiana na wanafunzi wa Klabu ya mazingira ya shule ya sekondari DOSSA AZIZ kupitia kikundi chao kinachoitwa ROOTS AND SHOOTS ambao wamejitokeza kwa wingi katika kuhakikisha maadhimisho hayo yanafanikiwa. Bi.MULEBA amebainisha siku ya hitimisho wanatarajia kufanya usafi ikiwa pamoja na kuzibua mitaro ya maji machafu kuzunguka mji mdogo wa Mlandizi na maeneo ya jirani na kauli mbiu ya mwaka huuni ’TUHIFADHI VYANZO VYA MAJI KWA UHAI WA TAIFA LETU’. END

VIDEO-MAANDALIZI SIKU YA MAZINGIRA YAPAMBA MOTO

Image
Ben Komba/Pwani-Tanzania/01/06/2016 12:31:53 Halmashauri ya wilaya ya Kibaha inaadhimisha wiki ya mazingira kwa kufanya shughuli mbalimbali  zenye kulenga katika kuhakikisha kunakuwepo na mpango endelevu wa utunzaji wa mazingira. Afisa mazingira halmashauri ya wilaya ya Kibaha, BI. ANNA MULEBA amesema mwaka huu wamejipanga katika kuhamasisha jamii kuelewa kwa upana wake suala zima la mazingira ili kuwepo na utunzaji endelevu. BI. MULEBA amebainisha kuwa katika kipindi kizima kuelekea maadhimisho ya siku ya mazingira watashirikiana na klabu za wanafunzi za mazingira katika shule za sekondari za Ruvu wanawake, Dossa Aziz na Rfsanjani kupitia vikundi vyao vya ROOTS n SHOOTS. Na lengo kubwa ni kukifikia kizazi kipya na kukipatia elimu juu ya suala zima la uhifadhi endelevu wa mazingira na utunzaji wa uoto wa asili ili kuhakikisha kizazi kijacho kinakuta mazingira katika ubora wake. END.

WIKI YA MAZINGIRA YAADHIMISHWA KIBAHA

Ben Komba/Pwani-Tanzania/01/06/2016 12:31:53 Halmashauri ya wilaya ya Kibaha inaadhimisha wiki ya mazingira kwa kufanya shughuli mbalimbali  zenye kulenga katika kuhakikisha kunakuwepo na mpango endelevu wa utunzaji wa mazingira. Afisa mazingira halmashauri ya wilaya ya Kibaha, BI. ANNA MULEBA amesema mwaka huu wamejipanga katika kuhamasisha jamii kuelewa kwa upana wake suala zima la mazingira ili kuwepo na utunzaji endelevu. BI. MULEBA amebainisha kuwa katika kipindi kizima kuelekea maadhimisho ya siku ya mazingira watashirikiana na klabu za wanafunzi za mazingira katika shule za sekondari za Ruvu wanawake, Dossa Aziz na Rfsanjani kupitia vikundi vyao vya ROOTS n SHOOTS. Na lengo kubwa ni kukifikia kizazi kipya na kukipatia elimu juu ya suala zima la uhifadhi endelevu wa mazingira na utunzaji wa uoto wa asili ili kuhakikisha kizazi kijacho kinakuta mazingira katika ubora wake. END.

VIDEO-WAJAWAZITO WASAIDIWA MJINI KIBAHA

Image
Ben Komba/Pwani-Tanzania/28/05/2016 13:40:29 Taasisi ya Kimataifa ya Uingereza ya hiyari ya ABUBAKAR DARWESH imetoa msaada kwa akinamama wajawazito wa Kituo cha afya mkoani Mjini Kibaha ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa utaratibu ambao wamejiwekea katika kusaidia jamii zenye mahitaji. Mkurugenzi wa taasisi hiyo BW. BILAL DARWESH akikabidhi msaada bhuo amesema kuwa amevutika kutoa misaada ya kiutu kufuatia safari ambayo amefanya toka Dar es Saalam mpaka Sumbawanga na kushuhudia changamoto mbali mbali zinazowakabili wananchi. Msaada ambao umetolewa na taasisi hiyo ni mabeseni na kila hitaji la mtoto anapozaliwa vikiwa vimefungwa kwa pamoja, aidha ameongeza kuwa Taasisi yake inajishughulisha na usaidizi kwa watu wa imani zote na ikiwa ni moja la lengo kubwa la uanzishaji wake ili kuwawezesha watu wa imani tofauti kuishi pamoja. Naye mganga mkuu wa halmashauri ya mji wa Kibaha, DR. HAPPINESS NDOSI ameishukuru taasisi hiyo kwa msaada ambao wameutoa kwa kina mama wajawazito

VIDEO-MAANDAMANO YA WAFANYABIASHARA KIBAHA YAZUIWA NA POLISI.

Image
Ben Komba/Pwani-Tanzania/26/05/2016 14:34:40 Maandamano ya wafanyabiashara wa soko la Maili moja mjini Kibaha kulalamikia hatua ya halmashauri ya mji kutowajengea soko na ilihali wakitakiwa kuhama eneo ambalo kwa hivi sasa linatumika kabla zoezi la bomoaaboma halijaanza yamenyimwa kibali na Jeshi la Polisi. Maandamano hayo ambayo yangehusisha wafanyabiashara wa soko hilo yalipangwa kuelekea moja kwa moja katika ofisi za Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya mji wa Kibaha, kutokana na kutaka kuonana naye kwa kipindi kirefu bila mafanikio. Kwa mujibu wa Katibu wa umoja wa wafanyabiashara sokoni Mailimoja, BW. MUHSIN ABDUL amewaambia wafanyabiashara waliokusanyika sokoni hapo kuwa maandamano ambayo walikuwa wayafanye yamesitishwa na Jeshi la Polisi kutokana na kuhofia uvunjifu wa amani ambao ungeweza kujitokeza. Naye Mwenyekiti wa Umoja wa wafanyabiashara hao, BW. ALLY GONZA maarufu kama Mzee wa Shamba, amewataka wafanyabiashara kuwa watulivu kungojea hatua nyingine am

POLISI YAZUIA MAANDAMANO YA WAFANYABIASHARA

Ben Komba/Pwani-Tanzania/26/05/2016 14:34:40 Maandamano ya wafanyabiashara wa soko la Maili moja mjini Kibaha kulalamikia hatua ya halmashauri ya mji kutowajengea soko na ilihali wakitakiwa kuhama eneo ambalo kwa hivi sasa linatumika kabla zoezi la bomoaaboma halijaanza yamenyimwa kibali na Jeshi la Polisi. Maandamano hayo ambayo yangehusisha wafanyabiashara wa soko hilo yalipangwa kuelekea moja kwa moja katika ofisi za Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya mji wa Kibaha, kutokana na kutaka kuonana naye kwa kipindi kirefu bila mafanikio. Kwa mujibu wa Katibu wa umoja wa wafanyabiashara sokoni Mailimoja, BW. MUHSIN ABDUL amewaambia wafanyabiashara waliokusanyika sokoni hapo kuwa maandamano ambayo walikuwa wayafanye yamesitishwa na Jeshi la Polisi kutokana na kuhofia uvunjifu wa amani ambao ungeweza kujitokeza. Naye Mwenyekiti wa Umoja wa wafanyabiashara hao, BW. ALLY GONZA maarufu kama Mzee wa Shamba, amewataka wafanyabiashara kuwa watulivu kungojea hatua nyingine amba

VIDEO-KIKONGO WALALAMIKA KUHUJUMIWA MAPATO YAO NA HALMASHAURI YA WILAYA KIBAHA

Image
Ben Komba/Pwani-Tanzania/21/05/2016 10:43:00 Wananchi wa Kata ya Kikongo wamelalamikia halmashauri ya wilaya ya Kibaha kusitisha uchimbaji wa madini ya mchanga ambao ulikuwa unaipatia Kata hiyo mapato na kutoa fursa hiyo kwa mtu binafsi. Mwenyekiti wa zamani wa serikali ya kijii cha Kikongo, BW. JUMA JUYA amesema kuwa akiwa katika hiyo  amesema akiwa mkusanyaji wa fedha za   mchanga ikiwa pamoja na kuwasomea mapato na matumizi na wakawa wanaenda sawa na wananchi. BW.JUYA ameongeza makusanyo ambayo yalikuwa yanapatikana yalitumika katika shughuli mbambali za maendeleo ikiwa pamoja na kutoa ajira kwa vijana zaidi ya hamsini ambao waliweza kujikimu kimaisha. Naye BW. SALUM SAID amesema kuwa wamestuka kwamba mapato ya kijiji ya yanahujumiwa kutokana na wananchi kuamua kuunda kamati ya muda ya kusimamia shimo hilo ambapo katika kipindi cha mwezi mmoja wa kamati ya muda iliweza kukusanya takriban shilingi milioni 3.5 na hivyo kuweka wazi mapato ambayo yalikuwa yanaishia m

MEI 23 SIKU YA FISTULA ULIMWENGUNI

Ben Komba/Pwani-Tanzania/22/05/2016 09:53:51 Maadhimisho ya siku ya Fistula ambayo yanatarajiwa kufanyika Mei 23 mwaka huu Mashirika yanapambana na tatizo hilo nchini yamelenga katika kuhakikisha wanafanya kazi kwa karibu na vyombo vya habari ili kuweza kufikisha elimu juu ya ugonjwa huo kwa jamii. Mwakilizi msidizi wa shirika la Umoja wa Mataifa UNFPA nchini, BI. CHRISTINE MWANUKUZI KWAYU amesema kwa kushirikiana na vyombo vya habari kutawezesha wanawake wanaoishi na tatizo la Fistula kujitambua na kuchukua hatua sthahili. BI. KWAYU amebainisha kuwa takriban wanawake milioni mbili wanaishi na tatizo hilo ulimwenguni na inakadiriwa wanawake takriban 800 wanafariki dunia kwa tatizo la fistula kwa mwaka. Aidha amefafanua Mwakilishi msaidizi huyo wa UNFPA nchini, BI. KWAYU kuwa athari ambazo zinawapata wagonjwa hao ni pamoja na kunyanyapaliwa na jamii kutokana na hali ya kutokwa haja bila kujitambua. Akizungumzia kuhusiana na kundi ambalo linapata kwa kiasi kikubwa t

VIDEO=KAYA YA PANGANI MJINI KIBAHA WASAKA DARAJA

Image
Ben Komba/Pwani-Tanzania/21/05/2016 12:15:47 Wakazi wa mtaa wa Mkombozi katika halmashauri ya mji wa Kibaha wameazimia kujenga daraja litakalounganisha manispaa ya Kinondoni na halmashauri ya mji wa Kibaha ili kupunguza usumbufu unaowapata wananchi wa pande hizo wakati wa mvua. mmoja wa wakazi wa Mtaa huo ambaye hakupenda kutajwa jina lake amesema kuwa wao kama kamati ya ujenzi wa daraja hilo walikagua maeneo yote ambayo wanadhani panafaa kujenga daraja. Ambapo hapo palizuka vuta nkuvute kati ya wajumbe wa kamati hiyo na kila mmoja akipenda eneo tofauti kwa ajili ya ujenzi huo na katika kipindi hicho tayari fedha zaidi ya shilingi milioni mmoja zilikuwa zimeshakusanywa. Walikatishwa tamaa na kauli ya mmoja wa wataalamu wa ujenzi kutoka halmashauri ya mji wa Kibaha ambaye aliwaambia kujenga daraja eneo hilo kungehitaji zaidi ya shilingi bilioni ambapo katika kipindi  hicho hawakuwa nazo fedha hizo. Diwani wa Kata ya Pangani, BW.AGUSTINO MDACHI amewataka wananchi ku

VIDEO-KIKONGO WILAYA YA KIBAHA WALALAMIKIA HALMASHAURI KUHUJUMU MAPATO YAO

Image
Ben Komba/Pwani-Tanzania/21/05/2016 10:43:00 Wananchi wa Kata ya Kikongo wamelalamikia halmashauri ya wilaya ya Kibaha kusitisha uchimbaji wa madini ya mchanga ambao ulikuwa unaipatia Kata hiyo mapato na kutoa fursa hiyo kwa mtu binafsi. Mwenyekiti wa zamani wa serikali ya kijii cha Kikongo, BW. JUMA JUYA amesema kuwa akiwa katika hiyo  amesema akiwa mkusanyaji wa fedha za   mchanga ikiwa pamoja na kuwasomea mapato na matumizi na wakawa wanaenda sawa na wananchi. BW.JUYA ameongeza makusanyo ambayo yalikuwa yanapatikana yalitumika katika shughuli mbambali za maendeleo ikiwa pamoja na kutoa ajira kwa vijana zaidi ya hamsini ambao waliweza kujikimu kimaisha. Naye BW. SALUM SAID amesema kuwa wamestuka kwamba mapato ya kijiji ya yanahujumiwa kutokana na wananchi kuamua kuunda kamati ya muda ya kusimamia shimo hilo ambapo katika kipindi cha mwezi mmoja wa kamati ya muda iliweza kukusanya takriban shilingi milioni 3.5 na hivyo kuweka wazi mapato ambayo yalikuwa yanaishia m

WANANCHI WA KATA PANGANI MJINI KIBAHA WASAKA DARAJA

Ben Komba/Pwani-Tanzania/21/05/2016 12:15:47 Wakazi wa mtaa wa Mkombozi katika halmashauri ya mji wa Kibaha wameazimia kujenga daraja litakalounganisha manispaa ya Kinondoni na halmashauri ya mji wa Kibaha ili kupunguza usumbufu unaowapata wananchi wa pande hizo wakati wa mvua. mmoja wa wakazi wa Mtaa huo ambaye hakupenda kutajwa jina lake amesema kuwa wao kama kamati ya ujenzi wa daraja hilo walikagua maeneo yote ambayo wanadhani panafaa kujenga daraja. Ambapo hapo palizuka vuta nkuvute kati ya wajumbe wa kamati hiyo na kila mmoja akipenda eneo tofauti kwa ajili ya ujenzi huo na katika kipindi hicho tayari fedha zaidi ya shilingi milioni mmoja zilikuwa zimeshakusanywa. Walikatishwa tamaa na kauli ya mmoja wa wataalamu wa ujenzi kutoka halmashauri ya mji wa Kibaha ambaye aliwaambia kujenga daraja eneo hilo kungehitaji zaidi ya shilingi bilioni ambapo katika kipindi  hicho hawakuwa nazo fedha hizo. Diwani wa Kata ya Pangani, BW.AGUSTINO MDACHI amewataka wananchi kusa

VIDEO-WAUUGUZI WAPONGEZWA KWA KUJITOA KUSAIDIA WAGONJWA

Image
Ben Komba/Pwani-Tanzania/13/05/2016 11:34:06 Wauguzi nchini wamepongezwa kutokana na mchango wao wanaoutoa kwa binadamu wenzao wanapokabiliwa na magonjwa mbalimbali. Mbunge wa Kibaha mjini, Mh. SLYVESTER KOKA amesema hayo wakati wa maadhimisho ya siku ya wauguzi duniani ambayo yamefanyika katika Hospitali teule ya rufaa ya Mkoa ya Tumbi. Ambapo amesema muuguzi hana tofauti na Mama linapokuja kwenye suala la malezi ya mgonjwa, ametoa mfano  mtoto anapokuwa amejichafua aidha kwa kujikojolea au kujinyea ni aghalabu Baba kumchukua na kumbeba mpaka pale mama atakapomsafisha. Mbunge huyo BW. KOKA amefananisha hali hiyo na mgonjwa anapokuwa hawezi kufanya lolote na kujisaidia mahali halipo ni muuguzi ndiye anayekuwa karibu naye bila kujali kama ni ndugu au la. Naye Kaimu muuguzi mkuu wa Hospital ya Tumbi, BW. DAVID WAWA amesema kuwa siku ya wauguzi duniani ni maalum kwa ajili ya kukumbushana wajibu wao ikiwa pamoja na kula kiapo kipya ili kusaidia kutekeleza majukumu yao

VIDEO-UTALII WA NDANI WAHIMIZWA

Image
Ben Komba/Pwani/Tanzania/12/05/2016 10:49:28 Katika kuhamasisha utalii wa ndani umoja wa vijana wa chama cha mapinduzi hivi karibuni kimefanya ziara katika mbuga za wanyama  Mikumi ili kuunga mkono mkakati wa serikali katika kuwahamasisha wazawa kutembelea vivutio mbalimbali vya utalii vilivyopo nchini. Akizungumza na mwandishi wa habari hizi ambaye aliambatana na msafara huo, Mwenyekiti wa UVCCM mjini Kibaha, BW. IDD KANYALU amesema lengo kubwa la ziara hiyo ni kuunga mkono kwa vitendo juhudi za serikali katika kuhamasisha utalii ndani na kuongeza kipato kwa Taifa. BW.KANYALU amebainisha mbali ya lengo kuu hilo pia ni pamoja na kujenga umoja na mshikamano miongoni mwa wanachama na viongozi wa umoja wa vijana wa CCM mjini Kibaha kwa kuwawezesha kuwaweka pamoja na kutafakari mambo mbalimbali yta kukimarisha chama. Mhifadhi wa Mbuga ya wanyama wa Mikumi BW. ABDALLAH CHOMA amewaambia watalii hao wa ndani kuwa wamekuwa wakichukua hatua mbalimbali katika kuhakikisha mbug

UVCCM KIBAHA MJINI YAHIMIZA UTALII WA NDANI

Ben Komba/Pwani/Tanzania/12/05/2016 10:49:28 Katika kuhamasisha utalii wa ndani umoja wa vijana wa chama cha mapinduzi hivi karibuni kimefanya ziara katika mbuga za wanyama  Mikumi ili kuunga mkono mkakati wa serikali katika kuwahamasisha wazawa kutembelea vivutio mbalimbali vya utalii vilivyopo nchini. Akizungumza na mwandishi wa habari hizi ambaye aliambatana na msafara huo, Mwenyekiti wa UVCCM mjini Kibaha, BW. IDD KANYALU amesema lengo kubwa la ziara hiyo ni kuunga mkono kwa vitendo juhudi za serikali katika kuhamasisha utalii ndani na kuongeza kipato kwa Taifa. BW.KANYALU amebainisha mbali ya lengo kuu hilo pia ni pamoja na kujenga umoja na mshikamano miongoni mwa wanachama na viongozi wa umoja wa vijana wa CCM mjini Kibaha kwa kuwawezesha kuwaweka pamoja na kutafakari mambo mbalimbali yta kukimarisha chama. Mhifadhi wa Mbuga ya wanyama wa Mikumi BW. ABDALLAH CHOMA amewaambia watalii hao wa ndani kuwa wamekuwa wakichukua hatua mbalimbali katika kuhakikisha mbuga

VIDEO-MAHAKAMA YALALAMIKIWA KUPOTOSHA HUKUMU KISARAWE

Image
Ben Komba/Pwani-Tanzania/08/05/2016 14:49:31 Katika hali ya kushangaza mahakama ya wilaya ya Kisarawe imemuhukumu kifungo cha mwaka mmoja cha nje, Mtuhumiwa PETRO GEMBE kwa kosa la uvamizi na ubakaji iliyokuwa inamkabili akishtakiwa na Jamhuri ya muungano wa Tanzania.  Kwa mujibu wa nakala ya hukumu ambayo mwandishi wa habari hizi ameipata, Inadaiwa tarehe 24 Juni mwaka 2015 mtuhumiwaPETRO GEMBE akiambatana na wenzie majira ya saa moja usiku walivamia makazi ya BW.FESTO LOYA kwa nia ovu. Inasemekana mtuhumiwa huyo na wenzie walipora mifugo ng”ombe 53 na wenye thamani 21,000,000/=  na fedha taslimu shilingi milioni 48,350,000/= ambapo vitu vyote vilivyoporwa vina thamani ya shilingi milioni 69,350,000/=  mali ya BW. FESTO LOYA ikiwa pamoja na kuondoka na mkewe DANGA’U GEIDA na kuishi naye kama mke bila idhini yake. BW.LOYA amebainisha akiwa mkazi wa kijiji cha Kimalamisale amesikitishwa na hukumu hiyo iliyotolewa na hakimu mkazi  wa mahakama ya wilaya ya Kisarawe B

MAHAKAMA YALALAMIKIWA KUPOTOSHA HUKUMU

Ben Komba/Pwani-Tanzania/08/05/2016 14:49:31 Katika hali ya kushangaza mahakama ya wilaya ya Kisarawe imemuhukumu kifungo cha mwaka mmoja cha nje, Mtuhumiwa PETRO GEMBE kwa kosa la uvamizi na ubakaji iliyokuwa inamkabili akishtakiwa na Jamhuri ya muungano wa Tanzania.  Kwa mujibu wa nakala ya hukumu ambayo mwandishi wa habari hizi ameipata, Inadaiwa tarehe 24 Juni mwaka 2015 mtuhumiwaPETRO GEMBE akiambatana na wenzie majira ya saa moja usiku walivamia makazi ya BW.FESTO LOYA kwa nia ovu. Inasemekana mtuhumiwa huyo na wenzie walipora mifugo ng”ombe 53 na wenye thamani 21,000,000/=  na fedha taslimu shilingi milioni 48,350,000/= ambapo vitu vyote vilivyoporwa vina thamani ya shilingi milioni 69,350,000/=  mali ya BW. FESTO LOYA ikiwa pamoja na kuondoka na mkewe DANGA’U GEIDA na kuishi naye kama mke bila idhini yake. BW.LOYA amebainisha akiwa mkazi wa kijiji cha Kimalamisale amesikitishwa na hukumu hiyo iliyotolewa na hakimu mkazi  wa mahakama ya wilaya ya Kisarawe BW.