Posts

Showing posts from May, 2014

CCM WAVUANA NGUO KIBAHA.

Image
Ben Komba/PWANI-TANZANIA/22-05-2014/14:13 Chama cha mapinduzi Kata ya Mailimoja kinaingia katika uchaguzi mdogo kujaza nafasi ya Katibu mwenezi wa Kata hiyo, kufuatia kuondolewa   kwa aliyekuwa anashikilia nafasi kwa tuhuma mbalimbali. Kutrokana na kuondolewa Katibu Mwenezi wa awali, BW.SEBASTIAN MAGANGA ambaye kwa sasa amebadilisha makazi kuylisababisha nafasi hiyo kuwa wazi na hivyo kukilazimu chama kutisha ucahaguzi mdogo. Ambapo wagombea watatu wamejitokeza kugombea nafasi hiyo ambao ni BW. LAZARO RIZIKI KULIGWA, BI. ASHURA SEKELELA na BW. JACOB ambao ewanatarajiwa kupambana katika uchaguzi ambao utafanyika jumapili Mei 25. Mmoja wa wagombea ambao nimeongea nao, BW.LAZARO KULIGWA amesema yeye kwa upande wake ana uzoefu wa kutosha katika shughuli za chama na ana uhakika akipata nafasi ya kucchaguliwa atakisaidia chama kuhakikisha kinaingiza wanachama wengi zaidi. BW.KULIGWA amewataka wagombea wenzake kufanya kampeni za kistaarabu ili kuwezesha kufanyika si

KALUSE SHOPPING CENTRE

Image
FIKA UJIONEE VIATU VYA KISASA.

TAG YAADHIMISHA MIAKA 75 TOKA KUANZISHWA.

Image
Ben Komba/Pwani-Tanzania/5/11/2014 1:34:07 PM Kanisa la TANZANIA ASSEMBLIES OF GOD, linaadhimisha miaka 75 toka kuanzishwa kwake ulimwenguni, kwa kufanya shughuli mbalimbali za kitumea kuelekea kilele chake kitakachofanyika mkoani Mbeya. Mchungaji HEBRON KAYANGE wa Kanisa la TAG kwa mfipa Mjini Kibaha amesema kuwa kanisa lao limeanzishwa mwaka 1939 na mpaka 2014 kanisa hilo linatimiza miaka 75, Mchungaji KAYANGE   kwa kibaha Kanisa la TAG Kibaha kwa Mfipa limeanzishwa Mwaka 1999 likiwa na waumini wane, lakini mpaka sasa kanisa hilo limekuwa linakua kwa kasi kutokana na kutilia mkazo suala la mavuno ya watu kwa kuwapatia mafundisho mbalimbali ya kiroho. Mchungaji KAYANGE amebainisha kuwa kanisa lake limekuwa linatoa huduma mbalimbali za kijamii ikiwa pamoja na kushirikiana na jamii inayowazunguka katika masuala ya kusaidia watoto yatima,kubadilisha tabia ya vijana ambao wanatumia madawa ya kulevya, ili kuwa raia wema. Na kwa kuliona hilo Kanisa la TAG Kwa

VIWANJA VINAUZWA MSATA.

Image
 FLOFAM COMPANY LIMITED . INAUZA VIWANJA ZAIDI YA 1000. VIWANJA HIVYO VIPO ENEO LA MSATA KILOMITA NNE KUTOKA BARABARA KUU IENDAYO BAGAMOYO, ENEO HILO LINAFAA KWA MATUMIZI YA UJENZI WA SHULE, CHUO, MIFUGO, KILIMO CHA AINA YOTE YA MAZAO, MTEJA MWENYE UHAKIKA ANAHITAJIKA. BEI NI SHILINGI MILIONI 4 KWA EKA, YOYOTE ALIYEVUTIKA NA TANGAZO HILI, AFANYE MAWASILIANO PUNGUZO LA BEI LITATOLEWA KWA ATAKAYEHITAJI ZAIDI YA EKA 50,KWA MAWASILIANO ZAIDI SIMU:0754463994/0714551434 LOCATION

USAFI WAZUA MTAFURUKU KIBAHA MJINI.

Image
Ben Komba/Pwani-Tanzania/Wednesday, 07 May, 2014 Mvutano mkali unaendeleakati ya uongozi wa halmashauri ya mji wa Kibaha na wafanyabiashara wanaofanya shughuli zao kandokando ya eneo linaloitwa soko mjini Kibaha kufuatia kampeni ya usafi inayoendelea. Mwandishi wa habari hizi ameshuhudia wananchi wenye hasira wakijaribu kuzuia utekelezaji wa kampeni hiyo ya usafi, ambayo ilikuwa inafanywa na mgambo wa halmashauri wa mji wa Kibaha kwa usimamizi wa afisa ya afya Kata Mailimoja, BW.ABUBAKAR SHAH ambaye amesema suala la usafi ni jambop la lazima na kila mmoja wetu anapaswa kuwajibika katika eneo lake. BW.SHAH ameongeza kuwa halmashauri ya mji wa Kibaha ina utaratibu wake ambao imejiwekea kwa kuzingatia sheria ndogo ndogo zinazohusiana na usafi wa mazingira ya mji wa Kibaha, ambapo imepigwa marufuku kwa mtu yoyote kutupa taka ovyo, ambapo ukikamatwa unatozwa faini ya shilingi 50,000/- Afisa huyo wa afya Kata ya Mailimoja amefafanua kutokana na utaratibu huo, ndio maana kampeni ya usafi i