Posts

Showing posts from June, 2015

VIDEO-WANANCHI BAGAMOYO WALALAMIKIA KUSITISHWA KWA MNADA.

Image
Ben Komba/Pwani-Tanzania/6/26/2015 12:21:34 PM Wakazi wa kijiji cha Ruvu Darajani wilaya ya Bagamoyo katika mkoa wa Pwani wamelalamikia uongozi wa wilaya ya Bagamoyo ya kuzuia kufanyika mnanada katika eneo hilo kila siku. Mmoja wa wafanyabiashara wa ng’ombe ambaye nimebahatika kuongea naye,BW.DEOGRATIUS KIWALE amesema yeye kama mfanyabiashara wa ng’ombe wamekuwa wakinunua ng’ombe kutoka maeneo mengine na kuja kuwauza katika mnada huo wa Ruvu. BW.KIWALE ameongeza kuwa wao wamekuwa wakilipa kodi mbalimbali ambazo kwa njia moja au nyingine zimekuwa zimekuwa zinawasaidia wakazi wa kijiji hicho na kijiji chenyewe katika kuwawezesha kugharimia huduma mbalimbali za kijamii. Naye mkazi mwingine wa kijiji cha Ruvu,BW.SADALAH CHACHA amebainisha kuwa hatua ya kusimamisha mnada ni kuwakomoa wakazi wa Ruvu kutokana na wao kukataa kupokea wavamizi ambao wamevamia eneo hilo na Mkuu wa wilaya kuamrisha watu hao wapatiwe maeneo katika eneo lililovamiwa. BW.SADALAH amefafanua k

VIDEO=MWANAMAMA AJITOKEZA KUGOMBEA UBUNGE KIBAHA VIJIJINI KUPITIA CHADEMA

Image
Ben Komba/Pwani-Tanzania/6/26/2015 11:05:45 AM Vugu Vugu za uchaguzi zimeanza katika Jimbo la uchaguzi Kibaha vijijini kwa Mwanamama EDITHA BABEIYA amejitokeza kugombea ubunge kupitia tiketi ya CHADEMA katika Jimbo hilo. Mwanamama huyo EDITHA BABEIYA ameeleza sababu kubwa yeye kuamua kugombea nafasi ya Ubunge ni kiu yake ya kutaka kuwaletea maendeleo wapiga kura wa Kibaha vijijini ambao kwa muda sasa wameongozwa na wabunge ambao si wakazi. BI.EDITHA BABEIYA ameelezea mbinu ambazo atazitumia endapo atabahatika kupata nafasi hiyo ya uwakilishi ni kuwashirikisha wananchi wote katika utoaji wa maamuzi kuanzia ngazi ya chini hadi utekelezaji. Na amewataka wapiga kura inapofika sehemu yeye ameshinda atafanya kila awezalo kuwaunganisha wananchi wote bila kujali Itikadi, BI.EDITHA BABEIYA ameshakabidhi fomu hizo rasmi katika ofisi za Jimbo za CHADEMA Kibaha vijijini sambamba na fomu ya kugombea ubunge viti maalum. END.

WALALAMIKIA KUFUNGWA KWA MNADA BAGAMOYO

Ben Komba/Pwani-Tanzania/6/26/2015 12:21:34 PM Wakazi wa kijiji cha Ruvu Darajani wilaya ya Bagamoyo katika mkoa wa Pwani wamelalamikia uongozi wa wilaya ya Bagamoyo ya kuzuia kufanyika mnanada katika eneo hilo kila siku. Mmoja wa wafanyabiashara wa ng’ombe ambaye nimebahatika kuongea naye,BW.DEOGRATIUS KIWALE amesema yeye kama mfanyabiashara wa ng’ombe wamekuwa wakinunua ng’ombe kutoka maeneo mengine na kuja kuwauza katika mnada huo wa Ruvu. BW.KIWALE ameongeza kuwa wao wamekuwa wakilipa kodi mbalimbali ambazo kwa njia moja au nyingine zimekuwa zimekuwa zinawasaidia wakazi wa kijiji hicho na kijiji chenyewe katika kuwawezesha kugharimia huduma mbalimbali za kijamii. Naye mkazi mwingine wa kijiji cha Ruvu,BW.SADALAH CHACHA amebainisha kuwa hatua ya kusimamisha mnada ni kuwakomoa wakazi wa Ruvu kutokana na wao kukataa kupokea wavamizi ambao wamevamia eneo hilo na Mkuu wa wilaya kuamrisha watu hao wapatiwe maeneo katika eneo lililovamiwa. BW.SADALAH amefafanua kuwa

MWANAMAMA AJITOKEZA KINYANG'ANYIRO CHA UBUNGE KIBAHA VIJIJINI

Ben Komba/Pwani-Tanzania/6/26/2015 11:05:45 AM Vugu Vugu za uchaguzi zimeanza katika Jimbo la uchaguzi Kibaha vijijini kwa Mwanamama EDITHA BABEIYA amejitokeza kugombea ubunge kupitia tiketi ya CHADEMA katika Jimbo hilo. Mwanamama huyo EDITHA BABEIYA ameeleza sababu kubwa yeye kuamua kugombea nafasi ya Ubunge ni kiu yake ya kutaka kuwaletea maendeleo wapiga kura wa Kibaha vijijini ambao kwa muda sasa wameongozwa na wabunge ambao si wakazi. BI.EDITHA BABEIYA ameelezea mbinu ambazo atazitumia endapo atabahatika kupata nafasi hiyo ya uwakilishi ni kuwashirikisha wananchi wote katika utoaji wa maamuzi kuanzia ngazi ya chini hadi utekelezaji. Na amewataka wapiga kura inapofika sehemu yeye ameshinda atafanya kila awezalo kuwaunganisha wananchi wote bila kujali Itikadi, BI.EDITHA BABEIYA ameshakabidhi fomu hizo rasmi katika ofisi za Jimbo za CHADEMA Kibaha vijijini sambamba na fomu ya kugombea ubunge viti maalum. END

VIDEO-WAANANCHI WAMTAKA MKUU WA WILAYA BAGAMOYO KUWAFIKIA

Image
Ben Komba/Pwani-Tanzania/6/24/2015 11:41:03 AM Wananchi wa Ruvu Darajani wilayani Bagamoyo mkoa wa Pwani, wametamka mkuu wa wilaya ya Bagamoyo, BW.HEMED MAJID MWANGA kutokaa ofisini na kutoa amri tata bila ya mwenyewe kujitoa na kufika maeneo yenye migogoro. Hayo yamezungumzwa na mwananchi, BW.RAMADHAN KONDO katika mkutano maalum wa kijiji cha Ruvu darajani kujadili mgogoro unaokisibu kijiji hicho kwa sasa,ambapo amesema kauli anazotoa mkuu wa wilaya zina utata kutokana nay eye kukaa ofisini tu badala ya kwenda kuonana na wananchi. BW.KONDO ameongeza ni vyema sasa kwa Mkuu wa wilaya kutoka badala ya kutegemea kupelekewa taarifa ambazo zina mashaka na ulaghai, kwa yeye kutoa amri tata ni kuvuka mipaka ya wajibu wake na amemtaja mkuu wa wilaya kama ndio chanzo cha mtafaruku huo. Naye mwananchi mwingine,BW.RASHID GAMA ameeleza kushangazwa kwamtendaji wa kijiji RIZIKI MLELA kutokana na mgogoro huo ikiwa ni sehemu ya vitisho kutoka kwa mkuu wa wilaya. BW.GAMA amefafanua

WAANDISHI KUPATIWA ELIMU YA KODI

Ben Komba/Pwani-Tanzania/6/25/2015 11:51:00 AM Shirika lisilo la kiserikali la YOUTH PARTNERSHIP COUNTRYWIDE kwa kushirikiana na ACTION AID wameandaa mafunzo rasmi ya uelewa juu ya nguvu ya Kodi na uwajibikaji kupitia mradi wa VIJANA VOICE IN ACCOUNTABILITY(VIVA). Mkurugenzi Mtendaji Wa Shirika la YPC, BW.ISRAEL ILUNDE akizungumza na mwandishi wa Habari hizi ofisini kwake mjini Kibaha, amesema lengo la mafunzo hayo ni kujenga uwezo kwa waandishi wa Habari kufahamu michakato ya maendeleo ya umma ili waweze kutoa mchango wao katika kufanikisha mradi na kuchochea uwajibikaji kwenye serikali za mitaa na taifa kwa ujumla. BW.ILUNDE ameongeza mbali ya kujenga uwezo kwa waandishi wa Habari mradi huo pia unalenga kuwapatia elimu na kuwajengea uwezo wa vijana na jamii nzima katika kuchochea uwajibikaji wa jamii katika kuchochea uwajibikaji katika vijiji,vitongoji na mitaa,pamoja na taasisi katika suala zima la kuleta maendeleo endelevu nchini. END.

MKUU WA WILAYA YA BAGAMOYO ATAKIWA KUTOKA OFISINI NA WANACHI.

Ben Komba/Pwani-Tanzania/6/24/2015 11:41:03 AM Wananchi wa Ruvu Darajani wilayani Bagamoyo mkoa wa Pwani, wametamka mkuu wa wilaya ya Bagamoyo, BW.HEMED MAJID MWANGA kutokaa ofisini na kutoa amri tata bila ya mwenyewe kujitoa na kufika maeneo yenye migogoro. Hayo yamezungumzwa na mwananchi, BW.RAMADHAN KONDO katika mkutano maalum wa kijiji cha Ruvu darajani kujadili mgogoro unaokisibu kijiji hicho kwa sasa,ambapo amesema kauli anazotoa mkuu wa wilaya zina utata kutokana nay eye kukaa ofisini tu badala ya kwenda kuonana na wananchi. BW.KONDO ameongeza ni vyema sasa kwa Mkuu wa wilaya kutoka badala ya kutegemea kupelekewa taarifa ambazo zina mashaka na ulaghai, kwa yeye kutoa amri tata ni kuvuka mipaka ya wajibu wake na amemtaja mkuu wa wilaya kama ndio chanzo cha mtafaruku huo. Naye mwananchi mwingine,BW.RASHID GAMA ameeleza kushangazwa kwamtendaji wa kijiji RIZIKI MLELA kutokana na mgogoro huo ikiwa ni sehemu ya vitisho kutoka kwa mkuu wa wilaya. BW.GAMA amefafanua k

MWANDISHI AJITOKEZA UDIWANI MJINI KIBAHA.

Ben Komba/Pwani-Tanzania/6/17/2015 12:30:16 PM Mwanahabari BW.DAVID GAUDENCE MSUYA amejitosa kuwania nafasi ya udiwani katika Kata ya Tangini mjini Kibaha, kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi mjini Kibaha, kufuatiwa na kuombwa na wananchi wa Kata husika. Akitangaza azma yake ya kuwania nafasi hiyo, BW.MSUYA amesema kuwa yeye anao uzoefu wa muda mrefu katika masuala ya siasa na ameguswa na matatizo mbalimbali yanayowakabili wakazi wa Kata hiyo na hivyo akipewa nafasia atahakikisha anawasaidia kwa njia moja au nyingine. BW.DAVID GAUDENCE MSUYA ambaye ni mwandishi wa Habari wa Gazeti la Jambo leo, amebainisha katika uchunguzi ambao amefanya matatizo mengi yanayowakabilIi wananchi yapo ndani ya uwezo wao, ingawa pia yapo machache ambayo Halmashauri nayo inahitajika kutoa usaidizi. END.

SHERIA KANDAMIZI YAKEMEWA

Ben Komba/Pwani-Tanzania/6/17/2015 12:09:25 PM Hatua ya serikali kutunga muswada kandamizi juu ya uhuru wa kujieleza ina lengo la kuhakikisha watawala wanaendesha mambo watakavyo wenyewe hata kama wakiwa wanafanya kinyume bila kukosolewa, hali ambayo itachochochea kasi ya ufisadi wa mali ya umma nchini. Mwanasheria DAMAS NDUMBARO ameyasema alipokuwa anatoa mada kwa viongozi vijana wa Afrika katika ofisi ya Taasisi ya FRIEDRICH EBERT STIFTUNG, ambapo amefafanua sheria hiyo itawafanya watumiaji waz mtandao kuwa katika mtego wa kushitakiwa muda wowote. BW.NDUMBARO amebainisha kuwa sheria hiyo inaminya uhuru wa kujieleza wa raia ambapo vitisho na adhabu kali kwa yoyote ambaye atakaiuka masharti magumu yaliyowekwa na sheria hiyo kandamizi. BW.NDUMBARO ameongeza kuwa adhabu ambazo zitatolewa ni kifungo miaka cha miaka mitano jela au faini ya shilingi milioni 20 kwa mwananchi ambaye atatiwa hatiani na kuzitaja sheria ya kupata Habari ya mwaka 2015, sheria ya vyombo vya Habari,

KADA KIJANA WA CCM ATIA NIA UDIWANI

Image
Ben Komba/Pwani-Tanzania/6/19/2015 3:38:25 PM Katika hali isiyo ya kawaida Mtendaji wa Kijiji cha Ruvu darajani amejikuta amewekwa kizuizini kufuatia wananchi wa kijiji cha Ruvu darajani kutaka kufanya mkutano kujadili hatua ya baadhi ya wananchi kuvamia eneo la kijiji hicho na kuanzisha makazi bila kuwashirikisha wananchi. Mtendaji huyo wa kijiji cha Ruvu darajani, BI.RIZIKI MLELA ameshikiliwa baada ya kupigiwa simu kutoka Tarafani muda mfupi kabla ya kuanza mkutano huo wa kijiji ambao moja ya agenda ni kujadili kauli ambayo inadaiwa kutolewa na Mkuu mpya wa wilaya ya Bagamoyo, ya kutengua makatazo yote ambayo yametolewa mtangulizi wake. Kitendo cha Mkuu huyo mpya ya wilaya ya Bagamoyo, BW.MAJID MWANGA kimewanyong’onyeza wananchi wa kijiji hicho ikizingatiwa ardhi iliyopo hata wenyewe haiwatoshi na itakuwaje yeye mgeni kupuuza wenyeji wake. Mwanakijiji   wa Ruvu darajani, BW.RAMADHAN KONDO amesema mara baada ya wanakijiji kulalamika  juu ya uwepo wa wavamizi katika k

VIJANA WAENDELEA KUJITOKEZA KUTIA NIA UDIWANI KIBAHA-VIDEO

Ben Komba/Pwani-Tanzania/6/19/2015 9:29:42 AM Kuendelea Kujitokeza Kwa Makada Vijana Wa Chama Cha Mapinduzi katika kutangaza nia ya kugombea nafasi mbalimbali za uwakilishi kumezua ari mpya ya vijana kushiriki msuala ya Siasa. Mmoja wa kada kijana kabisa kutangaza nia ni BW. CHRISTOPHER ELIAS MJEMA ambaye yeye amejinasibu kutia nia kugombea nafasi ya Udiwani Kata ya Mailimoja A. Bw .MJEMA amebainisha kuwa amefikia hatua hiyo baada ya kuangalia kwa karibu matatizo yanayowakabili wananchi ikiwemo ukosefu wa miundombinu ya uhakika ya mawasiliano  na umeme. Amefafanua, BW.MJEMA iwapo wananchi wakimpatia nafasi hiyo ya kuwa Diwani wa kwanza wa Kat hiyo mpya, hawatajutia uamuzi wao na akiwachukulia wao kama waajiri wake. END

MTENDAJI WA KIJIJI ASHIKILIWA KISA UVAMIZI WA ARDHI RUVU DARAJANI

Ben Komba/Pwani-Tanzania/6/19/2015 3:38:25 PM Katika hali isiyo ya kawaida Mtendaji wa Kijiji cha Ruvu darajani amejikuta amewekwa kizuizini kufuatia wananchi wa kijiji cha Ruvu darajani kutaka kufanya mkutano kujadili hatua ya baadhi ya wananchi kuvamia eneo la kijiji hicho na kuanzisha makazi bila kuwashirikisha wananchi. Mtendaji huyo wa kijiji cha Ruvu darajani, BI.RIZIKI MLELA ameshikiliwa baada ya kupigiwa simu kutoka Tarafani muda mfupi kabla ya kuanza mkutano huo wa kijiji ambao moja ya agenda ni kujadili kauli ambayo inadaiwa kutolewa na Mkuu mpya wa wilaya ya Bagamoyo, ya kutengua makatazo yote ambayo yametolewa mtangulizi wake. Kitendo cha Mkuu huyo mpya ya wilaya ya Bagamoyo, BW.MAJID MWANGA kimewanyong’onyeza wananchi wa kijiji hicho ikizingatiwa ardhi iliyopo hata wenyewe haiwatoshi na itakuwaje yeye mgeni kupuuza wenyeji wake. Mwanakijiji   wa Ruvu darajani, BW.RAMADHAN KONDO amesema mara baada ya wanakijiji kulalamika  juu ya uwepo wa wavamizi katika kij