Posts

Showing posts from April, 2017

AKIMBIWA NA WAPINZANI WAKE WAKIMUOGOPA

Image

AKIMBIWA NA WAPINZANI WAKE WAKIMUOGOPA

Image

OFISI YA TAKUKURU MKOA WA PWANI YATOA TAARIFA

Image

MVUA ZALETA FARAJA KWA WAKULIMA WA CHAURU

Ben Komba/Pwani-Tanzania/08/04/2017 11:39:56 Kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha hivi sasa, Ushirika wa umwagiliaji wa kilimo cha Mpunga halmashauri ya Chalinze unatarajia kupata mavuno makubwa kutokana maadalizi mazuri ambayo wameyafanya kuelekea msimu huu wa kilimo. Afisa umwagiliaji wa ushirika huo BW.AIDAN MTEGA amesema hayo shambani alipokuwa  anasimamia shughuli za umwagaji mbolea katika mpunga, ambapo amesema kuwa upatikanaji wa mbolea ya ruzuku kwa bei nafuu kutasaidia kwa kiasi kikubwa kuongezeka kwaa mavuno katika msimu huu wa kilimo. BW.MTEGA ameongeza kichocheo kingine kikubwa kitachosaidia upatikanaji wa mavuno kwa wi ngi ni kufanikiwa kupatiwa umeme wa REA ambao urahisishaji usambazaji wa maji katika mifereji inayotumika kwa umwagiliaji katika shamba hilo tofauti na hapo awali ambapo iliwalazimu kununua mafuta ya kuendeshea pampu ya kusukuma maji. Ameeleza kuwa wamekuwa wakikabiliwa na chamgamoto mbalimbali katika kusimamia ushirika huo hususan katika m