Posts

Showing posts from March, 2012

ABAKA MTOTO WA MIAKA 3

Ben Komba/Pwani-Tanzania/3/27/2012 6:41:51 PM Mtoto mdogo anayesoma shule ya chekechea mwenye umri wa miaka mitatu na miezi minane amebakwa leo jioni hii na kijana aliyejulikana kwa jina moja la JUSTIN mwenye umri wa miaka 20 na kusababishiwa maumivu makali katika maeneo ya Mpakani mjini Kibaha. Kwa mujibu wa mzazi wa mtoto BIBI. ASHURA WAZIRI amesema kama kawaida mtoto wake alirudi shule , na akambadilisha nguo na akaenda kucheza na mwenzake, wakati akicheza huku kijana yule mbaya JUSTIN alikuwa anafua nguo zake uwani katika nyumba hiyo ya kupanga. JUSTIN ambaye anafanya kibarua cha kuchoma kuku eneo la Maili Moja majira ya jioni, inasemekana hana hata miezi miwili toka alipowasili kutoka Mkoani Iringa, mtoto huyo kama mtoto mwingine yoyote alikuwa na upendo na wapangaji wengine wote hivyo kuingia chumba kimoja hadi kingine kwake ilikuwa kawaida. Lakini tofauti na siku nyingine mtoto huyo aliingia chumbani alichokuwa analala JUSTIN huku Mama yake akiwa dukani ambako amejiajiri hak
Image
Ben Komba/Pwani-Tanzania/3/24/2012 5:05:02 PM Chama cha waandishi wa habari wa mazingira na za watu wenye ulemavu Mkoani Pwani, (PEDWA) wamekutana leo kwa mara ya kwanza katika kupanga mkakati wa kuanza baadhi ya shughuli zake kwa kutumia nguvu zake yenyewe ili kuonyesha umuhimu wa masuala ya mazingira na ya watu wenye ulemavu katika jamii. Katika kikao cha pamoja na baadhi ya wadau wa masuala hayo, Mwenyekiti wa PEDWA- PWANI ENVIROMENTAL AND DISABLED WRITERS ASSOCIATION, BW. BERNARD KOMBA amesema lengo la kuanzishwa kwa asasi hiyo isiyo tengeneza faida, ni kuielimisha jamii juu ya umuhimu wa utunzaji wa mazingira na kuthamini watu wenye ulemavu. BW. KOMBA amebainisha kuwa jamii bado inafanya dhihaka juu ya masuala hayo ambayo kuyatekeleza ni sawa na kutekeleza hqaki za msingi za binadamu, hasa ikizingatiwa binadamu wana haki ya kuishi katika mazingira yatakayomwezesha kufanya shughuli zake bila kusumbuliwa na majanga ya asili yanayosababishwa na ukataji misitu holela
Ben Komba/Pwani-Tanzania/3/24/2012 5:05:02 PM Chama cha waandishi wa habari wa mazingira na za watu wenye ulemavu Mkoani Pwani, (PEDWA) wamekutana leo kwa mara ya kwanza katika kupanga mkakati wa kuanza baadhi ya shughuli zake kwa kutumia nguvu zake yenyewe ili kuonyesha umuhimu wa masuala ya mazingira na ya watu wenye ulemavu katika jamii. Katika kikao cha pamoja na baadhi ya wadau wa masuala hayo, Mwenyekiti wa PEDWA- PWANI ENVIROMENTAL AND DISABLED WRITERS ASSOCIATION, BW. BERNARD KOMBA amesema lengo la kuanzishwa kwa asasi hiyo isiyo tengeneza faida, ni kuielimisha jamii juu ya umuhimu wa utunzaji wa mazingira na kuthamini watu wenye ulemavu. BW. KOMBA amebainisha kuwa jamii bado inafanya dhihaka juu ya masuala hayo ambayo kuyatekeleza ni sawa na kutekeleza hqaki za msingi za binadamu, hasa ikizingatiwa binadamu wana haki ya kuishi katika mazingira yatakayomwezesha kufanya shughuli zake bila kusumbuliwa na majanga ya asili yanayosababishwa na ukataji misitu holela. Aidha kwa up
BEN KOMBA/PWANI-TANZANIA/3/22/2012 8:35:45 PM Suala la maji safi na mazingira ni miongoni mwa maeneo ambayo yamo katika nguzo kuu katika kuboresha maisha na ustawi wa jamii katika utekelezaji wa MKUKUTA. Katibu tawala wilaya ya Kibaha BW. JUSSEIM MWAKIPESILE ameyasema hayo wakati wa maadhimisho ya wiki ya maji ambayo kiwilaya yamefanyika katika mji mdogo wa Mlandizi. Ambapo BW. MWAKIPESILE amesema serikali katika kuhakikisha inakabiliana na uhaba wa maji na kuboresha usafi wa mazingira kwa kushirikiana na wadau wa maendeleo imeanzisha program ya maji na usafi wa mazingira kwenye vijiji ambavyo vinakabiliwa na uhaba wa mkubwa wa maji. Amefafanua kuwa program hiyo imeanza toka mwaka 2006 na inatarajiwa kukamilika mwaka 2025 na lengo kuu ni kuhakikisha wananchi wote wanapata maji safi na salama karibu na makazi yao ifikapo mwaka 2025 sambamba na dira ya maendeleo. Awali mhandisi wa maji katika halmashauriWilayani Kibaha, BW. CHRISTOPHER MDUMA amebainisha kuwa maadhimisho ya wiki ya
Image
Ben Komba/Pwani-Tanzania/3/17/2012Friday, March 16, 2012/08:25:17 PM Halmashauri ya wilaya ya Kibaha, inatarajia kuwa na mamlaka yake yenyewe ya maji iwapo itafanikiwa kupata chanzo tofauti na Mto Ruvu, kutokana na mto huo kushindwa kukidhi mahitaji kwa watumiaji wa maji kutokana na kuzidiwa uwezo. Mhandisi wa maji wilayani Kibaha, MHANDISI. CHRISTOPHER MDUMA ameyasema hayo wakati wa uzinduzi wa wiki ya maji ambayo umefanyika Mlandizi, ambapo amesema kuna masharti ya kuwa na mamlaka ya maji, na mojawapo ni kuwa na chanzo kipya cha uhakika ambacho kitaweza kusambaza maji katika vijiji mbalimbali. Mhandisi MDUMA amebainisha kwa sasa, wilaya za mkoa wa Pwani za Bagamoyo, Kisarawe na Kibaha zipo chini ya DAWASA, na hii ni kutokana na Mkoa wa Dar es Saalam kuegemea chanzo kwa wakazi wake kiasi cha kushindwa kutosheleza mahitaji ya wakazi wa Jiji. Akifafanua kuhusu uwezekano wa Kibaha kuwa na mamlaka yake yenyewe ya maji upo, na kinachofanyika ni kufuatilia kwa karibu chanzo cha maji
Ben Komba/Pwani-Tanzania/3/23/2012 5:19:44 PM Halmashauri ya wilaya ya Kibaha kwa mara ya kwanza imezindua Baraza lake la wafanyakazi lenye jukumu la kuwashirikisha wafanyakazi wa halmashauri katika utekelezaji wa shughuli za halmashauri kwa kushirikiana na uongozi. Akizungumza katika uzinduzi wa baraza hilo katibu tawala wilaya ya Kibaha, BW. JUSSEIM MWAKIPESILE akimwakilisha mkuu wa wilaya HAJAT HALIMA KIHEMBA, amesema baraza hili ni mwanzo mpya wa kihistoria kwa halmashauri ya wilaya ya Kibaha ikiwa kama sehemu ya sera ya kushirikisha wafanyakazi katika kila Nyanja ya halmashauri. Na lengo kubwa likiwa ni kuongeza ufanisi mahali pa kazi ikiwa pamoja na kuboreha utendaji wa utumishi wa umma kwa kutoa huduma stahili kwa mteja anapohitaji kwa kuzingatia maadili na sheria za kazi zinazomzunguka mfanyakazi. Aidha BW. MWAKIPESILE amebainisha kuwa baraza la wafanyakazi lina wajumbe wa kuteuliwa, wajumbe wa kuchaguliwa na wajumbe ambao wanaingia barazani kwa nyadhifa zao, hivyo amesisit

MWENYEKITI WA CCM WILAYA YA KISIASA KIBAHA MJINI MATATANI

Ben Komba/Pwani-Tanzania/3/17/2012 1:36:44 PM Katika kile kinachoashiria kuongezeka kwa migogoro ya ardhi kulikosababishwa na viongozi wa serikali za mitaa na vijiji waliomaliza muda wao kuuza maeneo bila kufuata taratibu za kisheria, Imelililazimu Baraza la ardhi la kata ya Tumbi kuhamia mtaa wa Boko Temboni ambalo limezua mgogoro kwa pande mbili ambazo kila moja inadai ni eneo lake. Katika tukio moja la aina hiyo hatimaye lilimfikisha katika Baraza la ardhi kata ya Tumbi, Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi mjini Kibaha, BW. MAULID BUNDALA, kujibu tuhuma ya kuhusika kwake katika kuuzwa kwa shamba la Marehemu, BW. JOHN BAYONA, Kwa mtu mwingine BW. SEGE MWAKISALE, Wakati huo yeye akiwa mwenyekiti wa serikali ya mtaa wa Boko Temboni. Mlalamikaji katika shauri hilo, BI. ASTRIDE BAYONA ameliambia baraza la ardhi la kata ya Tumbi kuwa eneo ambalo BW. MWAKISALE ameuziwa ni mali ya marehemu Baba yake, na mtu aliyeuza eneo hilo BW. ABDALLAH ONYANGO alikuwa ni mwangalizi aliyewekwa kulit

MWENYEKITI WA CCM WILAYA YA KISIAS KIBAHA MJINI MATATANI

Ben Komba/Pwani-Tanzania/3/17/2012 1:36:44 PM Katika kile kinachoashiria kuongezeka kwa migogoro ya ardhi kulikosababishwa na viongozi wa serikali za mitaa na vijiji waliomaliza muda wao kuuza maeneo bila kufuata taratibu za kisheria, Imelililazimu Baraza la ardhi la kata ya Tumbi kuhamia mtaa wa Boko Temboni ambalo limezua mgogoro kwa pande mbili ambazo kila moja inadai ni eneo lake. Katika tukio moja la aina hiyo hatimaye lilimfikisha katika Baraza la ardhi kata ya Tumbi, Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi mjini Kibaha, BW. MAULID BUNDALA, kujibu tuhuma ya kuhusika kwake katika kuuzwa kwa shamba la Marehemu, BW. JOHN BAYONA, Kwa mtu mwingine BW. SEGE MWAKISALE, Wakati huo yeye akiwa mwenyekiti wa serikali ya mtaa wa Boko Temboni. Mlalamikaji katika shauri hilo, BI. ASTRIDE BAYONA ameliambia baraza la ardhi la kata ya Tumbi kuwa eneo ambalo BW. MWAKISALE ameuziwa ni mali ya marehemu Baba yake, na mtu aliyeuza eneo hilo BW. ABDALLAH ONYANGO alikuwa ni mwangalizi aliyewekwa kulit

SHERIA YA HUDUMA ZA MAJI NA USAFI WA MAZINGIRA YA MWAKA 2009

Ben Komba/Pwani-Tanzania/3/18/2012 8:01:57 PM Halmashauri ya wilaya ya Kibaha imeazimia kuanza kutekeleza kwa vitend sheria ya huduma za maji na usafi wa mazingira ya mwaka 2009, sheria ambayo imetungwa kwa dhumuni la kuweka masharti ya usimamizi na uendeshaji wa huduma za maji na usafi wa mazingira. Akizungumza katika maadhimisho ya maji yanayoendelea mpaka yatakapofika kilele hapo MARCH 03, Mwanasheria wa halmashauri ya wilaya ya Kibaha, BI.SALAMA MANGARA amesema sheria hiyo imefafanua juu ya wajibu wa wadau mbalimbali katika uendeshaji wa miradi ya maji katika ngazi ya jamii. BI. MANGARA amefafanua kuwa pamoja na mambo mengine sheria inazungumzia uanzishwaji wa vyombo vya kisheria vya watumiaji maji yaani “community owned water supply organisation (COWSO). Amebainisha kuwa serikali itakuwa na jukumu nla kufanya mapitio ya sera ya maji pale itakapohitajika, kutoa mwongozo wa jinsi ya kuunda kusajili, kusimamia, na kuongoza vyombo vya watumiaji maji kwa ushirikiano na halnmas

MAADHIMISHO YA WIKI YA MAJI YAANZA MJINI KIBAHA

Ben Komba/Pwani-Tanzania/3/17/2012Friday, March 16, 2012/08:25:17 PM Halmashauri ya wilaya ya Kibaha, inatarajia kuwa na mamlaka yake yenyewe ya maji iwapo itafanikiwa kupata chanzo tofauti na Mto Ruvu, kutokana na mto huo kushindwa kukidhi mahitaji kwa watumiaji wa maji kutokana na kuzidiwa uwezo. Mhandisi wa maji wilayani Kibaha, MHANDISI. CHRISTOPHER MDUMA ameyasema hayo wakati wa uzinduzi wa wiki ya maji ambayo umefanyika Mlandizi, ambapo amesema kuna masharti ya kuwa na mamlaka ya maji, na mojawapo ni kuwa na chanzo kipya cha uhakika ambacho kitaweza kusambaza maji katika vijiji mbalimbali. Mhandisi MDUMA amebainisha kwa sasa, wilaya za mkoa wa Pwani za Bagamoyo, Kisarawe na Kibaha zipo chini ya DAWASA, na hii ni kutokana na Mkoa wa Dar es Saalam kuegemea chanzo kwa wakazi wake kiasi cha kushindwa kutosheleza mahitaji ya wakazi wa Jiji. Akifafanua kuhusu uwezekano wa Kibaha kuwa na mamlaka yake yenyewe ya maji upo, na kinachofanyika ni kufuatilia kwa karibu chanzo cha m

MWENYEKITI WA CCM MATATANI KWA MGOGORO WA ARDHI.

Hi Friends