Posts

Showing posts from January, 2015

WATOTO WA WAFUGAJI WATAKIWA KUPATIWA ELIMU-GOSHEN INLAND CHURCH-VIDEO

Image
Ben Komba / Coast-Tanzania / 1/29/2015 12:03:56 PM Politicians in the country have been asked to do politics in order to save the country civilized plunged Into the tragedy of violence in the period Leading to the Election of the President, MPs and councilors That zitadhoofisha security and peace of the country in the Welfare and well -being of the Individual and the nation as a whole. That has been a pastor Goshen urban INLAND BUKELEBE BW.JACKSON Kibaha in Coast region During a special SYNERGY of the construction of the center of the small children of Pastoralist Communities in the County of Bagamoyo District Chamakweza Coast region. Pastor BUKELEBE has urged politicians to abandon the politics of pouring insults on stage to Preach peace and love in order to provide an an opportunity for Citizens to make informed Decisions and without there ving to dial nikupige a Power Struggle as we witnessed it with OUR Neighbors Kenya, WHO Were martyred in sufficient quantities so

WAFUGAJI WATAKIWA KUPELEKA WATOTO SHULE.

Ben Komba / Coast-Tanzania / 1/29/2015 12:03:56 PM Politicians in the country have been asked to do politics in order to save the country civilized plunged into the tragedy of violence in the period leading to the election of the President, MPs and councilors that zitadhoofisha security and peace of the country in the welfare and well-being of the individual and the nation as a whole. That HAS BEEN a pastor Goshen urban INLAND BW.JACKSON BUKELEBE Kibaha in Coast region during a special synergy of the construction of the center of the small children of pastoralist communities in the County of Bagamoyo District Chamakweza Coast region. Pastor BUKELEBE has urged politicians to abandon the politics of pouring insults on stage to preach peace and love in order to provide an opportunity for citizens to make informed decisions and without having to dial nikupige a power struggle as we witnessed it with our neighbors Kenya, who were martyred in sufficient quantities so kuyjikuta

SHUHUDIA MANDHARI MABOVU YA SHULE YA MSINGI MAILIMOJA MJINI KIBAHA.

Image
Ben Komba / Coast-Tanzania / 20-01-2015 government efforts in ensuring promotes educational level to create an environment friendly teaching and learning seems to be a dream which is more than the dream of Kimweri which later, it was clear that it specifies. State of the school based Mailimoja existing in the council of the City of Kibaha deplorable due to the existing buildings at the school that the threat of life for teachers and students who study at the school. Author This information has visited area of the school's and testify school that most students 950, with six rooms only, viunavyotumika and four between rooms so that were built by TASAF are subjected to a level that even tape on or Gebo not set. headmaster of the school of BASIC Miles one, BW.REGINALD Fanuel said congestion of the students at the school are the biggest challenges the finds at it and thus cause them to Teachers pile it up students in apartments few available. BW.FANUEL added that

TGNP YAHIMIZA USHIRIKI SAWA KATIKA CHAGUZI

Ben Komba/Pwani-Tanzania/1/11/ 2015/ 2:38:54 PM Waandishi wa habari nchini wametakiwa kutoa elimu kuhusiana na ushiriki wa makundi ya vijana, wanawake na watu wenye ulemavu katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu. Hayo yamezungumzwa na BI.REBBECA MJEMA kutoka asasi isiyo ya kiserikali ya TGNP na kituo cha sheria na haki za binadamu, katika mafunzo kwa ajili ya kubadilishana uzoefu j uu ya ushiriki wa makundi ya wanawake,vijana na wenye ulemavu katika chaguzi mbalimbali, Bi.MJEMA amesema imekuwa desturi kwa makundi hayo tajwa kuwekwa kando na kutopewa fursa ya kushiriki katika kupata nafasi   ya kugombea katika chaguzi nchini, kutokana na baadhi ya wanasiasa kwa makusudi kuyatumia makundi hayo kwa faida zao binafsi. Mmoja waa washiriki wa mafunzo hayo Mwandishi mwenye ulemavu wa macho kutoka Mkoa wa Pwani, BW.ABDALLAH amesema yeye kwa upande wake alitumia haki yake ya kikatiba kama Mtanzania ya kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa Serikal

SHULE YA MSINGI MAILIMOJA YATIA AIBU KWA UBOVU

Ben Komba/Pwani-Tanzania/20-01- 2015 Juhudi za serikali katika kuhakikisha inakuza kiwango cha elimu kwa kutengeneza mazingira rafiki ya kujifunzia na kufundishia inaonekana kuwa ni ndoto ambayo ni zaidi ya ndoto ya Kimweri ambayo baadye ilidhihirika kuwa ni bayana. Hali ya shule ya msingi Mailimoja iliyopo katika ya halmashauri ya Mji wa Kibaha inasikitisha kutokana na majengo yaliyopo shuleni hapo kuwa kitisho cha uhai kwa Walimu na wanafunzi wanaosoma shuleni hapo. Mwandishi whabari hizi amezuru eneo la shule hiyo na kushuhudia shule hiyo yenye wanafunzi 950, ikiwa na vyumba sita tu, viunavyotumika na vine kati ya vyumba hivyo ambavyo vilijengwa na TASAF vikiwa chini ya kiwango kiasi kwamba hata mkanda wa juu au GEBO haijawekwa. Mwalimu Mkuu wa shule ya MSINGI Maili moja, BW.REGINALD FANUEL amesema msongamano wa wanafunzi shuleni hapo ni changamoto kubwa wanayokuta nayo na hivyo kuwalazimu Walimu kuwarundika wanafunzi katika vyumba vichache vilivyopo. BW.FANUE

MAJAMBAZI YAUA ASKARI RUFIJI.

Majambazi yanayokadiriwa sita,wamevamia kituo kikuu cha Polisi Ikwiriri wilayani Rufiji,baada ya majambazi hayo kuvamia kituo hicho muda wa saa nane usiku na kupora silaha zilizokuwapo kituoni hapo,chanzo cha habari kilichopo Rufiji,BW.ALLY RASHID amesema haraksti zonaendelea kufanywa na Jeshi la Polisi kwa kutumia helikopta,juhudi za kumpata kamanda wa Polisi mkoa wa Pwani,Mrakibu msaidizi mwandamizi wa Polisi ULRICH MATEI zilishindikana baada ya simu yake kuitwa bila kupokelewa askari waliouwawa walikuwa ktk zamu usiku wa jana kuamkia leo,BW.RASHID ameongeza kuwa hali wilayani Rufiji ni wasiwasi mkubwa kwa wananchi na wameitaka serikali kuhakikisha wahalifu hao wanakamatwa.

SHERIA YA HAKI YA MTOTO 2009 ITEKELEZWE KWA VITENDO

Ben Komba/Pwani-Tanzania/1/17/2015 2:12:19 PM Shirika lisilo la kiserikali la CENTRE FOR CHILDREN,YOUNG PEOPLE ADULT EDUCATION –CYDAD- la mjini Kibaha limewataka waandishi wa habari na vyombo vya habari kusaidia jamii katika kuelewa sheria ya mwaka 2009 inayohusiana na haki ya mtoto. Afisa mradi wa shirika hilo, BI.MARGARETH ALOYCE amewaambia waandishi wa habari aliokutana naomjini Kibah   kujadiliana juu ya nafasi ya vyombo vya habari na waandishi katika kuhakikisha sheria hiyo inatekelezwa na jamii. BI.ALOYCE amesema kuwa kwa vyombo vya habari kutoa nafasi kwa habari zinazohusiana na ukandamizaji unaofanywa kwa watoto kutasaidia kuipa mwamko jamii kuhusiana na suala zima la haki za mtoto. Ambapo amebainisha kuwa vipaumbele juu ya utekelezaji wa sheria ya haki za mtoto ya mwaka 2009, ni jamii iwekeze kuokoa uhai   watoto na wanawake,lishe, kuwawekea watoto mazingira rafiki mashuleni na katika vituo vya afya, mtoto kuwekewa mazingira mazuri ya baadaye. BIBI.AL

MGANGA WA KIENYEJI ATAPELI NA KUTISHIA KUUA

Ben Komba/Pwani,Tanzania/Saturday, January 17, 2015 Mama mmoja mkazi wa Picha ya ndege mjini Kibaha BI.SALMA RASHID amejikuta katika matata makubwa kufuatia mtu aliyemwamini kumtunzia eneo lake kumdhulumu na kudai ni lake na hati nalo. BIBI   SALMA RASHID mjane mweenye watoto watatu katikam kipindi hicho yeye alikuwa anakabiliwa na matatizo ya ugonjwa wa moyo na hivyo kulazimika kurudi nyumbani kwao Mkuyuni, Matombo Mkoani Morogoro. Akiwa anaendelea na tiba ndipo dada yake alipompa taarifa ya kuwepo kwa mganga mmoja wa kienyeji maeneo hayohayo aliyetoka yeye angeweza kumtibia tatizo lake la moyo kupeapea na kumfdahamisha jina la mganga huyo kama BW.ALLY HIYARI na kumueleza kuwa anaweza kumsaidia tatizo lake hilo. Katika kipindi chote cha matibabu BIBI.SALMA RASHID alitokea kumwamini mganga HIYARI na hivyo kumuelezea kuhusu yeye kumiliki eneo na kumtaka wakati yeye akiwa yupo Morogoro kwa ndugu zake akijiangalia afya yake basi atupie macho katika eneo lake kuepusha