MAJAMBAZI YAUA ASKARI RUFIJI.

Majambazi yanayokadiriwa sita,wamevamia kituo kikuu cha Polisi Ikwiriri wilayani Rufiji,baada ya majambazi hayo kuvamia kituo hicho muda wa saa nane usiku na kupora silaha zilizokuwapo kituoni hapo,chanzo cha habari kilichopo Rufiji,BW.ALLY RASHID amesema haraksti zonaendelea kufanywa na Jeshi la Polisi kwa kutumia helikopta,juhudi za kumpata kamanda wa Polisi mkoa wa Pwani,Mrakibu msaidizi mwandamizi wa Polisi ULRICH MATEI zilishindikana baada ya simu yake kuitwa bila kupokelewa askari waliouwawa walikuwa ktk zamu usiku wa jana kuamkia leo,BW.RASHID ameongeza kuwa hali wilayani Rufiji ni wasiwasi mkubwa kwa wananchi na wameitaka serikali kuhakikisha wahalifu hao wanakamatwa.

Comments

Popular posts from this blog

MAFUNZO YA UREFA