MAFUNZO YA UREFA
Ben
Komba/Pwani-Tanzania/23-07-2013/10:03
Chama cha
marefa wilayani Kibaha kinaendesha program maalum ya mafunzo kwa marefa wapya
wenye kutaka kujiendeleza kuwa waamuzi katika ngazi mbalimbali za ligi za
mchezo huo.
Katibu wa
Chama cha marefa wilayani Kibaha ambaye pia ndio refa bora wa ligi ya VODACOM
msimu uliopita BW.SIMON MBELWA amesema lengo la mafunzo hayo ni kuwezesha
kuzalisha marefa wapya.
BW.MBELWA
amefafanua kuwa katika mambo ambayo yatazingatiwa katika mafunzo hayo ni
ufundishaji wa sheria 17 za soka ambazo kila mwamuzi anapaswa kuzifahamu kwa
ufasaha ili kuepusha malalamiko na wakati mwingine hata vurugu katika mchezo
huo.
Naye mmoja
wa washiriki wa mafunzo hayo, BW. GEORGE amesema kwa kupatiwa mafunzo hayo
kutawasaidia kufanya maamuzi yaliyo sahihi wakati wakichezesha mechi za
michuano mbalimbali.
END.
Naitaji kujifunza urefa
ReplyDeleteHello nahitaji kuwa mwamuzi wa mchezo wa mpira wa miguu 0687176395
ReplyDeleteNahitaji kuwa refa wa mpira wa miguu,nahitaji ufafanuz,kwa taaluma ni mwalimu wa lugha ya kiingereza namba 0717272665 whatsap kwa maelezo zaid,nahitaji kujua Qaulities en the utaratibu wa kuanza.
ReplyDeleteNataka kuchukua coz ya urefa je taratibu zinakuwaje ili niweze kufanikisha hilo
ReplyDeleteNahitaji kuwa refa wa mpira wa miguu ninachoomba kufahamu nikwamba utaratibu upoje an kwa kuweza kupata hiyo nafasi namba angu ya cm Ni 0765860325
ReplyDeleteNahitaji kozi ya urefaa ,, japo Kwa sas ni refa wa timu za mchangani ,, na mwaka jana nilipewa tuzo ya refa Bora na mwaka huu pia nimechkua Kwa mara nyingine.. nahitaji kuendeleza Kipaji change,, kutoka manyara 0627272466 whatsapp
ReplyDeleteHabari me bekham lazaro nahitaj kuwa refari wa Moira wa miguu Tff naomba mnielekeze utaratibu upoje . mobile 0766607273
ReplyDeletenahitaji kuwa wa refa wa mpira wamiguu kufahamu utaratibu upoje 0618907612
ReplyDelete