Posts

Showing posts from March, 2016

MTP BAND KUTOKA NA SINGLE YA KAVIMBA JICHO

Image

VIDEO-UBINGWA NGUMI KUPIGANIWA ALHAMISI MARCH 30 KIBAHA

Image
Ben Komba/Pwani-Tanzania/3/25/3/30/2016 1:55:24 PM Wananchi katika Kata ya Pangani wameilalamikia halmashauri ya mji wa Kibaha kwa kushindwa kutekeleza mradi wa maji ambao umegharimu zaidi ya shilingi  milioni mia tano ambazo inasemekana zimetumika kinyume cha taratibu na kusababisha mradi kuwa chini ya kiwango stahili. Aliyekuwa Mwenyekiti wa kamati ya watumiaji maji, BW.REGINALD MUSHI ambaye amesema mradi huo wa  maji katika Kata ya Pangani umekuwa ukikabilwa na changamoto mbalimbali za utekelezaji. BW.MUSHI amebainisha kuwa mabomba yaliyotumika ni REJECT kiasi kwamba maji yalipofunguliwa mabomba hayo yakaanza kupasuka hovyo na kusababisha mradi kushindwa kufikia malengo ya kuwafikishia wananchi maji ya bomba. BW.MUSHI ameongeza kuwa kilipofika kipindi cha kununua vifaa kamati ya watumiaji maji ikawekwa kando na maofisa wa halmashauri ndio wliokwenda kununua mabomba hayo, Kwa makadirio yake anasema mradi huo utekelezaji wake una ubadhirifu kwa shilingi milioni 150

VIDEO-FEDHA ZA MAJI ZA BENKI YA DUNIA ZAFUJWA MJINI KIBAHA

Image
Ben Komba/Pwani-Tanzania/3/25/3/30/2016 1:55:24 PM Wananchi katika Kata ya Pangani wameilalamikia halmashauri ya mji wa Kibaha kwa kushindwa kutekeleza mradi wa maji ambao umegharimu zaidi ya shilingi  milioni mia tano ambazo inasemekana zimetumika kinyume cha taratibu na kusababisha mradi kuwa chini ya kiwango stahili. Aliyekuwa Mwenyekiti wa kamati ya watumiaji maji, BW.REGINALD MUSHI ambaye amesema mradi huo wa  maji katika Kata ya Pangani umekuwa ukikabilwa na changamoto mbalimbali za utekelezaji. BW.MUSHI amebainisha kuwa mabomba yaliyotumika ni REJECT kiasi kwamba maji yalipofunguliwa mabomba hayo yakaanza kupasuka hovyo na kusababisha mradi kushindwa kufikia malengo ya kuwafikishia wananchi maji ya bomba. BW.MUSHI ameongeza kuwa kilipofika kipindi cha kununua vifaa kamati ya watumiaji maji ikawekwa kando na maofisa wa halmashauri ndio wliokwenda kununua mabomba hayo, Kwa makadirio yake anasema mradi huo utekelezaji wake una ubadhirifu kwa shilingi milioni 150

MRADI WA MAJI KATA YA PANGANI KIBAHA NI JIPU

Ben Komba/Pwani-Tanzania/3/25/2016 12:44:42 PM Wananchi katika Kata ya Pangani wameilalamikia halmashauri ya mji wa Kibaha kwa kushindwa kutekeleza mradi wa maji ambao umegharimu zaidi ya shilingi  milioni mia tano ambazo inasemekana zimetumika kinyume cha taratibu na kusababisha mradi kuwa chini ya kiwango stahili. Aliyekuwa Mwenyekiti wa kamati ya watumiaji maji, BW.REGINALD MUSHI ambaye amesema mradi huo wa  maji katika Kata ya Pangani umekuwa ukikabilwa na changamoto mbalimbali za utekelezaji. BW.MUSHI amebainisha kuwa mabomba yaliyotumika ni REJECT kiasi kwamba maji yalipofunguliwa mabomba hayo yakaanza kupasuka hovyo na kusababisha mradi kushindwa kufikia malengo ya kuwafikishia wananchi maji ya bomba. BW.MUSHI ameongeza kuwa kilipofika kipindi cha kununua vifaa kamati ya watumiaji maji ikawekwa kando na maofisa wa halmashauri ndio wliokwenda kununua mabomba hayo, Kwa makadirio yake anasema mradi huo utekelezaji wake una ubadhirifu kwa shilingi milioni 150 tu zi

VIDEO-KATA YA PANGANI MJINI KIBAHA YA MFANO KTK POLISI JAMII KIMKOA

Image
Ben Komba/Pwani-Tanzania/3/22/2016 3:13:38 PM Katika kuimarisha ulinzi na usalama wa Mtaa wa Pangani halmashauri ya mji wa Kibaha umefanikiwa kupunguza kwa kiasi kikubwa wimbi la uhalifu ambalo lilikuwa limetawala katika mtaa huo. Akisoma taarifa ya kikosi cha Polisi jamii kwa mgeni rasmi mara baada ya kuhitimu mafunzo ya ukakamavu mmoja wa maaskari wa Polisi jamii Kata ya Pangani, BI.ASHA KIRUMBI amesema toka kuanzishwa kwa ulinzi shirikishi jamii kwa kiasi kikubwa wamefanikiwa kupunguza uhalifu ambao ulikuwa unajitokeza mara kwa mara. BI.KIRUMBI ameongeza kuwa kabla ya kuanza kwa ulinzi shirikishi jamii walikuwa wakikabiliwa na vitendo mbalimb ali vya uhalifu ikiwa pamoja na mauaji na ukabaji, vitendo ambavyo kwa sasa vimedhibitiwa kwa kiasi kikubwa kutokana na juhudi ambazo zimefanywa na Jeshi la Polisi mjini Kibaha. BI.KIRUMBI amechukua hatua kumpongeza Polisi Kata ya Pangani KOPLO SILVERY MUJUNI ambaye amewawezesha kwa kuwapa moyo na mbinu mbalimbali za kudhibi

VIDEO-MWENYEKITI WA USHIRIKA ASIMAMISHWA KWA KUJIKOPESHA FEDHA

Image
Ben Komba/Pwani-Tanzania/3/24/2016 10:30:47 AM Mwenyekiti wa ushirika wa kilimo cha mpunga kwa njia ya umwagiliaji Ruvu katika halmashauri ya wilaya ya Bagamoyo amesimamishwa uongozi kutokana na kile kinachodaiwa amejikopesha fedha za ushirika huo. Kaimu mrajis msaidizi wa vyama vya ushirika mkoa wa Pwani, BW.HIJA YANGE amesema Mwenyekiti huyo wa ushirika wa  umwagiliaji BW. ERASTO MWAMKINGA inasemekana alijikopesha fedha hizo katika kipindi cha Desemba mwaka jana bila kufuata utaratibu wa vyama vya ushirika. BW.NYANGE amewataka wanachama kutafakari hatua gani ambazo watzichukua dhidi ya Mwenyekiti huyo na wenzie wengine wawili ambao walishiriki katika kutia saini na kuwezesha kuchotwa kwa fedha takriban milioni 26. VOX 1- IBRAHIM NINDI Afisa ushirika aliyechunguza Vox – 2-HIJA YANGE-MRAJIS MSAIDIZI USHIRIKA PWANI Hata hivyo katika hatua nyingine, Makamu mwenyekiti wa Ushirika huo wa kilimo cha mpunga kwa njia ya umwagiliaji amewaambia wanaushirika huo kuwa mpaka

VIDEO=ANATAFUTA NDUGUZE

Image
Ben Komba/Pwani-Tanzania/3/17/2016 8:26:57 AM Mwanamke mwenye umri unaokadiriwa hamsini amewataka ndugu zake kujitokeza kumchukua kutokana nay eye kuwa katika hali ya kutotambua anakoenda wala anakotoka. Mwanamke huyo ambaye amejitambulisha kwa jina la BI.ASIAT MASOUD amesema kuwa yeye alikuwa ameolewa Jeshini Gongolamboto na kuishi katika kambi kama mmoja wa wake wa wanajeshi wanaofanya kazi hapo. Tatizo  kubwa ambalo  analo BIBI.ASIAT MASOUD ni kuchanganya maneno unapojaribu kumhoji kujua kulikoni juu ya maisha yake mpaka kujikuta akitangatanga katika mitaa ya mji wa Kibaha. Naye mmoja wa wananchi ambao wamekuwa wakimsaidia huyo mama ambaye pia ni Mwenyekiti wa soko la Mailimoja, BW. ALLY GONZI amewataka ndugu wa Mama huyu kujitokeza kumchukua ndugu yao ili kumuepusha na dhiki anazokabiliana nazo END.

VIDEO-WAFANYABIASHARA SOKO LA MAILIMOJA WANATAKA SERIKALI KUWATHAMINI

Image
Ben Komba/Pwani-Tanzania/3/16/2016 8:42:21 AM Wafanyabiashara katika soko la Mailimoja halmashauri ya mji wa Kibaha wameitaka serikali kuwalinda ili kuepuka changamoto mbalimbali zinazowakabili katika utekelezaji wao wa majukumu yao ya kila siku. Mratibu wa wafanyabiashara nchini, BW.ALLY NDAUKA ameongea hayo katika mkutano wa wafanyabiashara wa soko la Maili moja ambapo amesema wafanyabiashara wadogo wamekuwa wakikabiliwa na changamoto nyingi. BW.NDAUKA ameongeza kuwa wafanyabiashara wamekuwa wakifilisiwa kutokana na uwepo wa sheria stukizi ambazo mara nyingi huwasababishia wafanyabiashara hasara na hasa ikizingatiwa wafanyabiashara hao wanaendesha biashara zao kwa mikopo. Vox1-ALLY NDAUKA VOX 2-RAMADHAN NGOWO Naye mmoja wa wafanyabiashara sokoni hapo, BW.RAMADHAN NGOWO amepinga kufanyika kikao hicho kutokana na kukosekana kwa Mkurugenzi wa mji na afisa biashara wahalmashauri ya mji wa Kibaha. Bw .NGOWO amefafanua wamekuwa wakilipishwa ushuru mbalimbali kin

WAFANYABIASHARA SOKO LA MAILIMOJA WANATAKA WATHAMINIWE

Ben Komba/Pwani-Tanzania/3/16/2016 8:42:21 AM Wafanyabiashara katika soko la Mailimoja halmashauri ya mji wa Kibaha wameitaka serikali kuwalinda ili kuepuka changamoto mbalimbali zinazowakabili katika utekelezaji wao wa majukumu yao ya kila siku. Mratibu wa wafanyabiashara nchini, BW.ALLY NDAUKA ameongea hayo katika mkutano wa wafanyabiashara wa soko la Maili moja ambapo amesema wafanyabiashara wadogo wamekuwa wakikabiliwa na changamoto nyingi. BW.NDAUKA ameongeza kuwa wafanyabiashara wamekuwa wakifilisiwa kutokana na uwepo wa sheria stukizi ambazo mara nyingi huwasababishia wafanyabiashara hasara na hasa ikizingatiwa wafanyabiashara hao wanaendesha biashara zao kwa mikopo. Naye mmoja wa wafanyabiashara sokoni hapo, BW.RAMADHAN NGOWO amepinga kufanyika kikao hicho kutokana na kukosekana kwa Mkurugenzi wa mji na afisa biashara wahalmashauri ya mji wa Kibaha. Bw .NGOWO amefafanua wamekuwa wakilipishwa ushuru mbalimbali kinyume cha taratibu kiasi kwamba zinachangia k

VIDEO-WALALAMIKA SERIKALI KUWATENGA

Image
Ben Komba/Pwani-Tanzania/3/9/2016 1:02:57 PM Mkuu wa wilaya ya Bagamoyo, BW.MAJID MWANGA amelazimika kusimamisha mkutano wa watu wa jamii ya Kimasai kwa madai ya kutokuwa na kibali chenye kuwawezesha kufanya mkutano huo. Kwa mujibu wa Mkazi wa kijiji cha wafugaji Chamakweza BIBI REHEMA LAINI amesema sababu ya kukusanyika kwao ni kupokonywa eneo lao kwa lengo la kuanzisha mipango miji ilihali ikijulikana wazi mifugo haiwezi kuishi mjini. BIBI LAINI ameongeza jamii yao imekuwa inanyanyasika sana kama wafugaji na hasa ikizingatiwa mpango bora wa matumizi ya ardhi ambao ulikuwa na lengo la kuainisha matumizi ya ardhi. Mkazi mwingine wa Chamakweza BW.WILSON OLDONYO amesema tatizo kubwa ambalo wanakabiliana nalo ni kuanzishwa mpango wa mipango miji kitu ambacho walikigomea kiasi cha kususia uchaguzi mkuu uliopita na amebainisha kuwa kijiji cha Chamakweza kimepewa hadhi ya kuwa kijiji cha wafugaji toka mwaka 1975. Ameongeza kuwa walijaribu kufanya jitihada ya kubadilisha

MKUU WA WILAYA BAGAMOYO AZUIA MKUTANO WA WAFUGAJI WA KIMASAI

Ben Komba/Pwani-Tanzania/3/9/2016 1:02:57 PM Mkuu wa wilaya ya Bagamoyo, BW.MAJID MWANGA amelazimika kusimamisha mkutano wa watu wa jamii ya Kimasai kwa madai ya kutokuwa na kibali chenye kuwawezesha kufanya mkutano huo. Kwa mujibu wa Mkazi wa kijiji cha wafugaji Chamakweza BIBI REHEMA LAINI amesema sababu ya kukusanyika kwao ni kupokonywa eneo lao kwa lengo la kuanzisha mipango miji ilihali ikijulikana wazi mifugo haiwezi kuishi mjini. BIBI LAINI ameongeza jamii yao imekuwa inanyanyasika sana kama wafugaji na hasa ikizingatiwa mpango bora wa matumizi ya ardhi ambao ulikuwa na lengo la kuainisha matumizi ya ardhi. Mkazi mwingine wa Chamakweza BW.WILSON OLDONYO amesema tatizo kubwa ambalo wanakabiliana nalo ni kuanzishwa mpango wa mipango miji kitu ambacho walikigomea kiasi cha kususia uchaguzi mkuu uliopita na amebainisha kuwa kijiji cha Chamakweza kimepewa hadhi ya kuwa kijiji cha wafugaji toka mwaka 1975. Ameongeza kuwa walijaribu kufanya jitihada ya kubadilisha m

VIDEO - WAMTAKA DC MAKONDA AWASAIDIE

Image
Ben Komba/Kinondoni-Tanzania/3/8/2016 3:57:41 PM Wakazi wa Bunju kwa Kidela ambao wanafikia kaya zaidi ya  hamsini wamemtaka Mkuu wa wilaya ya Kinondoni BW. PAUL MAKONDA kuingilia kati amri ambayo imetolewa na wakala wa majengo Tanzania kuwataka wahame eneo hilo mara moja. Mmoja wa wakazi wa eneo hilo BIBI.GRACE SAGALA amesema yeye yupo hapo takriban miaka 10, lakini siku za hivi karibuni walikuwa wanashangaa kuona magari ya kiserikali yakifika hapo na kupimapima bila taarifa maalum. BIBI.SAGALA amebainisha kuwa hali ilipofikia anaitaka serikali kuangalia suala hilo kwa undani ili kuwaepushia wananchi matatizo na wasiwasi ambao kwa njia moja au nyingine unaathiri ustawi wa afya ya jamii na hivyo amemuomba Mkuu wa wilaya ya Kinondoni, BW.PAUL MAKONDA kuingilia kati. Naye BW.DEOGRATIAS PETER amesema yeye ana takriban miaka 15 toka amehamia sehemu hiyo na hata siku moja hajawahi kupewa onyo lolote kutoka wizara ya ardhi. Juhudi za kumpata Mtendaji mkuu wa TBA kwa nji

WANANCHI WAMTAKA MAKONDA AWASAIDIE BUNJU KITUNDA

Ben Komba/Kinondoni-Tanzania/3/8/2016 3:57:41 PM Wakazi wa Bunju kwa Kidela ambao wanafikia kaya zaidi ya  hamsini wamemtaka Mkuu wa wilaya ya Kinondoni BW. PAUL MAKONDA kuingilia kati amri ambayo imetolewa na wakala wa majengo Tanzania kuwataka wahame eneo hilo mara moja. Mmoja wa wakazi wa eneo hilo BIBI.GRACE SAGALA amesema yeye yupo hapo takriban miaka 10, lakini siku za hivi karibuni walikuwa wanashangaa kuona magari ya kiserikali yakifika hapo na kupimapima bila taarifa maalum. BIBI.SAGALA amebainisha kuwa hali ilipofikia anaitaka serikali kuangalia suala hilo kwa undani ili kuwaepushia wananchi matatizo na wasiwasi ambao kwa njia moja au nyingine unaathiri ustawi wa afya ya jamii na hivyo amemuomba Mkuu wa wilaya ya Kinondoni, BW.PAUL MAKONDA kuingilia kati. Naye BW.DEOGRATIAS PETER amesema yeye ana takriban miaka 15 toka amehamia sehemu hiyo na hata siku moja hajawahi kupewa onyo lolote kutoka wizara ya ardhi. Juhudi za kumpata Mtendaji mkuu wa TBA kwa njia

VIDEO-WANANCHI SOGA WALALAMIKIA VIONGOZI WA KIJIJI NA DIWANI KUUZA ARDHI KINYEMELA.

Image
Ben Komba/Pwani-Tanzania/3/6/2016 10:36:21 AM Umoja wa wakulima Soga umelalamikia hatua ya uongozi wa halmashauri ya wilaya ya Kibaha kutumia nguvu kuwatoa eneo ambalo wao wamaeamua kulitumia baada ya kukaa muda mrefu na kugeuka shamba pori. Wakizungumza na mwandishi wa Habari hizi, mmoja wa wakazi wa eneo hilo maarufu kama Kazamoyo, BW.MOHAMED CHETO amesema kuwa wao kama wananchi walianza harakati za kutaka kulitumia eneo hilo mara baada ya kuona ni muda mrefu limeachwa ilihali wao wana dhiki ya ardhi. BW.CHETO amebainisha kuwa mara baada ya wao kuvamia ambaye anadaiwa kuwa mmiliki BW.JAHANGIR POPTAN alifungua kesi katika mahakama ya mwanzo Mailimoja akimshataki BW.YUSUPH KILIMA na wenzake 11, Ambapo hata hivyo mahakama hiyo ikaamuru akafungue kesi katika baraza la ardhi la wilaya na kuwaachia huru wote ambao walishtakiwa. Lakini baada ya BW.JAHANGIR POPTAN kushindwa katika shauri hilo baadhi ya viongozi wa kijiji na Kata wamekuwa wakitumia nafasi zao kuwabugudhi w

VIDEO- WENYE MDOMO SUNGURA KUFANYIWA UPASUAJI BURE MKOANI KAGERA

Image
Ben Komba/Pwani-Tanzania/3/7/2016 7:11:52 AM Wananchi wa Mkoa wa Kagera kupitia taasisi isiyo ya kiserikali ya THE MIGHTY FORTERESS FOUNDATION ya Uholanzi wamebahatika kupata huduma ya upasuaji ya watu wenye matatizo ya mdomo sungura katika jitihada za kutoa huduma za afya kwa wahitaji. Mwakilishi wa shirika hilo nchini, Mchungaji GERVAS MASANJA amesema wameamua kutoa huduma hiyo kutokana na kuwepo kwa wanajamii wenye tatizo hilo na kutoa fursa kwao kutumia nafasi hii adimu ya kupata upasuaji ambayo ingewagharimu fedha nyingi. Mwakilishi huyo MCH.MASANJA amesema kwamba watashirikiana na wataalamu bingwa wa upasuaji kutoka nchini Holland wanaojulikana kama INTERPLAST HOLLAND pamoja na madaktari bingwa wa hapa nchini na zoezi hilo linatarajiwa kufanyika katika hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Kagera  kati ya tarehe 26 machi mpaka tarehe 1 april , Machi 20 mpaka 25  upasuaji huo utafanyika katika hospitali ya Ndolage Bukoba. END.

WANANCHI WATAKA HALMASHAURI IWAACHIE ENEO AMBALO WAMELIPIGANIA

Ben Komba/Pwani-Tanzania/3/6/2016 10:36:21 AM Umoja wa wakulima Soga umelalamikia hatua ya uongozi wa halmashauri ya wilaya ya Kibaha kutumia nguvu kuwatoa eneo ambalo wao wamaeamua kulitumia baada ya kukaa muda mrefu na kugeuka shamba pori. Wakizungumza na mwandishi wa Habari hizi, mmoja wa wakazi wa eneo hilo maarufu kama Kazamoyo, BW.MOHAMED CHETO amesema kuwa wao kama wananchi walianza harakati za kutaka kulitumia eneo hilo mara baada ya kuona ni muda mrefu limeachwa ilihali wao wana dhiki ya ardhi. BW.CHETO amebainisha kuwa mara baada ya wao kuvamia ambaye anadaiwa kuwa mmiliki BW.JAHANGIR POPTAN alifungua kesi katika mahakama ya mwanzo Mailimoja akimshataki BW.YUSUPH KILIMA na wenzake 11, Ambapo hata hivyo mahakama hiyo ikaamuru akafungue kesi katika baraza la ardhi la wilaya na kuwaachia huru wote ambao walishtakiwa. Lakini baada ya BW.JAHANGIR POPTAN kushindwa katika shauri hilo baadhi ya viongozi wa kijiji na Kata wamekuwa wakitumia nafasi zao kuwabugudhi wan

WAKAZI MKOA WA KAGERA KUFANYIWA UPASUAJI WA MDOMO SUNGURA BURE

Ben Komba/Pwani-Tanzania/3/7/2016 7:11:52 AM Wananchi wa Mkoa wa Kagera kupitia taasisi isiyo ya kiserikali ya THE MIGHTY FORTERESS FOUNDATION ya Uholanzi wamebahatika kupata huduma ya upasuaji ya watu wenye matatizo ya mdomo sungura katika jitihada za kutoa huduma za afya kwa wahitaji. Mwakilishi wa shirika hilo nchini, Mchungaji GERVAS MASANJA amesema wameamua kutoa huduma hiyo kutokana na kuwepo kwa wanajamii wenye tatizo hilo na kutoa fursa kwao kutumia nafasi hii adimu ya kupata upasuaji ambayo ingewagharimu fedha nyingi. Mwakilishi huyo MCH.MASANJA amesema kwamba watashirikiana na wataalamu bingwa wa upasuaji kutoka nchini Holland wanaojulikana kama INTERPLAST HOLLAND pamoja na madaktari bingwa wa hapa nchini na zoezi hilo linatarajiwa kufanyika katika hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Kagera  kati ya tarehe 26 machi mpaka tarehe 1 april , Machi 20 mpaka 25  upasuaji huo utafanyika katika hospitali ya Ndolage Bukoba. END.