Posts

Showing posts from 2015

NAIBU WAZIRI AFYA ATAKIWA ASITISHWE NA LUGHA,DOCTOR NDIO MGANGA

Ben Komba/Pwani-Tanzania/12/28/2015 2:41:35 PM Serikali imetakiwa kuliangalia suala la tiba mbadala kwa umakini ili kuepusha upotoshaji unaofanywa na baadhi ya watu kuhusiana na tiba za asili na tiba mbadala katika kutibia magonjwa mbalimbali ambayo yamekuwa korofi kwa jamii. Nimeongea na Mganga wa Tiba mbadala, DKT.BAHATI MAYALA ambaye ameeleza kusikitishwa kwake kwa hatua ya Waziri anayehusiana na afya, DKT.HAMIS KINGWANGWALA kuzuia waganga wa tiba mbadala kuacha kutumia neno DOCTOR ambalo ni lugha ya kigeni ambayo nayo inaamanisha mganga. DKT.MAYALA amesema tendo linalofanywa na mganga wa hospitali la kusaidia watu kwa kuwaponya na magonjwa mbalimbali, ndivyo vivyo ambavyo mganga wa tiba mbadala anafanya katika kuhakikisha jamii haisumbuliwi na magonjwa ambayo yanaweza kutibika. DKT.MAYALA ameishauri serikali kufanya ufuatiliaji kwa waganga wa tiba mbadala ambao wamekuwa wakijinadi kuwa na tiba za magonjwa mbalimbali ambayo yameshindikana hospitalini ili kujua mada

VIDEO-MISITU KUTUMIKA KUINGIZA FEDHA ZA KIGENI

Image
Ben Komba/Pwani-Tanzania/12/15/2015 1:15:09 PM Shirika lisilo la kiserikali la usimamizi wa misitu ya asili ya Tanzania imeanzisha mikakati mipya ya kuhakikisha misitu iliyopo ukanda wa Ruvu Kusini inatumika kama kivutio cha watalii ili kuwezesha jamii inayozunguka misitu hiyo kujua faida nyingine ya kutunza mazingira. Akizungumza katika tukio la kimataifa la kitalii la kuendesha baiskeli ndani hifadhi ya msitu Ruvu Kusini katika eneo la Kipangege Kisarawe, Mratibu wa tukio hilo BW.YAHAYA MTONDA amesema kwa hatua hiyo wanajaribu kuwajengea dhana wananchi ya faida zaidi ya misitu ya mbali ya mkaa na kuni. BW.MTONDA ameongeza kwa kufanya hivyo itawezesha wanachi kuilinda misitu hiyo kwa kujitoa na hivyo kuboresha suala zima la uboreshaji wa mazingira, na hivyo kupunguza athari inayoletwa na hewa ya ukaa. Naye mmoja wa washiriki wa mbio hizo za kimataifa za baiskeli ambazo zimefanyika ndani ya hifadhi msitu wa Ruvu Kusini,ambaye pia ni mshauri wa ufundi wa {TFCG} B

MISITU KUTUMIKA KWA UTALII

Ben Komba/Pwani-Tanzania/12/15/2015 1:15:09 PM Shirika lisilo la kiserikali la usimamizi wa misitu ya asili ya Tanzania imeanzisha mikakati mipya ya kuhakikisha misitu iliyopo ukanda wa Ruvu Kusini inatumika kama kivutio cha watalii ili kuwezesha jamii inayozunguka misitu hiyo kujua faida nyingine ya kutunza mazingira. Akizungumza katika tukio la kimataifa la kitalii la kuendesha baiskeli ndani hifadhi ya msitu Ruvu Kusini katika eneo la Kipangege Kisarawe, Mratibu wa tukio hilo BW.YAHAYA MTONDA amesema kwa hatua hiyo wanajaribu kuwajengea dhana wananchi ya faida zaidi ya misitu ya mbali ya mkaa na kuni. BW.MTONDA ameongeza kwa kufanya hivyo itawezesha wanachi kuilinda misitu hiyo kwa kujitoa na hivyo kuboresha suala zima la uboreshaji wa mazingira, na hivyo kupunguza athari inayoletwa na hewa ya ukaa. Naye mmoja wa washiriki wa mbio hizo za kimataifa za baiskeli ambazo zimefanyika ndani ya hifadhi msitu wa Ruvu Kusini,ambaye pia ni mshauri wa ufundi wa {TFCG} BW.

VIDEO=DKT MAGUFULI AOMBWA KUTANUA WIGO WA ELIMU YA BURE.

Image
Ben Komba/Pwani-Tanzania12/10/2015 8:57:17 AM Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania DK.JOHN POMBE MAGUFULI ameombwa kutanua wigo wa utoaji elimu bure kuanzia ngazi ya awali mpaka Chuo kikuu ili kutoa fursa ya kupatikana kwa maendeleo kwa haraka. Mkurugenzi mtendaji wa shule ya awali ya  ANNE MONTESSORI PRE-PRIMARY SCHOOL, BI. ANNE MASAKA MAYOMBI ameyazungumza hayo wakati wa mahafali ya nne ya shule hiyo, ambapo amebainisha kuwa kwa kufanya hivyo kutasaidia kukuza kiwango cha elimu nchini. BI.MAYOMBI ameongeza kuwa yeye kwa upande wake amefurahishwa na hatua ya kutangazwa kwa utoaji wa elimu bure, ingawa amependekeza kuwa utoaji wa elimu kuambatane na kuboresha maslahi ya Walimu. Amehimiza iwapo kama serikali itatoa ruzuku kwa shule za awali na kuwalipa Walimu ambao wameamua kujiajiri baada ya kupata mafunzo ya Ualimu na kukosa ajira, suala hilo litapata mafanikio makubwa. Mgeni rasmi katika hafla hiyo, Mchoraji maarufu wa katuni nchini, BW.MASOUD KIPANYA akizung

DK.MAGUFULI AOMBWA KUTANUA WIGO UTOAJI ELIMU BURE.

Ben Komba/Pwani-Tanzania/12/7/2015 10:54:19 AM Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania DK.JOHN POMBE MAGUFULI ameombwa kutanua wigo wa utoaji elimu bure kuanzia ngazi ya awali mpaka Chuo kikuu ili kutoa fursa ya kupatikana kwa maendeleo kwa haraka. Mkurugenzi mtendaji wa shule ya awali ya MONTESSORI PRE-PRIMARY SCHOOL, BI. ANNE MASAKA MAYOMBI ameyazungumza hayo wakati wa mahafali ya nne ya shule hiyo, ambapo amebainisha kuwa kwa kufanya hivyo kutasaidia kukuza kiwango cha elimu nchini. BI.MAYOMBI ameongeza kuwa yeye kwa upande wake amefurahishwa na hatua ya kutangazwa kwa utoaji wa elimu bure, ingawa amependekeza kuwa utoaji wa elimu kuambatane na kuboresha maslahi ya Walimu. Amehimiza iwapo kama serikali itatoa ruzuku kwa shule za awali na kuwalipa Walimu ambao wameamua kujiajiri baada ya kupata mafunzo ya Ualimu na kukosa ajira, suala hilo litapata mafanikio makubwa. Mgeni rasmi katika hafla hiyo, Mchoraji maarufu wa katuni nchini, BW.MASOUD KIPANYA akizungumza am

VIDEO-BABU MLEZI AZAA NA YATIMA ANAOWALEA

Image
Ben Komba/Pwani-Tanzania/11/5/2015 7:47:04 PM Katika hali isiyo ya kawaida suala la kutunza watoto yatima katika jamii limeingia mdudu kufuatia mmoja ya wanajamii ambao wanajinasibu kulea watoto yatima baadhi yao wametumia nafasi hiyo kukidhi mahitaji yao ya kimwili. Hali hiyo imedhihirika hivi karibuni kufuatia mlezi wa watoto yatima, BW.JOSEPH BAGULE kuamua kuanza kutembea na watoto anaowatunza na kuzaa nao, hali ambayo imesababisha wanajamii kustusha wakazi na wanajamii wa mtaa wa Pangani halmashauri ya mji wa Kibaha na kuamua kuchukua hatua. Mjumbe wa serikali ya mtaa BW.EMMANUEL SWAI akizungumza na mwandishi wa Habari hizi, amebainisha kuwa kwa muda mrefu wao kama wakazi wa mtaa wa Pangani wamekuwa wanashangazwa na huruma ambayo mzee BAGULE amabyo amekuwa akionyesha kwa watoto yatima ilihali akiwa anakiuka taratibu zxa kuwalea watoto hao na kuamua kuwafanya baadhi yao wake zake. Kwa mujibu wa wakazi wa mtaa huo, Mzee Josaeph Bagule amekuwa akiwatumia watoto ambao a

VIDEO=BBC NA MCT WAWANOA WANAHABARI UCHAGUZI MKUU

Image
Ben Komba/Pwani-Tanzania/10/15/2015 6:56:17 AM Waandishi wa Habari  nchini wametakiwa kuhoji baadhi ya Habari mbalimbali zinazotolewa na baadhi ya vyombo vya Habari katika kipindi hiki kuelekea uchaguzi ambazo zinaweza kusababisha uvinjifu wa amani. Mwezeshaji katika mafunzo ya waandishi wa Habari ambayo yameandaliwa na BBC MEDIA ACTION kuhusiana na uandishi wa Habari wenye kufuata maadili katika  kuripoti Habari za uchaguzi ambayo yamefanyika mjini Dar es Saalam, BW.ATTILIO TAGALILE amesema kuwa  vyombo vya Habari vimekuwa vikiripoti kuhusiana na mambo ambayo yanaweza kusababisha vurugu. BW.TAGALILE ameongeza kuwa kauli kama Goli la mkono au nitachukua nchi mapema asubuhi kwa kauli kama hizo ambazo jamii inazipata kupitia vyombo vya Habari na kutozifanyia kazi ikiwa pamoja na Tume ya uchaguzi na waandishi wa Habari wenyewe kwani  walikuwa na wajibu wa kufuatilia ili kupata ufafanuzi jinsi gani wanaweza kutekeleza goli la mkono na vipi itawezekana ushindi mapema asubuh

KILIO CHA MAJI MAJI MAJI KILA SEHEMU

Ben Komba/Pwani-Tanzania/10/15/2015 11:44:15 AM Wananchi katika Kata ya Vigwaza kijiji cha Kitonga wilayani Bagamoyo wamepaza sauti kutokana na kukabiliwa na ukosefu wa maji kwa kipindi kirefu toka Halmashauri ilpodai kuboresha miundo mbinu ya maji ili kuwasaidia wananchi kupata maji safi na ya uhakika. Mwandishi wa Habari hizi akiongea na wakazi wa eneo ambao kila mmoja ameeleza kushamiri kwa kero ya kijijini hapo toka halamshauri ya wilaya Bagamoyo ambayo ilipeleka mradi wa maboresho ya miundombinu ya maji lakini ikawa tofauti. Mzee maarufu kijijini Kitonga, KOMREDI NDALO amebainisha kuwa halmashauri ilitoa kiasi cha shilingi milioni 261 kwa ajili ya kusambaza maji katika kijiji hicho kilicho hatua chache kutoka mtambo wa maji wa Ruvu juu, lakini kilichofanyika imekuwa kinyume ambapo ule mtandao wa awali wa maji ambao ulikuwa na bomba kubwa na kuasidia wananchiu ulivurugwa na kusababisha kukoseka kwa maji kabisa. KOMREDI NDALO amebainisha kuwa mkandarasi huyo ambaye

WAANDISHA WANOLEWA TAYARI KWA UCHAGUZI

Ben Komba/Pwani-Tanzania/10/15/2015 6:56:17 AM Waandishi wa Habari  nchini wametakiwa kuhoji baadhi ya Habari mbalimbali zinazotolewa na baadhi ya vyombo vya Habari katika kipindi hiki kuelekea uchaguzi ambazo zinaweza kusababisha uvinjifu wa amani. Mwezeshaji katika mafunzo ya waandishi wa Habari ambayo yameandaliwa na BBC MEDIA ACTION kuhusiana na uandishi wa Habari wenye kufuata maadili katika  kuripoti Habari za uchaguzi ambayo yamefanyika mjini Dar es Saalam, BW.ATTILIO TAGALILE amesema kuwa  vyombo vya Habari vimekuwa vikiripoti kuhusiana na mambo ambayo yanaweza kusababisha vurugu. BW.TAGALILE ameongeza kuwa kauli kama Goli la mkono au nitachukua nchi mapema asubuhi kwa kauli kama hizo ambazo jamii inazipata kupitia vyombo vya Habari na kutozifanyia kazi ikiwa pamoja na Tume ya uchaguzi na waandishi wa Habari wenyewe kwani  walikuwa na wajibu wa kufuatilia ili kupata ufafanuzi jinsi gani wanaweza kutekeleza goli la mkono na vipi itawezekana ushindi mapema asubuhi.

WAANDISHI WANOLEWA KWA AJILI YA UCHAGUZI MKUU.

Ben Komba/Pwani-Tanzania/10/15/2015 6:56:17 AM Waandishi wa Habari  nchini wametakiwa kuhoji baadhi ya Habari mbalimbali zinazotolewa na baadhi ya vyombo vya Habari katika kipindi hiki kuelekea uchaguzi ambazo zinaweza kusababisha uvinjifu wa amani. Mwezeshaji katika mafunzo ya waandishi wa Habari ambayo yameandaliwa na BBC MEDIA ACTION kuhusiana na uandishi wa Habari wenye kufuata maadili katika  kuripoti Habari za uchaguzi ambayo yamefanyika mjini Dar es Saalam, BW.ATTILIO TAGALILE amesema kuwa  vyombo vya Habari vimekuwa vikiripoti kuhusiana na mambo ambayo yanaweza kusababisha vurugu. BW.TAGALILE ameongeza kuwa kauli kama Goli la mkono au nitachukua nchi mapema asubuhi kwa kauli kama hizo ambazo jamii inazipata kupitia vyombo vya Habari na kutozifanyia kazi ikiwa pamoja na Tume ya uchaguzi na waandishi wa Habari wenyewe kwani  walikuwa na wajibu wa kufuatilia ili kupata ufafanuzi jinsi gani wanaweza kutekeleza goli la mkono na vipi itawezekana ushindi mapema asubuhi.

KIPINDI MAALUM-MAJI TATIZO LA KITAIFA ANGALIA HALI ILIVYO.

Image
Ben Komba/Pwani-Tanzania/10/12/2015 11:52:08 AM Suala la ukosefu wa maji katika maeneo mbalimbali nchini linaelekea katika kusababisha uvunjifu wa amani kama hatua za makusudi hazitachukuliwa kukabiliana na hali hiyo. Mwandishi wa Habari hizi ameshuhudia dhahama kubwa kati ya wananhi ambao kwa miaka mingi wameishi kama majirani wamejikuta wanalazimika kukunjiana ngumi na jirani mwenzie kisa maji, ambayo yamekuwa lulu maeneo mengine ya mkoa wa Pwani. Sintofahamu hiyo imejitokeza katika kijiji cha Kiluvya madukani A, katika wilaya ya Kisarawe mkoa wa Pwani, Ambapo kwa mujibu wa msimamizi wa kiosk cha kuuza maji BW.RAYMOND KOBELO ambacho kilibuniwa na Waziri Mkuu Mstaafu, MH.FREDIRICK SUMAYE ili kuwasaidia wakazi wa eneo hilo. BW.KOBELO amejitetea kuwa Bomba hilo limewekwa kwa hisani ya Waziri mkuu mstaafu na hicho ni moja ya vituo vinne ambavyo vilifunguliwa katika wakati huo, hatua ya wananchi kutaka kuchukua mita ya maji ya kituo hicho na kupeleka kituo kingine yeye

MAJI YASABABISHA UVINJIFU WA AMANI

Ben Komba/Pwani-Tanzania/10/12/2015 11:52:08 AM Suala la ukosefu wa maji katika maeneo mbalimbali nchini linaelekea katika kusababisha uvunjifu wa amani kama hatua za makusudi hazitachukuliwa kukabiliana na hali hiyo. Mwandishi wa Habari hizi ameshuhudia dhahama kubwa kati ya wananhi ambao kwa miaka mingi wameishi kama majirani wamejikuta wanalazimika kukunjiana ngumi na jirani mwenzie kisa maji, ambayo yamekuwa lulu maeneo mengine ya mkoa wa Pwani. Sintofahamu hiyo imejitokeza katika kijiji cha Kiluvya madukani A, katika wilaya ya Kisarawe mkoa wa Pwani, Ambapo kwa mujibu wa msimamizi wa kiosk cha kuuza maji BW.RAYMOND KOBELO ambacho kilibuniwa na Waziri Mkuu Mstaafu, MH.FREDIRICK SUMAYE ili kuwasaidia wakazi wa eneo hilo. BW.KOBELO amejitetea kuwa Bomba hilo limewekwa kwa hisani ya Waziri mkuu mstaafu na hicho ni moja ya vituo vinne ambavyo vilifunguliwa katika wakati huo, hatua ya wananchi kutaka kuchukua mita ya maji ya kituo hicho na kupeleka kituo kingine yeye h

VIDEO-ACT WAZALENDO WATAKA NEC IWE MACHO NA VITENDO VYA VURUGU KIPINDI CHA KAMPENI.

Image
Ben Komba/Pwani-Tanzania/10/5/2015 11:23:20 AM Chama cha ACT-WAZALENDO katika mkoa wa Pwani wamekemea tabia ya baadhi ya vyama kufanya vurugu katika mikutano ya kampeni ya chama chao kama ilivyojitokeza mjini Kibaha. Akizungumza na mwandishi wa Habari hizi, Katibu wa ACT-WAZALENDO mkoa wa Pwani, NDUGU MRISHO HALFAN amesema kuwa kitendo cha wananchama wa Chama cha CHADEMA kuvamia kikao cha kampeni cha mgombea ubunge wao na kufanya fujo. NDUGU HALFAN ameongeza anashangwaza na tabia za baadhi ya wanachama wa CHADEMA kujitokeza katika mikutano yao kwa lengo la kufanya vurugu, kitu ambacho amebainisha hawataweza kuendelea kuvumilia hali hiyo. Katibu huyo wa ACT-WAZALENDO ,NDUGU HALFAN ameongeza kwamba ni wajibu wa Jeshi la Polisi kuhakikisha kuwa linadhibiti vitendo hivyo vinavyoashiria uvunjifu wa amani. Aidha ametumia nafasi hiyo kutoa pole kwa wanachama wa chama cha DEMOCRATIC PARTY, kufuatia kupatwa na msiba wa Mwenyekiti wao, Mchungaji CHRISTOPHER MTIKILA amba

MCHUNGAJI MTIKILA AFARIKI AJALINI.

SUNDAY, OCTOBER 4, 2015 MCH MTIKILA AFARIKI AJALINI Na John Gagarini, Chalinze   MWANASIASA Mkongwe hapa nchini ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama ChaDemocratic Party (DP) Mchungaji Christopher Mtikila (62) amefariki dunia na watu wengine watatu kujeruhiwa baada ya gari walilokuwa wakisafiria kuacha njia na kupinduka.   Kwa mujibu wa kamanda wa Polisi mkoani Pwani Jafary Mohamed alisema kuwa tukio hilo lilitokea huko Msolwa Barabara Kuu ya Dar es Salaam Morogoro wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani.   Kamanda Mohamed alisema kuwa ajali hiyo ilitokea saa 11:45 Alfajiri wakitokea mkoani Njombe wakiwa na gari aina ya Toyota Corola lenye namba za usajili T189 AGM lililokuwa likiendeshwa na dereva aitwaye George Steven (31) maarufu Ponera mkazi wa Mbezi Jijini Dar es Salaam.   "Gari hilo likiwa na abiria watatuakiwemo marehemu mkazi wa Mikocheni B, lilikuwa kwenye mwendo wa kasi liliacha njia na kuserereka pembeni mwa barabara kasha kupinduka ambapo marehemu ali

VIDEO-MAMA REGINA LOWASSA AKUMBANA NA VURUGU ZIARA YAKE KIBAHA VIJIJINI.

Image
Ben Komba/Pwani-Tanzania/10/3/2015 9:07:43 AM Ujio wa Mama REGINA LOWASSA katika Jimbo la uchaguzi Kibaha vijijini umekumbwa na vurugu ambazo kama isingekuwa busara ya wanachama wa CHADEMA basi pangezuka vita. Kadhia hiyo imeanza mara baada ya Mama Lowassa kuwasili ofisi ya Jimbo la Chama hicho Kibaha vijijini kwa ajili ya kutia saini kitabu cha wageni ili baadaye aende kukagua sehemu alizopangiwa. Lakini hali haikuwa rahisi kutoka ofisini hapo baada ya kundi la wanaCCM kutokea na kuziba barabra ambayo angekuwa aitumie kuondoka ofisini hapo na hivyo kusababisha kusukumana kwa wananchama wa vyama hivyo viwili. Huku CCM wakiongozwa na mchumi wa Jumuiya ya wazazi mkoa wa Pwani, BW.HAJI ABUU JUMA ambapo walisababisha mtafaruku tosha ambao kama isingekuwa busara ya CHADEMA basi kampeni zingeingia doa. END. 

VIDEO-ACT WAZALENDO YA PILI KWA KUSIMAMISHA WAGOMBEA WENGI NYUMA YA CCM

Image
Ben Komba/Pwani-Tanzania/10/2/2015 2:13:19 PM Vijana wametakiwa kutojiweka nyuma katika kipindi hiki kuelekea uchaguzi kwa kujitokeza na kufanya maamuzi ambayo yataletea Taifa tija kutokana na wao kuwa na mchango mkubwa katika ujenzi wa Taifa. Hayo yamezungumzwa na mgombea ubunge kupitia tiketi ya ACT-WAZALENDO katika Jimbo la uchaguzi Bukoba vijijini, BW. ABDUL RUSHAKA akiwa mmoja ya vijana ambao kwa kutokana na ujasiri alionao ameamua kujitosa kupambana kumng’oa mbunge ambaye amemaliza muda wake. BW.RUSHAKA amesema ingekuwa vyema iwapo wananchi wakiamua kufanya mabadiliko ili kuliletea Taifa maendeleo ambayo yamekuwa yanasubiriwa kwa takribani miaka 50 sasa ambapo amewasisitiza vijana kujitokeza kwa wingi kushiriki zoezi hilo la kihistoria. BW.RUSHAKA amewasihi wapinzani wote ambao wapo ndani ya UKAWA na nje ya UKAWA kuunganisha nguvu ili kuwang’oa chama tawala ambao mpaka sasa wamejenga tabia ya kuwa wao hawawezi kushi mpaka wawe watawala na kuwataka wapinzani ku

ADHA YA MAJI BAGAMOYO.

Image
ADHA YA MAJI KIJIJI CHA GONGO KATA YA MKANGE JIMBO LA CHALINZE WILAYA YA BAGAMOYO PWANI Na John Gagarini, Mkange WANANCHI wa Kijiji cha Gongo kata ya Mkange wilayani Bagamoyo wanakabiliwa na changamoto ya ukosefu wa maji ambapo huweka foleni ya kuchota maji kwenye kisima kilichopo kijijini hapo baada ya wiki mbili. Kutokana na usosefu huo wa maji wananchi hao wamekuwa wakinunua maji ya bomba ndoo ya lita 20 kati ya shilingi 1,000 na shilingi 1,500 maji ambayo huuzwa kwenye magari au pikipiki hivyo kuwafanya wajikute hawapati maendeleo kutokana na gharama kubwa kuzitumia kununulia maji. Akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya mkutano wa kampeni wa mgombea Ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ridhiwani Kikwete, kwenye kata ya Mkange mwananchi wa Kijiji hicho Hungilo Nyoka alisema kuwa maji yamewafanya washindwe kupata maendeleo. Nyoka alisema kila kaya inatakiwa ichote madumu manne ili angalau kila mmoja apate baada ya hapo maji hukatika ambapo in

ACT WAZALENDO NAO WANATISHA

Ben Komba/Pwani-Tanzania/10/2/2015 2:13:19 PM Vijana wametakiwa kutojiweka nyuma katika kipindi hiki kuelekea uchaguzi kwa kujitokeza na kufanya maamuzi ambayo yataletea Taifa tija kutokana na wao kuwa na mchango mkubwa katika ujenzi wa Taifa. Hayo yamezungumzwa na mgombea ubunge kupitia tiketi ya ACT-WAZALENDO katika Jimbo la uchaguzi Bukoba vijijini, BW. ABDUL RUSHAKA akiwa mmoja ya vijana ambao kwa kutokana na ujasiri alionao ameamua kujitosa kupambana kumng’oa mbunge ambaye amemaliza muda wake. BW.RUSHAKA amesema ingekuwa vyema iwapo wananchi wakiamua kufanya mabadiliko ili kuliletea Taifa maendeleo ambayo yamekuwa yanasubiriwa kwa takribani miaka 50 sasa ambapo amewasisitiza vijana kujitokeza kwa wingi kushiriki zoezi hilo la kihistoria. BW.RUSHAKA amewasihi wapinzani wote ambao wapo ndani ya UKAWA na nje ya UKAWA kuunganisha nguvu ili kuwang’oa chama tawala ambao mpaka sasa wamejenga tabia ya kuwa wao hawawezi kushi mpaka wawe watawala na kuwataka wapinzani kutopo

MGOMBEA KUTATUA MIGOGORO YA ARDHI BAGAMOYO.

Image
Ben Komba,Pwani-Tanzania/9/28/2015 10:59 AM Mgombea wa udiwani katika Kata ya Vigwaza wilaya ya Bagamoyo,Jimbo la uchaguzi Chalinze amewataka wananchi wamuunge mkono katika uchaguzi mkuu ujao kwa kumpigia kura ya ndio ili aweze kuwasaidia katika kutatua kero mbalimbali zinazowakabili. Mgombea huyo, BW.SADALAH CHACHA amewahakikishia wapiga kura kuwa watakapomchagua hawatajutia kura yao na hivyo amewasihi wamkopeshe kura zao ili aweze kuwalipa maendeleo. BW.CHACHA amefafanua kuwa kwa muda mrefu wananchi wa Ruvu darajani wamekuwa kama yatima na kila mwenye nguvu kuonyesha uwezo wake katika kijiji hicho na kutolea mfano wa uvamizi wa ardhi unaofanywa na wageni ili hali wenyeji wakiwa hawana ardhi ya makazi na kilimo. Amepingana na dhana ambayo serikali ya CCM inatumia ya kugawa maeneo kwa watu wanaovaa joho la uwekezaji ikiwa wanajua sio wawekezaji na wanapofika vijijini wanawalaghai wananchi kwa ahadi hewa ambazo mara nyingi hazitekel;ezwi ikiwa kama nitawajengea shu

VIDEO ALALAMIKIA POLICE KIMARA KUMUACHIA MHALIFU WA KUTUMIA SILAHA YA MOTO.

Image
Ben Komba/Pwani-Tanzania/9/27/2015 2:28:03 PM Vitendo vya Jeshi la Polisi kukiuka maadili ya kazi zao kwa makusudi yamezidi kushika kasi na huku wananchi wakipoteza imani kabisa na Jeshi hilo jambo ambalo linachochea vitendo vya wananchi kujichukulia sheria mkononi. Hivi karibuni nimekutana na mwananchi ambaye kazi yake ni dereva wa magari ya mizigo, BW.JUMBE RASHID JUMBE ambaye amenielezea mkasa ambao umemkuta baada ya kupaki gari eneo la Kimara Korogwe. BW.JUMBE amesema siku ya tukio yeye akiwa anaelekea katika gari yake, ndipo wakatokea vijana wawili na BODA BODA na kuanza kumshambulia huku mwenzao akifungua starter ya gari lake, katika tukio hilo alifanikiwa kuwazidi nguvu majambazi yale ambayo yalikuwa na bastola na kuacha pikipiki yao. Bw.JUMBE baada ya kuona majambazi yale yamekimbia na kumwachia pikipiki ikiwa nay eye anasafiri aliamua kuipeleka kituo cha Polisi Kimara na kukikabidhi pikipiki hiyo sambamba na kuandika maelezo nay eye kuendelea na safari nj

PONGWA MUSIC VIDEO

Image
Kijana anayechipukia katika fani ya Mziki mjini Kibaha al maarufu kama Pongwa.

MUSIC VIDEO-A-MAMAZ

Image
MWIMBO:MSTAAFU WASANII:A-MAMAZ-SHAYO MICHAEL,IDENJARUMBI NA JASON Jr. MAUDHUI:Ni kuwakumbusha serikali pamoja na wastaafu kujipanga kuhakikisha serikali inamlipa mstaafu maslahi yake stahili na Mstaafua anatumia kipato chake hicho kwa manufaa fuatilia hii clips

VIDEO MGOMBEA AAHIDI KUPAMBANA NA CHANGAMOTO

Image
Ben Komba/Pwani-Tanzania/9/17/2015 12:20:11 PM Mgombea wa udiwani Kata mpya ya Kawawa katika halmashauri ya wilaya ya Kibaha kupitia tiketi ya UKAWA ameawaahidi wananchi kulivalia njuga suala la ukosefu wa maji katika Kata hiyo pamoja na serikali kutoa fedha za utekelezaji wa mradi huo. Mgombea huyo BW.OTTO KINYONYI amebainisha kuwa ameshawishika kuingia katika kinyang’anyiro hicho ili aweze kupambana na changamoto hiyo ambayo tayari serikali ilishatoa shilingi milioni 168 kwa ajili ya kusambaza maji katika kata hiyo Bw.KINYONYI amebainisha kuwa mradi huo wa maji umetekelezwa chini ya kiwango ilihali kwa miaka mitatu sasa toka kukamilika kwa mradi huo ni takriban miaka mitatu na tatizo la maji linaongezeka kuwa sugu kutokana na idadi ya wahamiaji kuongezeka kila siku. BW.KINYONYI amefafanua kuwa mradi huo ulikuwa unavihusu vijiji vya, Kimara, Matuga, Msongola na makazi mapya,lakini fedha hizo zilitoka lakini mkandarasi aliweka bomba dogo ambalo limeshindwa kukidhi m

MGOMBBEA KUKABILIANA NA CHANGAMOTO

Ben Komba/Pwani-Tanzania/9/17/2015 12:20:11 PM Mgombea wa udiwani Kata mpya ya Kawawa katika halmashauri ya wilaya ya Kibaha kupitia tiketi ya UKAWA ameawaahidi wananchi kulivalia njuga suala la ukosefu wa maji katika Kata hiyo pamoja na serikali kutoa fedha za utekelezaji wa mradi huo. Mgombea huyo BW.OTTO KINYONYI amebainisha kuwa ameshawishika kuingia katika kinyang’anyiro hicho ili aweze kupambana na changamoto hiyo ambayo tayari serikali ilishatoa shilingi milioni 168 kwa ajili ya kusambaza maji katika kata hiyo Bw.KINYONYI amebainisha kuwa mradi huo wa maji umetekelezwa chini ya kiwango ilihali kwa miaka mitatu sasa toka kukamilika kwa mradi huo ni takriban miaka mitatu na tatizo la maji linaongezeka kuwa sugu kutokana na idadi ya wahamiaji kuongezeka kila siku. BW.KINYONYI amefafanua kuwa mradi huo ulikuwa unavihusu vijiji vya, Kimara, Matuga, Msongola na makazi mapya,lakini fedha hizo zilitoka lakini mkandarasi aliweka bomba dogo ambalo limeshindwa kukidhi mahit

VIDEO KANSA YAPATA TIBA.

Image
Ben Komba/Pwani-Tanzania/9/9/2015 2:18:57 PM Tabia Ya Watanzania Kupuuza tiba mabadala imekuwa sababu kubwa ya kushuka kwa umri wa kuishi kunakosababishwa na watu wengi kukumbatia mila na desturi za kigeni na kupuuza utamaduni wetu ikiwa pamoja na ulaji usio na mpangilio. Hayo yamebainishwa na DKT.BAHATI MAYALA ambaye ni maarufu kwa kutibi kwa kutumia tiba mbadala ambayo haiusiani na masuala ya nguvu za kiza, bali kwa kutumia mimea na miti inayotuzunguka. DKT.MAYALA ambaye kwa sasa amewahudumia wagonjwa mbalimbali ambao wanasumbuliwa na Kansa ya matiti ambao mwandishi wa Habari hizi amebahatika kuwaona na kuongea nao, na kumeleza jisi hali yao ilivyoimarika mara baada ya kukutana na DKT.MAYALA ambaye amesomea kazi hiyo. DKT.MAYALA ambaye amewahi kufanya kazi katika Hospital ya Mkoa wa Ruvuma kwa takriban miaka kumi,amesema yeye ameanza kujua miti dawa akiwa na miaka minane na kwa kupata nafasi kwenda kusomea udaktari kulimpanua akili na kuanza kufanya utafiti wa m

TIBA YA KANSA YAPATIKANA.

Ben Komba/Pwani-Tanzania/9/9/2015 2:18:57 PM Tabia Ya Watanzania Kupuuza tiba mabadala imekuwa sababu kubwa ya kushuka kwa umri wa kuishi kunakosababishwa na watu wengi kukumbatia mila na desturi za kigeni na kupuuza utamaduni wetu ikiwa pamoja na ulaji usio na mpangilio. Hayo yamebainishwa na DKT.BAHATI MAYALA ambaye ni maarufu kwa kutibi kwa kutumia tiba mbadala ambayo haiusiani na masuala ya nguvu za kiza, bali kwa kutumia mimea na miti inayotuzunguka. DKT.MAYALA ambaye kwa sasa amewahudumia wagonjwa mbalimbali ambao wanasumbuliwa na Kansa ya matiti ambao mwandishi wa Habari hizi amebahatika kuwaona na kuongea nao, na kumeleza jisi hali yao ilivyoimarika mara baada ya kukutana na DKT.MAYALA ambaye amesomea kazi hiyo. DKT.MAYALA ambaye amewahi kufanya kazi katika Hospital ya Mkoa wa Ruvuma kwa takriban miaka kumi,amesema yeye ameanza kujua miti dawa akiwa na miaka minane na kwa kupata nafasi kwenda kusomea udaktari kulimpanua akili na kuanza kufanya utafiti wa m

VIDEO-WAISLAMU WAOMBEA AMANI

Image
Ben Komba/Pwani-Tanzania/9/6/2015 1:58:44 PM Waumini wa dini ya kiislam nchini  wamefanya ibada maalum ya kuombea amani kuelekea uchaguzi mkuu wa Rais, wabunge na madiwani ambao unatarajiwa kufanyika  Oktoba 25   mwaka huu. Mkuu wa wilaya ya Kibaha, BIBI.HALIMA KIHEMBA kwa niaba ya Mkuu wa mkoa wa Pwani, amesema kuwa viongozi wa dini wana wajibu mkubwa wa kuhakikisha kuwa kunakuwepo na hali ya amani kabla ya uchaguzi,wakati wa uchaguzi na baada ya uchaguzi. Mkuu huyo wa wilaya BI.KIHEMBA ameongeza kuwa serikali ina wajibu wa kuhakikisha uchaguzi unafanyika kwa utulivu,haki na amani, ingawa serikali yenyewe haiwezi bbila kuwashirikisha wadau ambao ni pamoja na viongozi wa dini katika kuwahimiza waumini wao kufuata sheria na taratibu zilizopo.  Naye SHEIKH LIPAMBILA MUDHIHIR akielezea kuhusu uumbaji amesema kuwa Mungu akiombwa anasikiliza, ametoa mfano kuwa Mungu ameumba binadamu mwanaume na mwanamke, ameumba jua na mvua na mambo mengine chungu nzima akitaka binadam

VIDEO-CHADEMA YATISHA KIBAHA VIJIJINI.

Image
Ben Komba/Pwani-Tanzania/9/6/2015 2:35:57 PM Chama cha demokrasia na maendele-CHADEMA-kimezindua rasmi kampeni yake ya ubunge katika Jimbo la uchaguzi Kibaha vijijini kwa kutangaza vipaumbele vinne vilivyopo katika ilani ya uchaguzi wa chama hicho. Makamu wa mwenyekiti wa CHADEMA Zanzibar, BW.SAID ISSA MOHAMED amesema kuwa mgawanyo wa ubunge kwa UKAWA ni kwamba katika Mkoa wa Pwani chama cha demokrasia kina nafasi ya ubunge tatu na CUF wa nafasi saba. BW.MOHAMED ameongeza hatua yoyote ya mwanacha mwingine kutoka umoja wa UKAW kugombea sehemu ambayo imetengwa kwa ajili ya chama shirika kingine ni usaliti ambao amesema utafanyiwa kazi ili kupata ufumbuzi. BW.MOHAMED amewataka wananchi wa Kibaha kutokubali kununuliwa na CCM, Katika uchaguzi mkuu ujao, ilihali hali ya mambo ikizidi kuwa mbaya kutokana na kukosekana utawala bora ambao u nathamini ustawi wa wananchi. Akimtambulisha mgombea Ubunge wa CHADEMA, BI.EDITHA BABEIYA amewataka wapiga kura kumchagua yeye ili

WAISLAMU WAOMBEA AMANI UCHAGUZI MKUU

Ben Komba/Pwani-Tanzania/9/6/2015 1:58:44 PM Waumini wa dini ya kiislam nchini  wamefanya ibada maalum ya kuombea amani kuelekea uchaguzi mkuu wa Rais, wabunge na madiwani ambao unatarajiwa kufanyika  Oktoba 25   mwaka huu. Mkuu wa wilaya ya Kibaha, BIBI.HALIMA KIHEMBA kwa niaba ya Mkuu wa mkoa wa Pwani, amesema kuwa viongozi wa dini wana wajibu mkubwa wa kuhakikisha kuwa kunakuwepo na hali ya amani kabla ya uchaguzi,wakati wa uchaguzi na baada ya uchaguzi. Mkuu huyo wa wilaya BI.KIHEMBA ameongeza kuwa serikali ina wajibu wa kuhakikisha uchaguzi unafanyika kwa utulivu,haki na amani, ingawa serikali yenyewe haiwezi bbila kuwashirikisha wadau ambao ni pamoja na viongozi wa dini katika kuwahimiza waumini wao kufuata sheria na taratibu zilizopo.  Naye SHEIKH LIPAMBILA MUDHIHIR akielezea kuhusu uumbaji amesema kuwa Mungu akiombwa anasikiliza, ametoa mfano kuwa Mungu ameumba binadamu mwanaume na mwanamke, ameumba jua na mvua na mambo mengine chungu nzima akitaka binadamu wa

CHADEMA KIBAHA VIJIJINI YAJIDHATITI.

Ben Komba/Pwani-Tanzania/9/6/2015 2:35:57 PM Chama cha demokrasia na maendele-CHADEMA-kimezindua rasmi kampeni yake ya ubunge katika Jimbo la uchaguzi Kibaha vijijini kwa kutangaza vipaumbele vinne vilivyopo katika ilani ya uchaguzi wa chama hicho. Makamu wa mwenyekiti wa CHADEMA Zanzibar, BW.SAID ISSA MOHAMED amesema kuwa mgawanyo wa ubunge kwa UKAWA ni kwamba katika Mkoa wa Pwani chama cha demokrasia kina nafasi ya ubunge tatu na CUF wa nafasi saba. BW.MOHAMED ameongeza hatua yoyote ya mwanacha mwingine kutoka umoja wa UKAW kugombea sehemu ambayo imetengwa kwa ajili ya chama shirika kingine ni usaliti ambao amesema utafanyiwa kazi ili kupata ufumbuzi. BW.MOHAMED amewataka wananchi wa Kibaha kutokubali kununuliwa na CCM, Katika uchaguzi mkuu ujao, ilihali hali ya mambo ikizidi kuwa mbaya kutokana na kukosekana utawala bora ambao u nathamini ustawi wa wananchi. Akimtambulisha mgombea Ubunge wa CHADEMA, BI.EDITHA BABEIYA amewataka wapiga kura kumchagua yeye ili aen