Posts

Showing posts from September, 2016

WANANCHI WAFUNGA OFISI YA MWENYEKITI MTAA

Image

HATIMAYE WAKULIMA KUFAIDIKA NA HUDUMA YA UMEME CHAURU

Image

WAFUGAJI PWANI KATIKA HOFU KUBWA.

Image

UTEKELEZAJI WA KUHAMA KABLA YA BOMOABOMOA KUANZA KIBAHA

Image

WAFUGAJI WALALAMIKA KUNYANYASWA NA SERIKALI BAGAMOYO

Image

MICHAEL DADA

Image
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI JESHI LA POLISI TANZANIA TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Ndugu wanahabari, Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani linapenda kuuthibitishia umma juu ya kifo cha Michael William maarufu kama Michael dada aliyeuwawa na wananchi waliojichukulia sheria mkononi. Ndugu wanahabari, Michael William alikutwa na umauti mnamo tarehe 15/09/2016 majira ya saa 16:00 alasiri kufuatia kushambuliwa maeneo mbalimbali ya mwili wake na wananchi waliojichukulia sheria mkononi kwa kisingizio cha hasira kali kufuatia kudaiwa kuwateka watoto wawili. Ndugu wanahabari, marehemu aliwateka nyara watoto wawili Furaha Justine 11 mwanafunzi wa darasa la 4 shule ya msingi Kibaha na Brigita Mashaka 6 mwanafunzi wa chekechea ya Mama Kawili  ambao walikuwa wakicheza rede mtaani kwao karibu na Bar ya Lekashingo Kata ya Picha ya Ndege Wilaya ya Kibaha kwa kuwarubuni wampeleke mtaa wa Lulanzi kwenda kuchukua mizigo yake huko na alikuwa hapafahamu. Watoto hao walimkuba

HATIMAYE MICHAEL DADA AUWAWA NA WANANCHI WENYE HASIRA

Image

HATIMAYE MICHAEL DADA AUWAWA NA WANANCHI WENYE HASIRA

Image

KANISA LAUNGA MKONO JUHUDI ZA RAIS MAGUFULI

Image

JESHI LA WANANCHI LA TANZANIA WATOA MADAWATI 200

Image

MOTO WAENDELEA KUTESA

Image

PATA TAFSIRI YA IDD EL HAJ KUTOKA KWA USTAADH LIPAMBILA

Image

WAFUGAJI WAPANIA KUENDELEZA UTUNZAJI WA MAZINGIRA

Image

SAKASAKA YA DARAJA YAKARIBIA KUZAA MATUNDA KATA PANGANI

Image

MSD YALALAMIKIWA UKOSEFU WA MADAWA PWANI.

Image

BOHARI YA MADAWA LAWAMANI

Ben Komba/Pwani-Tanzania/09/09/2016 19:37:11 Bohari ya madawa nchini imelalamikiwa kwa kushindwa kukidhi mahitaji ya halmashauri zilizopo katika Mkoa wa Pwani kutokana na dawa kuagizwa na matokeo yake kupata madawa kiduchu. Akizungumza katika kikao cha Baraza la ushauri la mkoa, Mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Kibaha BI.TATU SELEMAN amesema wamekuwa wakiagiza dawa kama utaratibu unavyoelekeza lakini badala ya kupata walichoagiza wanapata pungufu ya mahitaji. Ametoa mfano unaweza kuagiza dawa za shilingi milioni 9 lakini wao wanakupa madawa ya shilingi milioni 2 na hivyo kuwalazimu wahitaji kuanza zoezi la ufuatiliji bohari ya dawa. Awali akifungua kikao hicho Mkuu wa mkoa wa Pwani,  Mhandisi EVARIST NDIKILO amesema kuwa kupitia kikao hicho anategemea changamoto mbalimbali ikiwemo migogoro ya ardhi na upungufu wa madawa zitapatiwa ufumbuzi. END.