AJALI YAUA WAMI
AJALI YA MAGARI MAWILI KUKONGANA USO KWA USO NA KUSABABISHA KIFO NA MAJERUI MNAMO TAREHE 31/10/2014 MAJIRA SAA 09:00HRS HUKO WAMI DARAJANI BARABARA YA CHALINZE/SENGERA (W) BAGAMOYO (M)PWANI GARI T507BAE FAW IKTOKEA DSM KUELEKEA TANGA IKIENDESHWA NA NASSORO S/O RAMADHANI 36YRS,MZINGUA,MKAZI WA DSM,ILIGONGANA USO KWA USO NA GARI NAMBA T501 BRZ YUNTHON BUS SIMBA MTOTO DEREVA ANAITWA TWALIB S/O ALLY IKITOKEA TANGA KWENDA DSM NA KUSABABISHA KIFO CHA DEREVA WA GARI T507BAE NA MAJERUI WATANO,KATI YA HAO WATATU WA FAW WOTE WAMEPELEKWA HOSPT TUMBI NA MWILI WA MAREHEMU UMEPELEKWA MIONO HOSPT KWA AJILI YA KUFANYIWA PM NA KUKABIDHIWA NDUNGU ZAKE.
Comments
Post a Comment