VIPOFU WAWEZESHWA KUONA-VIDEO
Ben Komba/Pwani-Tanzania
Serikali nchini imetakiwa kutoa kipaumbele kwa kazi za kitabibu zinazofanywa na watafiti wa tiba asili ili kuweza kupambana na magonjwa mbalimbali yanayojitokeza na kusumbua binadamu.
Mtafiti wa madawa asilia mwenye maskani yake,katika eneo la Magwila Chalinze BW.ABDALLAH MBEMBENUE amesema kuwa katika utafiti wake ambao ameufanya amebaini kwamba kuna miti dawa ambayo inaweza kufanya maajabu katika kutibu magonjwa mbalimbali.
Akizunguimza na mwandishi wa habari hizi ambaye alifika kwa mtafiti watiba za asili kufuatia habari za kuponywa upofu kijana BW.SHOMARI KICHWECHWE ambaye alipata upofu toka Juni mwaka huu na kumfanya kuishi maisha ya mashaka kutokana na mabadiliko hayo ya kimaumbile ambayo ameyapata.
BW.MBEMBENUE ameongeza kuw tiba za asili zina nafasi kubwa ya kuokoa maisha ya maelfu ya Watanzania iwapo wizara ya afya ikiwa makini na kukaa karibu na watafiti wa tiba asilia, ambapo kwa upande wake kuna magonjwa kadhaa ambayo hayampi shida katika kuyatibu.
Ametoa mfano baadhi ya magonjwa ambayo amewatibia watu na kupona ni pqamoja na uwendawazimu, kifafa cha mimba, mgolo wa kutoka na magonjwa mengine mengi.
Naye mgonjwa wa upofu, BW. SHOMARI KICHWECHWE ameshangazwa na uwezo wa mtafiti huyo wa tiba asilia kwa jinsi alivyomuwezesha kuona tena baada ya miezi takriban mitatu ya kutoweza kuona kufuatia kujitokeza kwa hali hiyo ghafla na kulazimika kuwepo wakati wote na mtu wa kumuongoza.
BW.KICHWECHWE ameiomba serikali kuwasaidia watu hawa ili waweze kuwasaidia watu wenye matatizo kama yake na mengine kwani toka alipofika kwa mtafiti huyo mwezi mmoja uliopita kwa sasa ameweza kuonq na kutambua hata baadhi ya rangi ambazo mwanzo alikuwa anziona bluu.
Ndugu wa mgonjwa huyo, BW. OMARY MNGINDO amebainisha nkuwa yeye ndiye alimpeleka kijana huyo kwa mtafiti huyo wa tiba za asili maarufu kama DKT.MAYUMO, akiwa anamkokota ilihali amemshika mkono, lakini baada ya wwiki moja alipomtembelea alishangaa kumuona kijana huyo akimkaribisha.
Kutokana na kujitokeza kwa hali hiyo,BW.MNGINDO ameshauri kuwa imefika wakati kwa serikali kutambua kazi zinazofaynwa na waganga wa tiba asilia katika kutafuta suluhisho la matatizo ya magonjwa mbalimbali yanayowakabili wanadamu, na kutoa mfano wa wanyama kama mbuzi ambao nkugua kwao ni aghalabu kutokana na chakula wanachokula kuwa na mchanganyiko wa miti mbalimbali.
END.

Comments
Post a Comment