NAFASI ZA POLISI KWA WALIOMALIZA 2014

KUITWA KWENYE USAILI. JESHI LA POLISI MKOA WA PWANI LINAPENDA KUWAKUMBUSHA WAHITIMU WOTE WA KIDATO CHA NNE KWA MWAKA 2013 NA WALE WA KIDATO CHA SITA KWA MWAKA 2014 KTK SHULE ZA SEKONDARI ZILIZOPO MKOA WA PWANI AMBAO WAMEITWA KWENYE USAILI NA MAJINA YAO YAPO KWENYE TOVUTI YA POLISI www.policeforce.go.tz na ile ya TAMISEMI www.pmorlag.go.tz KUFIKA KTK OFISI YA KAMANDA WA POLISI MKOA WA PWANI KUANZIA 23/09/2014 HADI 26/09/2014 MUDA WA SAA 2.00 ASUBUHI HADI SAA 10.00 ALASIRI BILA YA KUKOSA WAKIWA NA VYETI VYAO HALISI. KWA WALE WALIOMBALI WANAWEZA KUFIKA KWENYE USAILI HUO KWENYE MIKOA MINGINE KWA MUJIBU WA SIKU ZILIZOANISHWA KWENYE MIKOA HIYO KUPITA TOVUTI YA POLISI AU YA TAMISEMI. TAARIFA HII IMETOLEWA NA KAIMU KAMANDA WA POLISI MKOA WA PWANI SSP ATHUMANI MWAMBALASWA u

Comments

Popular posts from this blog

MAFUNZO YA UREFA