SILAHA YAKAMATWA PWANI.





Add ca
Kamanda wa Polisi Mkoani Pwani Ulrich Matei akionyesha silahaaina ya Bastora Browning iliyokamatwa Wilaya ya Mkuranga mkoani humo baada ya Watu watatu wanaosadikiwa kuwa majambazi kumpora mfanyabiashara aitwaye  Musa Kambangwa  mkazi Kijiji cha Mwaanambaya iliyokuwa na risasi 23 na magazine mbili pamoja na chaja ya kutunzia risasi ambapo pia katika tukio hilo ilikamatwa sare ya Jeshi la Wananchi Tanzania( JWTZ) Jozi moja,simu tatu za mnoni ,deki moja ya Dvd na Inveta moja

PICHA KWA HISANI YA JESHI LA POLISI

Comments

Popular posts from this blog

MAFUNZO YA UREFA