Posts

Showing posts from 2017

BODABODA SUMBAWANGA WATAKIWA KUJUA UMUHIMU WAO

Image

HALAMSHAURI YA MJI KIBAHA YAONGOZA KITAIFA UKUSANYAJI MAPATO

Image

TFF YAKABIDHI MIPIRA MIA MOJA PWANI

Image

MWEKEZAJI ASALIMU AMRI AKABIDHI MAGHALA

Image

WADAU KUFANYIA UKARABATI KIBAHA SEKONDARI

Image

MKATABA WATAKIWA UPITIWE UPA-NAIBU WAZIRI OLENASHA

Image

MAKALIO MAKUBWA YASABABISHA MAUAJI PWANI

Image

WAZIRI KAIRUKI AMSIMAMISHA KATIBU TAWALA PWANI

Image

WAZIRI KAIRUKI AMSIMAMISHA KATIBU TAWALA PWANI

Image

WAKULIMA KUJENGEWA UWEZO

Image

WANANCHI WAPORWA ARDHI CHALINZE

Image

RIP, JOSEPH ALFRED MTUTUMA aka JAMES BOND 007-MY BEST UNCLE and BEST FRI...

Image

LIGI YA KIBAFA YAISHA KWA KASORO KIBAO

Image

MFUKO WA TAIFA BIMA YA AFYA KUTOA MATIBABU BURE

Image

USHIRIKA WAKARABATI MASHINE ZA KUKOBOA MPUNGA

Image

MKOA WA PWANI KUKOMESHA AJALI

Image

UWEKEZAJI MKOA PWANI SAFARI NDEFU

Image

MKOA WA PWANI YAWEKA MIKAKATI KUPUNGUZA AJALI BARABARANI

Image

WAFANYABIASHARA SOKO LA BWILINGU CHALINZE WALALAMIKA

Image

WAMILIKI WA VIWANJA KIBAHA HATARINI KUFUTIWA HATI

Image

AKAGUZI WA MAGARI WAFANYIKA KIBAHA

Image

MWANAUME AKAMATWA AKIWA KAVALIA DERA

Image

MWANAUME AKAMATWA AKIWA KAVALIA DERA

Image

WANAUSHIRIKA WATAKIWA KUWA MAKINI MIKUTANONI

Image

WANAKIJIJI WAMLILIA MKUU WA WILAYA YA KIBAHA

Image

MADIWANI KIBAHA VIJIJINI WACHAGUA MAKAMU MWENYEKITI NA KAMATI

Image

BIASHARA YA KITIMOTO RUKSA KUENDELEA MJINI KIBAHA

Image

MHANDISI WA MAJI KIBAHA KIKAANGONI

Image

HALMASHAURI YA WILAYA KIBAHA YAKABIDHIWA MAGARI YA WAGONJWA

Image

HALMASHAURI YA WILAYA KIBAHA YAKABIDHIWA MAGARI YA WAGONJWA

Image

JMBAZI AUWAWA KWA UPORAJI WA KUTUMIA SILAHA

Image

MRADI REA KIBAHA VIJIJI WALEMTA MVUTANO WA KISIASA

Image

WAFANYABIASHARA NDOGO KIBAHA WAMLILIA RAIS MAGUFULI

Image

WABINAFSI WAMEZEA MATE ARDHI YA USHIRIKA WA KILIMO RUVU

Image

CHUMBA CHA KUHIFADHIA MAITI HOSPITALI YA TUMBI CHABORESHWA

Image

MWANAKIJIJI AKAMATWA KWA KUHOJI MAPATO NA MATUMIZI

Image

WAFANYABIASHARA SOKO LA JIONI MAILIMOJA WAOMBA HURUMA YA RC NDIKILO

Ben Komba/Pwani-Tanzania/06/07/2017 14:08:59 Mkuu wa mkoa wa Pwani Mhandis EVARIST NDIKILO amewataka wafanyabiashara wanaofanya biashara nyakati za jioni pembeni mwa barabara kuu ya Morogoro kuondoka ili kuwezesha kupendezesha sura ya mji wa Kibaha. Akiongea na wananchi hao katika kituo cha mabasi ya Mikoani, Kibaha Maili moja, MHANDISI NDIKILO  amesema wanatakiwa kuondoka eneo hilo ili kuwezesha kupandwa kwa majani ili kuleta sura nzuri ya Mji wa Kibaha. Hivyo amemwagiza Mkuu wa kikosi cha usalama Barabarani Mkoa wa Pwani Mrakibu msaidizi ABDI ISSANGO kuhakikisha kuwa mabasi yote ya abiria lazima yanapita katika soko lililojengwa hivi karibuni LOLIONDO kwa ajili ya kuwawezesha wafanyabiashara hao kufaidika. Kwa upande wa wafanyabiashara wenyewe wameshindwa kuelewa dhana hiyo na baadhi yao akiwamo BI. STELLA PETER amesema kuwa wao wenyewe ndio wanaofanya biashara katika Soko la Loliondo na wanahamia eneo hilo la barabarani muda wa soko unapoisha saa kumi na mbili ji...

VIONGOZI WATAKIWA KUSIMAMIA NIDHAMU KITUO CHA MABASI MLANDIZI

Ben Komba/Pwani-Tanzania/04/07/2017 13:33:28 Katika kuhakikisha kunakuwepo na amani na usalama katika kituo cha mabasi cha Mlandizi chama cha madereva na makondakta wa mabasi ya abiria ya Dar-es-Saalam kuelekea maeneo ya Mkoa wa Pwani wamechagua viongozi ambao watakuwa na jukumu la kusimamia nidhamu katika kituo hicho. Uchaguzi hiyo umefikiwa baada ya Diwani wa Kata ya Janga BW. CHANDE MWALIKA kupokea malalamiko mbalimbali kutoka kwa wananchi ambayo yanayohusiana na kero zinazosababishwa na wapiga debe wanaofanyakazi kiholela katika eneo hilo. BW.MWALIKA amesema kuwa kwa kuliona hilo amechukua hatua hiyo ya kuwaita makondakta na   ili kupata mwafaka juu ya kupunguza wimbi la vijana wa kihuni ambao wamejiunga kiholela na kazi ya kupiga debe na hivyo kuwadhalilisha abiria hususan wa kike wanapofika eneo hilo kwa ajili ya huduma ya usafiri. Viongozi waliochaguliwa katika kipindi cha mpito ni Mwenyekiti BW. RICHARD MILINGA na Makamu mwenyekiti  ni BW. BARNAB...

WANANCHI WATAKIWA KUSHIRIKI MAPAMBANO DHIDI YA RUSHWA

Ben Komba/Pwani-Tanzania/01/07/2017 11:19:32 Wananchi nchini wametakiwa kutoa ushirikiano katika kusaidia juhudi za serikali katika mapambano dhidi  ya rushwa ili kuleta matokeo yanayotarajiwakatika vita hivyo. Mwezeshaji katika jukwaa la ufahamu la kiraia la kila mwisho wa mwezi  linaloandaliwa na asasi ya kiraia ya YOUTH PARTNERSHIP COUNTRYWIDE-YPC-, BW.ISRAEL ILUNDE amesema ili mapambano hayo yafanikiwe wananchi hawana budi kutoa ushirikiano wa hali na mali ili kufanikisha malengo hayo. BW.ILUNDE amesema kuwa  nafasi ya umma katika mapambano hayo ni kubwa kwa wenyewe kuwa utayari katika kutokubali kuyakaribisha wao binafsi katika ushiriki wa vitendo vya upokeaji na utoaji rushwa ili kuziba mianya ya inayosababisha uwepo wa rushwa nchini. Akitoa mfano wan chi ya Rwanda kupitia taasisi yao ya kupambana na rushwa OMBUDSMAN ambayo imekuwa ikishirikisha watu makundi yote ya kijamii katika kuwaunganisha bila kujali nafasi zao katika jamii. Mshiriki kati...

SIKU YA MTOTO WA AFRIKA

Image

MAMA ATELEKEZWA KUTOKANA KUZAA WATOTO MAPACHA MFULULIZO

Ben Komba/Pwani-Tanzania/14/06/2017 13:44:19 Mkazi mwanamke ZAINAB HAMIS anayeishi wilaya ya Mkuaranga amejikuta ametelekezwa kufuatia kukimbiwa na mume wake kutoka na kubarikiwa uzazi wa watoto mapacha na kujikuta akiwa na familia kubwa kinyume cha matarajio yake. BIBI. ZAINAB amesema ameolewa na BW. NASIBU KADAMA anayefanya kazi uvuvi ambaye mara ya mwisho alimuaga mkewe anakwenda kutafuta Songosongo lakini mpaka leo hii hajaonekana. BIBI ZAINAB alizaa watoto mapacha wawili wawili mara tatu baadaye akazaa mmoja pekee yake kabla ya kufunga dimba kwa kuzaa watoto watatu kwa mpigo, hali iliyomfanya BW. NASIBU KADAMA kuamua kuitelekeza familia yake na kupotelea kusikofahamika. INSERT END

MLIPUKO WA UGONJWA WA NGURUWE

Ben Komba/Pwani-Tanzania/13/06/2017 12:59:37 Halmashauri ya mji wa Kibaha imepiga marufuku usafirishaji na uuzaji wa nguruwe kutokana na mlipuko wa ugonjwa wa homa ya nguruwe uliotokea katika mji wa Kibaha. Afisa habari, mawasiliano na uhusiano wa halmashauri ya mji wa Kibaha, BW.INNOCENT BYARUGABA amesema kumekuwepo na vifo vingi vya nguruwe kati ya kipindi cha mwezi Mei katika kata za Viziwaziwa na Picha ya Ndege ambapo mpaka sasa nguruwe 71 wameshakufa. Na timu ya wataalamu kutoka idara ya mifugo na uvuvi walipofanya uchunguzi wa awali kubaini sababu ya vifo vya wanyama hao  kwa mwonekano na kwa uchunguzi wa wanyama hao waliokufa zilionyesha kuwepo kwa viashiria vya ugonjwa    wa homa ya nguruwe (African swine fever}. INSERT Daktari wa mifugo wa halmashauri ya mji wa Kibaha, BW. DEOGRATIUS MGUTE amesema wao kwa upande wao wanaendeleakupita maeneo mbalimbali ya mitaa na kata zote ili kutoa elimu na kusimamia udhibiti wa ueneaji wa ugonjwa huo....

POLISI RUKWA LAWAMANI KUZEMBEA KESI YA MAUAJI

Ben Komba/Pwani-Tanzania/12/06/2017 11:35:07 Katika hali inayoashiria kuwa bado baadhi ya watumishi wa Jeshi la Polisi kushindwa kwenda na kasi ya utendaji ya serikali ya awamu ya tano, Polisi katika halmashauri ya wilaya ya Sumbawanga wamewaachia huru katika mazingira ya kutatanisha wamewaachia huru watuhumiwa wa mauaji na wao kuendelea na vitisho. Watuhumiwa hao BW.YEGELA SHIGELA na BW.DOTTO PETER ambao awali walimtishia Diwani wa Kata ya Kipeta, BW RASHID DAUD KALELE na hatimaye kufanikiwa kumuua mke wake, BIBI MONICA MASIGANI kwa kumkata na shoka kichwani na kusababisha kifo chake. Tukio hilo limetokea licha ya Diwani huyo kutoa taarifa ya kituo cha Polisi Kata ya Kipeta na kukosa msaada na hata yalipotokea mauaji, Polisi hao waliwaachia huru watuhumiwa na wao kuendelea kutoa vitisho ambapo walimpigia simu saa saba usiku na kumuambia kwamba amewashtaki na wao sasa wapo huru hawatishi kwa lolote. Diwani huyo BW. RASHID DAUD KALELE ambaye pia ni Makamu mwenyekiti wa B...

HALMASHAURI YA WILAYA YA KIBAHA KUFANYA TATHMINI UHARIBIFU BARABARA

Image

WANANCHI WAJITOLEA KUKARABATI KIPANDE CHA BARABARA MLANDIZI

Ben Komba/Pwani-Tanzania/28/05/2017 15:56:54 Wananchi katika mji wa Mlandizi wamejitolea kutengeneza miundombinu ya barabara iliyoharibika kufuatia mvua kubwa zilizonyesha kwa takriban miezi miwili  nchini. Wakazi hao wa Mlandsizi Mtongani waliungana kwa  umoja kukarabati kipande hicho cha barabara ambacho kilikuwa na kalavati lililozidiwa nguvu na maji yaliyokuwa yananatiririka na kuzidi kiasi cha kupita pembeni na kusababisha  kumeguka kwa barabara hiyo inayounganisha vitongoji vya Msagasa na Mtongani. Mmoja wa wakazi wa eneo BW.KONDO MGEGEDA amesema kipande hicho cha barabara kinachounganisha vijiji vya Mlandizi na kuelekea maeneo ya Disunyala na Mzenga kiliharibika katika kipindi cha mvua  na kusababisha usumbufu mkubwa kwa magari yaliyotaka kwenda maeneo hayo. Hivyo kwa kuliona hilo wakaamua kuita msaragambo kwa ajili ya kukarabati eneo hilo ili kuwezesha usafiri wa pikipiki kupita maeneo hayo katika kupunguza  makali ya tatizo hilo. ...

RAIS MAGUFULI AMWAGIWA SIFA

Ben Komba/Pwani-Tanzania/27/05/2017 09:44:00 Rais JOHN POMBE MAGUFULI amepongezwa kufuatia hatua mbalimbali anazochukua  kukabiliana na upotevu wa fedha za mchanga wa madini ambao uliokuwa unaigharimu nchi zaidi ya matrilioni  ya shilingi zilizokuwa zinapotea kwenye baadhi ya mikono ya watumishi wa serikali wasio waaminifu. Mkurugenzi mtendaji wa shirika lisilo la kiserikali la YOUTH PARTNERSHIP COUNTRYWIDE la mjini Kibaha, BW.ISRAEL ILUNDE ameyasema hayo wakati  akizungumza na mwandishi wa habari hizi pembeni mwa jukwaa la ufahamu wa kiraia linalofanyika kila  ya ijumaa ya mwisho wa mwezi. Ambapo amesema hatua ambazo amekuwa akizichukua kudhibiti uvujaji wa mapato mbalimbali hazina budi kuungwa mkono na umma wa Watanzania kwani zitawezesha nchi kuelekea katika maendeleo endelevu kwa ustawi wa n chi katika utoaji wa huduma mbalimbali za kijamii. Bw. ILUNDE ameongeza kitendo chake cha kutofumbia macho vitendo hivyo ni ishhara tosha ya kuonyesha lengo l...

FATHERHOUSE CORNER STUDIO

Image

SHIRIKA LA ELIMU KIBAHA LALAMIKIWA URASIMU MALIPO YA WAKANDARASI

Ben Komba/Pwani-Tanzania/04/05/2017 09:53:24 Baadhi ya wazabuni wanaofanya kazi na Shirika la Elimu Kibaha wamelalamikia kitengo cha ukaguzi kwa kuwakata fedha ambazo wamepatana kulipwa kwa zabuni wanapewa kwa visingizio ambavyo havina mantiki. Uchunguzi ambao umefanywa na mwandishi wa habari hizi kwa takribani wiki mbili kufuatia malalamiko ya mmoja wa wazabuni ambaye alipatiwa kazi ya kufanya matengenezo katika chumba cha kuzalishia dripu za kwa ajili ya wagonjwa, BW.KABUGI MNDEME na baadaye kulipwa nusu ya fedha iliyopo katika makubaliano. BW.MNDEME amesema kuwa yeye aliingia makubaliano ya kuweka milango na madirisha  ya aluminium katika chumba hicho cha kuzalisha dripu za maji ya kuongezewa wagonjwa kupitia LPO No. 20161163 ambapo kwa upande wake ametimiza wajibu na kukamilisha  matengenezo hayo ambayo gharama yake halisi ilikuwa shilingi 5,892,500.00. BW.MNDEME ameongeza kuwa cha kushangaza mara kazi ilipokamilika ndipo urasimu wa malipo ulipoanza, kukaan...

AKIMBIWA NA WAPINZANI WAKE WAKIMUOGOPA

Image

AKIMBIWA NA WAPINZANI WAKE WAKIMUOGOPA

Image

OFISI YA TAKUKURU MKOA WA PWANI YATOA TAARIFA

Image

MVUA ZALETA FARAJA KWA WAKULIMA WA CHAURU

Ben Komba/Pwani-Tanzania/08/04/2017 11:39:56 Kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha hivi sasa, Ushirika wa umwagiliaji wa kilimo cha Mpunga halmashauri ya Chalinze unatarajia kupata mavuno makubwa kutokana maadalizi mazuri ambayo wameyafanya kuelekea msimu huu wa kilimo. Afisa umwagiliaji wa ushirika huo BW.AIDAN MTEGA amesema hayo shambani alipokuwa  anasimamia shughuli za umwagaji mbolea katika mpunga, ambapo amesema kuwa upatikanaji wa mbolea ya ruzuku kwa bei nafuu kutasaidia kwa kiasi kikubwa kuongezeka kwaa mavuno katika msimu huu wa kilimo. BW.MTEGA ameongeza kichocheo kingine kikubwa kitachosaidia upatikanaji wa mavuno kwa wi ngi ni kufanikiwa kupatiwa umeme wa REA ambao urahisishaji usambazaji wa maji katika mifereji inayotumika kwa umwagiliaji katika shamba hilo tofauti na hapo awali ambapo iliwalazimu kununua mafuta ya kuendeshea pampu ya kusukuma maji. Ameeleza kuwa wamekuwa wakikabiliwa na chamgamoto mbalimbali katika kusimamia ushirika huo hususan kati...

WANAWAKE PWANI WATAKIWA KUTUMIA FURSA YA TANZANIA YENYE VIWANDA

Image

KIBAFA YAFANYA UCHAGUZI

Ben Komba/Pwani-Tanzania/06/03/2017 11:56:39 Chama cha soka wilaya ya Kibaha hatimaye kimepata viongozi watakaokiongoza chama hicho kwa kipindi kijacho, kufuatia kukosa uongozi kwa takriban miaka minane. Katika uchaguzi huo wa KIBAFA, wamefanikiwa kupata Katibu mpya ambaye ni DAUD MHINA na Mwenyekiti wake ni ROBERT MUNISI kwa kushirikiana na viongozi wengine ambao wamechaguliwa katika kuhakikisha wanaendeleza mpira wa soka Kibaha. Akiongea baada ya uchaguzi huo, Mwenyekiti mpya ROBERT MUNISI amewahakikishia wapiga kura kwa pamoja watahakikisha chama hicho cha wilaya ya Kibaha kinakuwa mfano kwa vyama vingine vya wilaya. Akiongea katika uchaguzi huo, Katibu wa Chama cha soka mkoa wa Pwani, HASSAN HASSANOL amekitaka KIBAFA kusimamia maendeleo ya mchezo wa soka wilayani Kibaha ili kuwezesha vilabu vya wilayani hapa kufanya vizuri kwenye mashindano mbalimbali ya soka. Ikiwa na kuzisaidia timu zinazoshiriki ligi mbalimbali nchini katika kukabiliana na changamoto zinazo...

WAKAZI MATIPWILI BAGAMOYO WAPINGA UBABE WA MKUU WA WILAYA

MGOGORO WAIBUKA KUFUATIA UBABE WA DC-BAGAMOYO: Ben Komba/Pwani-Tanzania/28/02/2017 13:12:36 Sakata la uwekaji wa kutumia nguvu wa mpaka kati ya kijiji cha Matipwili na hifadhi ya Mbuga ya Saadani wilayani Bagamoyo mkoa wa Pwani, limeingia katika sura mpya kufuatia Mwenyekiti wa kijiji hicho kubainisha matumizi makubwa ya nguvu katika utekelezaji wa suala hilo kunakofanywa na Mkuu wa wilaya ya Bagamoyo ALHAJI MAJID MWANGA. Mwenyekiti wa kijiji hicho cha Matipwili, BW. GESANDE MWISA amesema amekuwa akipokea vitisho mbalimbali ikiwa pamoja na majaribio kadhaa ya kutaka kuchonganishwa na wananchi kutokana na msimamo wake kuhusiana na utekelezaji wa mpango huo wa kubadilisha mipaka ambao utaathiri zaidi kijiji hicho. BW. MWISA amesema kuwa eneo la mgogoro halitakiwi kuguswa na pande zote mbili mpaka kutakapopatikana muafaka ambao utawezesha kutoa ufumbuzi wa mgogoro husika. Amesema yeye ananshangazwa na Mkuu wa wilaya ya Bagamoyo kuamua kufanya jambo hilo kwa nguvu badala ya kus...

AGIZO LA MKUU WA MKOA KUHUSU MIFUGO PWANI LAPUUZWA

Image

MKUU WA WILAYA BAGAMOYO APINGWA KUTUMIA UBABE

Image

COREFA YAUNGA MKONO VITA DHIDI YA MADAWA KULEVYA

Ben Komba/Pwani-Tanzania/23/02/2017 09:28:28 Chama cha soka mkoa wa Pwani COREFA limeunga mkono kwa kauli moja vita dhidi ya madawa ya kulevya inayoendeshwa na serikali katika kukabiliana na ongezeko kubwa la matumizi ya madawa hayo hatarishi kwa afya za wanadamu. Katibu mtendaji wa COREFA, ABUBAKAR ALLAWI amesema chama hicho kimetambua juhudi za serikali katika kupambana na kadhia hiyo hiyo ambayo imekuwa ni tishio kwa afya na ustawi wa afya za vijana. Amesema COREFA wanatambua matumizi ya madawa ya kulevya yana athari kubwa katika nchi yetu na mpaka sasa yameshapoteza nguvu kazi kubwa tegemeo kwa maendeleo ya nchi. Aidha Katibu mtendaji wa COREFA, ALLAWI amewataka wadau wote wa michezo wanaojihusisha kwa njia moja au nyingine katika utumiaji au uuzaji wa madawa ya kulevya kuacha kufanya hivyo mara moja. END

YPC YATAFUTA MWAROBAINI WA TATIZO LA AJIRA

Image

WANANCHI WACHANGIA MATOFALI KUONGEZA MADARASA VIGWAZA

Image

WANANCHI WACHANGIA MATOFALI KUONGEZA MADARASA VIGWAZA

Image

KIBAHA WAPATA MWAMKO JUU YA USAFI

Image

AGIZO LA BOMOA BOMOA LATEKELEZWA KWA AMANI KIBAHA

Image

AGIZO LA BOMOA BOMOA LATEKELEZWA KWA AMANI KIBAHA

Image

ALIYESAIDIA KIKAMATWA ASKARI FEKI MBARONI

Image

KIKAO CHA BAJETI NUSURA KIVUNJIKE KIBAHA

Image

KAMATI YA UCHAGUZI YA COREFA YAGOMEWA KIBAFA

Image

VITENDEA KAZI NI SHIDA POLISI PWANI.

Image

VITENDEA KAZI NI SHIDA POLISI PWANI.

Image

KIBAFA KUFANYA UCHAGUZI

Image

MAMIA YA MIFUGO YASHIKILIWA KIBAHA

https://youtu.be/kpVrV0UxVeM

RIDHIWAN KIKWETE ATAKA UTULIVU RUVU DARAJANI

Image

WALIOBOMOLEWA KIBAHA WAOMBA SERIKALI IWAPATIE MAENEO

Image