MAMA ATELEKEZWA KUTOKANA KUZAA WATOTO MAPACHA MFULULIZO
Ben
Komba/Pwani-Tanzania/14/06/2017 13:44:19
Mkazi
mwanamke ZAINAB HAMIS anayeishi wilaya ya Mkuaranga amejikuta ametelekezwa
kufuatia kukimbiwa na mume wake kutoka na kubarikiwa uzazi wa watoto mapacha na
kujikuta akiwa na familia kubwa kinyume cha matarajio yake.
BIBI. ZAINAB
amesema ameolewa na BW. NASIBU KADAMA anayefanya kazi uvuvi ambaye mara ya
mwisho alimuaga mkewe anakwenda kutafuta Songosongo lakini mpaka leo hii
hajaonekana.
BIBI ZAINAB
alizaa watoto mapacha wawili wawili mara tatu baadaye akazaa mmoja pekee yake
kabla ya kufunga dimba kwa kuzaa watoto watatu kwa mpigo, hali iliyomfanya BW.
NASIBU KADAMA kuamua kuitelekeza familia yake na kupotelea kusikofahamika.
INSERT
END
Comments
Post a Comment