MEYA WA BAGAMOYO, ABDUL SHARRIF AKEMEA UZEMBE WA WATUMISHI

Tuesday, 9 April, 2013, 14:03 Tuesday, 9 April, 2013, 14:03 Ben Komba/Pwani-Tanzania/Tuesday, 9 April, 2013, 14:03 viongozi nchini wametakiwa kutimiza majukumu kwa kadiri ya wajibu na miongozo iliyopo katika suala zima la kuwatumikia wananchi.Hayo yamezungumzwa na meya wa mji wa Bagamoyo, Bw. Abdul Sharrif amezungumza hayo katika kikao na waandishi wa habari hivi karibuni mjini Kibaha,na amesema tatizo lililopo ni kwamba kila mtu anapopata uongozi wanafikiria maslahi binafsi.Bw. Sharrif amesema kuwa ccm ina lengo la kweli la kumkomboa mwananchi wa kawaida kwa kuangalia hata ilani yake kwani inatekelezeka na hata viongozi wake ni makini na kinachotokea ni changamoto za kisiasa na nyingine ni matatizo ya baadhi ya wachache. Amebainisha baadhi ya viongozi wake hawakitendei haki ccm,kwa kusahau majukumu ya kuwaletea maendeleo wananchi, amesisitiza chini ya uongozi wa DR. KIKWETE nmambo mengi yamefanywa kwa chama na serikali. BW. SHARRIF amesema wananchotaka wananchi sio kununuliwa magari, au kupewa fedha bali ni maendeleo ya jumla ya jamii, kwa viongozi kusimamia majukumukumu waliyokabidhiwa. Akizungumzia upande wa serikali hususan katika ngazi ya halmashauri wamekuwa wakitoa changamoto kubwa ya wananchi kumtaka atekeleze wajibu wake na baala ya wao kuwa kikwazo cha maendeleo ya halmashauri. END.

Comments

Popular posts from this blog

MAFUNZO YA UREFA