Posts

Showing posts from June, 2016

VIDEO-WAJASIRIAMALI WAPATIWA ELIMU JUU YA UZALISHAJI WA BIDHAA SALAMA

https://youtu.be/JxHDvrJr82g

VIDEO -- SIKU YA MTOTO WA AFRIKA

https://youtu.be/oZIUYIIU-uY

VIDEO-MTAALAMU AEELEZEA UGONJWA WA MOYO

https://youtu.be/ZOvZGtNpv_Y

UCHANGIAJI DAMU MAASAI WAJITOKEZA

https://www.youtube.com/watch?v=Apk0TuO04LM

VIDEO-WAMAASAI WAJITOKEZA KUCHANGIA DAMU

Image
Ben Komba/Pwani-Tanzania/14/06/2016 12:01:15 Wananchi jamii ya wafugaji wa Kimasai wametakiwa kutokuwa waoga katika suala zima la kuchangia damu katika vituo vya damu salama ili kuwasaidia wengine wenye mahitaji. Hayo yamezungumzwa na Msimamizi wa Kituo cha damu salama katika hospitali teule ya rufaa ya mkoa Tumbi, BI.FELICIANA MMASI mara baada ya wananchi hao wa jamii ya ufugaji kutoa damu. BI. MMASI amebainisha suala la kuchangia damu kwa kabila la Wamasai lilikuwa ni changamoto kubwa na hivyo kuwalazimu kununua damu kutoka kwa watu wengine ili kupatiowa wagonjwa wao wanapopungukiwa na damu. BI.MMASI ameongeza kuwa mara nyingi watoto wa kimaasai wamekuwa wanakabiliwa na tatizo la upungufu wa damu kutoka na mila na desturi zao za kupendelea vyakula vya nyama na maziwa tu na kuziweka kando mboga za majani ambazo uzalisha damu kwa wingi. Mchangiaji DAMSSON POLATERI amesema kwa upande wake alikuwa anaogopa kutokana na dhana ambayo ameijenga kichwa kwake kuwa wan...

VIDEO-YANGA YAPONGEZWA KUFANYA UCHAGUZI WA AMANI

Image
Ben Komba/Pwani-Tanzania/14/06/2016 11:24:44 Mwenyekiti wa Tawi la Yanga Kibaha kwa mfipa,amepongeza  kufuatia kufanya uchaguzi wa amani ambao umewezesha klabu hiyo kupata viongozi ambao wataongoza katika kipindi hiki. Mwenyekiti huyo MRISHO HALFAN SWAGALA amesema hiyo ni hatua muhimu katika kuelekea mafanikio makubwa ambayo yanaweza kuwa ya aina yake toka kuanzishwa kwa klabu hiyo. BW. SWAGALA amempongeza Mwenyekiti YUSSUPH MANJI kwa hatua mbalimbali alizochukua katika kipindi kilichopita na kuweza kuipatia klabu hiyo mataji matatu na kujenga timu imara ambayo inaweza kutoa upinzani kwa timu kubwa Afrika. Aidha amewataka wanayanga Kujenga umoja klabuni hapo na kuachana na migogoro isiyo na lazima ambayo inadumaza soka na maendeleo yake klabuni. VOX-MRISHO HALFAN SWAGALA END

WAMAASAI WACHANGIA DAMU

Ben Komba/Pwani-Tanzania/14/06/2016 12:01:15 Wananchi jamii ya wafugaji wa Kimasai wametakiwa kutokuwa waoga katika suala zima la kuchangia damu katika vituo vya damu salama ili kuwasaidia wengine wenye mahitaji. Hayo yamezungumzwa na Msimamizi wa Kituo cha damu salama katika hospitali teule ya rufaa ya mkoa Tumbi, BI.FELICIANA MMASI mara baada ya wananchi hao wa jamii ya ufugaji kutoa damu. BI. MMASI amebainisha suala la kuchangia damu kwa kabila la Wamasai lilikuwa ni changamoto kubwa na hivyo kuwalazimu kununua damu kutoka kwa watu wengine ili kupatiowa wagonjwa wao wanapopungukiwa na damu. BI.MMASI ameongeza kuwa mara nyingi watoto wa kimaasai wamekuwa wanakabiliwa na tatizo la upungufu wa damu kutoka na mila na desturi zao za kupendelea vyakula vya nyama na maziwa tu na kuziweka kando mboga za majani ambazo uzalisha damu kwa wingi. Mchangiaji DAMSSON POLATERI amesema kwa upande wake alikuwa anaogopa kutokana na dhana ambayo ameijenga kichwa kwake kuwa wanawez...

YANGA YAPONGEZWA KUFANYA UCHAGUZI WA AMANI

Ben Komba/Pwani-Tanzania/14/06/2016 11:24:44 Mwenyekiti wa Tawi la Yanga Kibaha kwa mfipa mjini Kibaha, kufuatia kufanya uchaguzi wa amani ambao umewezesha klabu hiyo kupata viongozi ambao wataongoza katika kipindi hiki. Mwenyekiti huyo MRISHO HALFAN SWAGALA amesema hiyo ni hatua muhimu katika kuelekea mafanikio makubwa ambayo yanaweza kuwa ya aina yake toka kuanzishwa kwa klabu hiyo. BW. SWAGALA amempongeza Mwenyekiti YUSSUPH MANJI kwa hatua mbalimbali alizochukua katika kipindi kilichopita na kuweza kuipatia klabu hiyo mataji matatu na kujenga timu imara ambayo inaweza kutoa upinzani kwa timu kubwa Afrika. Aidha amewataka wanayanga Kujenga umoja klabuni hapo na kuachana na migogoro isiyo na lazima ambayo inadumaza soka na maendeleo yake klabuni. VOX-MRISHO HALFAN SWAGALA END

VIDEO-TASAF YANUSURU KAYA MASKINI KIBAHA

Image
Ben Komba/Pwani-Tanzania/10/06/2016 17:53:04 Mpango wa kusaidia kaya maskini wilayani Kibaha katika kipindi cha Mei-Juni mwaka huu inatarajia kutumia jumla ya Shilingi bilioni 2,768,492,346.42 kwa ajili ya kuwapatia walengwa ambao wengi wao ni watu wazima na kinamama. Mratibu wa TASAF wilayani Kibaha, BW.GOODSON HARRY amesema hayo alipotembelewa na ugeni kutoka TASAF makao makuu ukiongoozwa na meneja rasilimali watu, BI. TECHLA MAKUNDI ambaao ulitembelea kushuhudia kupatiwa fedha kwa walengwa katika kijiji cha Disunyara na Msongola ambapo zaidi ya watu 130 walifikiwa. Ambapo amesema serikali kupitia mfuko wa maendeleo ya jamii-TASAF- inatekeleza  mpango wa kunusuru kaya maskini lengo likiwa ni kukuza uchumi na kupunguza umaskini. BW.HARRY ameongeza kuwa kwa sasa TASAF inatekeleza programu ya miradi ya ajira ya muda  kwa kaya maskini katika kipindi cha kuanzia mwezi Januari 2015 hadi April 2015. Meneja rasilimali watu wa TASAF Taifa, BI.TECHLA MAKUNDI amew...

TASAF YANUSURU KAYA MASKINI KIBAHA

Ben Komba/Pwani-Tanzania/10/06/2016 17:53:04 Mpango wa kusaidia kaya maskini wilayani Kibaha katika kipindi cha Mei-Juni mwaka huu inatarajia kutumia jumla ya Shilingi bilioni 2,768,492,346.42 kwa ajili ya kuwapatia walengwa ambao wengi wao ni watu wazima na kinamama. Mratibu wa TASAF wilayani Kibaha, BW.GOODSON HARRY amesema hayo alipotembelewa na ugeni kutoka TASAF makao makuu ukiongoozwa na meneja rasilimali watu, BI. TECHLA MAKUNDI ambaao ulitembelea kushuhudia kupatiwa fedha kwa walengwa katika kijiji cha Disunyara na Msongola ambapo zaidi ya watu 130 walifikiwa. Ambapo amesema serikali kupitia mfuko wa maendeleo ya jamii-TASAF- inatekeleza  mpango wa kunusuru kaya maskini lengo likiwa ni kukuza uchumi na kupunguza umaskini. BW.HARRY ameongeza kuwa kwa sasa TASAF inatekeleza programu ya miradi ya ajira ya muda  kwa kaya maskini katika kipindi cha kuanzia mwezi Januari 2015 hadi April 2015. Meneja rasilimali watu wa TASAF Taifa, BI.TECHLA MAKUNDI amewat...

VIDEO-WAWEKEZAJI WA NDANI WAOMBA SERIKALI IWALINDE

Image
Ben Komba/Pwani-Tanzania/07/06/2016 10:40:32 Serikali imetakiwa kuboresha mpango wa matumizi bora ya ardhi ili kuepusha migogoro kati ya wakulima na wafugaji nchini. Akizungumza na mwandishi wa habari hizi, Mwekezaji wa Kimasai katika eneo la Lukenge halmashauri ya wilaya ya Kibaha, BW.TANONGO MAHENDELO amebainisha kuwa kutozingatiwa kwa mpango wa matumizi bora ya ardhi kumesababisha kuwepo kwa migogoro isiyo na lazima. BW,MAHENDELO amesema kuwa yeye anamiliki eneo la eka 5000 ambazo ndani yake anahifadhi aina za miti mbalimbali ambayo kwa hivi sasa ni adimu nchini kutokana na ukataji holela wa miti kwa matumizi mbalimbali. BW.MAHENDELO ameongeza lakini amekuwa akikabiliwa na changamoto za baadhi ya wananchi wasiozingatia sheria kuvamia katika eneo lake na kuchoma mkaa na anapoamua kuchukua hatua wanazusha mambo mbalimbali yak um chafua ikiwa pamoja na kudai kuwa anawatishia na bastola. BW. MAHENDELO ambaye ni mfugaji ameweza kusaidia upatikanaji wa maji salama,...

WALALAMIKA WATENDAJI KUWAIBIA

Image
Ben Komba-Pwani-Tanzania-06/06/2016 10:10:11 Halmashauri ya wilaya ya Bagamoyo imetakiwa kuwasiliana na Ofisi ya mtendaji wa Kata inapotokea Mtendaji wa Kijiji ameamua kuhama kituo cha kazi kwa sababu mbalimbali. Akizungumza katika kikao maalum cha Kijiji cha Kitonga kilichopo katika mji mdogo wa Chalinze, Afisa mtendaji wa Kata ya Vigwaza BW. MASKUZI MASKUZI ambapo amesema kuwa baadhi ya watendaji wanaohamishwa bila kuwasiliana naye wamekuwa wanaacha athari kubwa kwa vijiji walivyotoka. BW.MASKUZI ameongeza halmashauri kwa kutomshirikisha katika suala uhamisho wa watendaji wa vijiji inasababisha kuwepo kwa migogoro isiyo na lazima ambayo inazorotesha maendeleo ya vijiji kwa kuacha makovu ambayo jamii inakuwa vigumu kuyasahau. Mmoja wa wananchi KOMREDI NDALO amebainisha kuwa wananchi wanashindwa kuelewa kutokana na kuhama kiholela kwa watendaji wa kijiji ilihali wakiwa katika kipindi chao chote hawajawahi kusoma taarifa ya mapato na matumizi na ukiukaji wa taratib...

VIDEO-MKUU WA MKOA WA PWANI KUTOA NENO HITIMISHO LA SIKU YA MAZINGIRA

Image
Ben Komba/Pwani-Tanzania/04/06/2016 14:25:21 Mkuu wa mkoa wa Pwani MHANDISI EVARIST NDIKILO kesho anatarajiwa kuwa mgeni wa heshima katika siku ya hitimishi la wiki ya mazingira ambapo maadhimisho yake yanatarajiwa kufanyika katika halmashauri ya wilaya ya Kibaha kimkoa. Kwa mujibu wa Afisa mazingira halmashauri ya wilaya ya Kibaha, BI.ANNA MULEBA amesema kwa sasa wanaendelea na shughuli mbalimbali za usafi ikiwa kufanya usafi eneo la soko la Mlandizi. Usafi huo umefanywa kwa kushirikiana na wanafunzi wa Klabu ya mazingira ya shule ya sekondari DOSSA AZIZ kupitia kikundi chao kinachoitwa ROOTS AND SHOOTS ambao wamejitokeza kwa wingi katika kuhakikisha maadhimisho hayo yanafanikiwa. Bi.MULEBA amebainisha siku ya hitimisho wanatarajia kufanya usafi ikiwa pamoja na kuzibua mitaro ya maji machafu kuzunguka mji mdogo wa Mlandizi na maeneo ya jirani na kauli mbiu ya mwaka huuni ’TUHIFADHI VYANZO VYA MAJI KWA UHAI WA TAIFA LETU’. END

MKUU WA MKOA PWANI MGENI RASMI MAADHIMISHO YA MAZINGIRA

VIDEO-MAANDALIZI SIKU YA MAZINGIRA YAPAMBA MOTO

Image
Ben Komba/Pwani-Tanzania/01/06/2016 12:31:53 Halmashauri ya wilaya ya Kibaha inaadhimisha wiki ya mazingira kwa kufanya shughuli mbalimbali  zenye kulenga katika kuhakikisha kunakuwepo na mpango endelevu wa utunzaji wa mazingira. Afisa mazingira halmashauri ya wilaya ya Kibaha, BI. ANNA MULEBA amesema mwaka huu wamejipanga katika kuhamasisha jamii kuelewa kwa upana wake suala zima la mazingira ili kuwepo na utunzaji endelevu. BI. MULEBA amebainisha kuwa katika kipindi kizima kuelekea maadhimisho ya siku ya mazingira watashirikiana na klabu za wanafunzi za mazingira katika shule za sekondari za Ruvu wanawake, Dossa Aziz na Rfsanjani kupitia vikundi vyao vya ROOTS n SHOOTS. Na lengo kubwa ni kukifikia kizazi kipya na kukipatia elimu juu ya suala zima la uhifadhi endelevu wa mazingira na utunzaji wa uoto wa asili ili kuhakikisha kizazi kijacho kinakuta mazingira katika ubora wake. END.

WIKI YA MAZINGIRA YAADHIMISHWA KIBAHA