BAGAMOYO YAZIZIMA

Ben Komba/Pwani-Tanzania/09:17/11-03-2014
Hoi hoi na vifijo zilianikiza mji wa Bagamoyo wakati mjumbe wa halmashauri kuu ya Taifa ya CCM, BW. RIDHIWAN KIKWETE kuchukua rasmi fomu ya kugombea nafasi ya ubunge Jimbo la uchaguzi Chalinze kupitia tiketi ya chama hicho.

Akizungumza mara baada ya kupokea Fomu hiyo BW. RIDHIWAN KIKWETE ambayo imemthibitisha rasmi  kuwa yeye kuwa ndio mgombea wa nafasi hiyo kupitia Chama Cha Mapinduzi ambapo amesema lengo la kugombea nafasi hiyo ni kuliletea maendeleo Chalinze.

Amebainisha kuwa amegombea nafasi hiyo ili aendeleze yale ambayo marehemu SAID BWANAMDOGO aliazimia kufanya katika jimbo hilo, nay eye kwa upande wake atatekeleza yale yote yaliyoachwa na marehemu.

Zaidi shuhudia hali ilivyokuwa wakati akichukua rasmi fomu hiyo baada ya Jina lake kupitishwa na Kamati Kuu ya CCM……

END

Comments

Popular posts from this blog

MAFUNZO YA UREFA