ZIKO WAPI SIASA SAFI!!!?
Nasemaje
ifike wakati kazi ya siasa ipewe heshima yake,sio sehemu ambayo
magaidi,wahuni wanaweza kukimbilia,kwani kuna watu wenye akiba kubwa ya
fedha wanataka kuvuruga amani ya nchi kama ilivyojitokeza kwenye
uchaguzi wa TAMISEMI,wanasiasa wanachochea vijana kufanya vurugu,why? Au
kwa kuwa wewe tajiri utapanda ndege mbio Ulaya na kutuachia kizaazaa
hatutaki siasa hizo kama vp acheni siasa,vyombo vya dola msiwacheke watu
wa dizaini hii,kwani nanyi familia zenu zitateseka.
Comments
Post a Comment