HUJUMA,UBABE,UZEMBE VYATAWALA UCHAGUZI,TAMISEMI LAWAMANI.
Vitendo vya utekaji wagombea,kumwagiwa asidi ni vitendo vilivyojitokeza ktk uchaguzi huu,
Ambapo baadhi ya maeneo kama wilayani Mafia vituo vingine vilikuwa havina peni kwa ajili ya kuendesha zoezi hilo.
Wilayani mkuranga uchaguzi haukufanyika kutokana na vituo kutofunguliwa.
BAGAMOYO vurugu zimezuka ktk kata ya vigwaza baada ya mgombea wa ccm kubwagwa.
Napo mjini kibaha mtaa wa viziwaziwa wagombea wawili wa chadema wametekwa nyara usiku wa kuamkia uchaguzi.
Kwa ujumla tamisemi hawana budi kubeba lawama kwa kuharibu zoezi kutokana na uzembe na kufanya kazi kwa mazoea.

Comments
Post a Comment