Bernard Komba
VURUGU ZA ZANZIBAR.
Nachukizwa na baadhi ya wanasiasa na wapemba sijui waunguja kujifanya vurugu zilizotokea ni kwa minajili ya kisiasa, watu waina hiyo ndio wanaovundika mgogoro unaokuzwa na baadhi ya wanasiasa maarufu kutaka kututumbukiza katika vurugu za kidini.
Watu wanaofanya vitendo hivyo wanafahaimika kwani wameanzxisha redio na magazeti kana kwamba wapo vitani wakiendesha propaganda za c...huki, lakini serikali imekuwa ikikaa kimya bila kuchukua hatua yoyote ikitegemea upole wa upande mwingine unaonyanyasika.
Kwa kweli kwa mtaji ule ulioonyeshwa Visiwani na unaotaka kuonyeshwa tarehe 26, hakuna sababu yyoyote ya msingi ya kuendelea na muungano huu na tuache utabiri wa Mwalimu Nyerere utimie kwani hakuna utabiri usiotoa matokeo na alibainisha chokochoko kubwa itakuwa ni udini kutokana na serikali ya awamu ile kuiingiza Tanzania katika OIC.
Hakuna kitu kitakachoweza kuzuia kuvunjika kwa muungano, vinginevyo ni matatizo kwa Tanganyika ambao wanalinganishwa na Watwana na wale watumwa wa Visiwani ambao kwa nguvu zote wamnalilia haki yao ya kuwa watumwa tena kwani hawakuwahi kushuhudia madhila yake. na kwa kuanzia nawaomba watani wangu wanyakyusaa Watanganyika wa ukwelio kuanza utaratibu wa kuwafukuza utamaduni wao wa kibaguzi.
UKWELI NI KWAMBA NI CHUKI ZA KIDINI.
Tuwaruhusu waende chondechonde kwwawani ni najisi kwa amani ya Taganyika.
MAFUNZO YA UREFA
Ben Komba/Pwani-Tanzania/23-07-2013/10:03 Chama cha marefa wilayani Kibaha kinaendesha program maalum ya mafunzo kwa marefa wapya wenye kutaka kujiendeleza kuwa waamuzi katika ngazi mbalimbali za ligi za mchezo huo. Katibu wa Chama cha marefa wilayani Kibaha ambaye pia ndio refa bora wa ligi ya VODACOM msimu uliopita BW.SIMON MBELWA amesema lengo la mafunzo hayo ni kuwezesha kuzalisha marefa wapya. BW.MBELWA amefafanua kuwa katika mambo ambayo yatazingatiwa katika mafunzo hayo ni ufundishaji wa sheria 17 za soka ambazo kila mwamuzi anapaswa kuzifahamu kwa ufasaha ili kuepusha malalamiko na wakati mwingine hata vurugu katika mchezo huo. Naye mmoja wa washiriki wa mafunzo hayo, BW. GEORGE amesema kwa kupatiwa mafunzo hayo kutawasaidia kufanya maamuzi yaliyo sahihi wakati wakichezesha mechi za michuano mbalimbali. END.
Comments
Post a Comment