Posts

Showing posts from July, 2016

WALIMU WAHIMIZWA KUCHAPA KAZI KWA BIDII NEEMA YAJA

Ben Komba/Pwani-Tanzania/29/07/2016 17:53:55 Mkuu wa wilaya ya Kibaha amewataka Walimu wakuu wa shule za Msingi wilaya ya Kibaha kufanya kazi kwa uadilifu katika kuhakikisha kiwango cha elimu kinapanda wilaya hapa. Mkuu wa wilaya Kibaha BIBI. ASSUMPTER MSHAMA ameyazungumza hayo alipokutana na Walimu wakuu kutoka shule za Msingi wilayani Kibaha pamoja na mambo mengine kuzungumzia maendeleo ya elimu. BIBI. MSHAMA ameelezea kusikitishwa kwake na kuporomoka kwa kiwango kutoka nafasi ya nne kitaifa hadi kufikia nafasi ya tisa kurudi chini na kuwataka wamueleze wamekwama wapi ili aweze kuwakwamua na kuwawezesha kufanya kazi zao kwa ufanisi. Hivyo amewasisitiza walimu wakuu kuchukua hatua kwa walimu wote wanaokwenda na kinyume na utaratibu wa kazi ili kuinua kiwango cha maendeleo ya elimu ili ikiwezekana turudie nafasi ya nne au ya kwanza kabisa. Mwalimu UHAI KAMBI LEGEZA amemuomba Mkuu wa wilaya Kibaha kuhakikisha uimarishaji wa miundombinu ya elimu iende sambamba na ujen...

VIDEO-MKUU WA WILAYA KIBAHA AHIMIZA WAFANYABIASHARA KULIPA USHURU

WAFANYABASHARA WATAKIWA KULIPA USHURU https://youtu.be/JwhVZa2knaY

VIDEO-WANAWAKE WANATAKIWA KUJIAMINI SEHEMU YA KAZI

https://youtu.be/fnL4U02u2xA

VIDEO-ACT WAZALENDO WAMPONGEZA DC KIBAHA KUHUSU BOMOABOMOA

https://youtu.be/G9903BAp2V4

VIDEO-MWAROBAINI WA SOKO WAPATIKANA KIBAHA

Image
 Ben Komba/Pwani-Tanzania/21/07/2016 12:39:22 Mkuu mpya wa wilaya ya Kibaha, BI.ASSUMPTA MSHAMA amepata mwarobaini wa tatizo la soko mjini Kibaha kwa kufanya ziara eneo linalotarajiwa kujengwa soko akiambatana na wafanyabiashara na watendaji wa halmashauri ya mji wa Kibaha. Mkuu wa wilaya MSHAMA amesema kuwa halmashauri ina wajibu wa kuonyesha eneo la soko ili wafanyabiashara wenye uwezo  wa kujenga wafanye hivyo na kuondoa sintofahamu iliyopo kufuatia soko la zamani kuwa karibu na barabara na hivyo kuhitajika kubomolewa kupisha upanuzi wa barabara ya Morogoro. BI.MSHAMA kwa kufanya hivyo amefanikiwa kwa kiasi Fulani kutatua mgogoro uliokuwepo kati ya halmashauri na wafanyabiashara ambao walikuwa wanahitaji kufahamu iwapo soko hilo lingevunjwa hatma yao itakuwaje. Aidha Mkuu wa wilaya ya Kibaha MSHAMA amesikitishwa na kitendo cha halmashauri ya mji kuvunja nyumba za wananchi kwa notisi ya siku saba na bila kuzingatia iwapo nyumba hizo zipo kwa takriban miak...

MWAROBAINI WAPATIKA ENEO LA SOKO KIBAHA

 Ben Komba/Pwani-Tanzania/21/07/2016 12:39:22 Mkuu mpya wa wilaya ya Kibaha, BI.ASSUMPTA MSHAMA amepata mwarobaini wa tatizo la soko mjini Kibaha kwa kufanya ziara eneo linalotarajiwa kujengwa soko akiambatana na wafanyabiashara na watendaji wa halmashauri ya mji wa Kibaha. Mkuu wa wilaya MSHAMA amesema kuwa halmashauri ina wajibu wa kuonyesha eneo la soko ili wafanyabiashara wenye uwezo  wa kujenga wafanye hivyo na kuondoa sintofahamu iliyopo kufuatia soko la zamani kuwa karibu na barabara na hivyo kuhitajika kubomolewa kupisha upanuzi wa barabara ya Morogoro. BI.MSHAMA kwa kufanya hivyo amefanikiwa kwa kiasi Fulani kutatua mgogoro uliokuwepo kati ya halmashauri na wafanyabiashara ambao walikuwa wanahitaji kufahamu iwapo soko hilo lingevunjwa hatma yao itakuwaje. Aidha Mkuu wa wilaya ya Kibaha MSHAMA amesikitishwa na kitendo cha halmashauri ya mji kuvunja nyumba za wananchi kwa notisi ya siku saba na bila kuzingatia iwapo nyumba hizo zipo kwa takriban miaka ...

BERNARD KOMBA

Image
https://www.youtube.com/playlist?list=PLd760xdUHoDeXkOm2Z5XMZrUi6MXWSWfw

VIDEO-WATANZANIA WATAKIWA KUCHANGAMKIA HATI MILIKI YA MAENEO YAO- WAZIRI MKUU MAJALIWA

WAZIRI MKUU MAJALIWA AWAHIMIZA WANANCHI KUCHANGAMKI HATI MILIKI YA MAENEO YAO https://youtu.be/DisTZG8hTxg

VIDEO-TALGWU PWANI WACHAGUANA

https://youtu.be/cSoH68TPSK8

TALGWU WACHAGUANA

Ben Komba/Pwani-Tanzania/08/07/2016 10:05:19 Chama cha wafanyakazi wa serikali za mitaa katika Mkoa wa Pwani wamechaguana kupata uongozi utakaouongoza katika kipindi kijacho. Akitangaza matokeo ya uchaguzi huo,Kaimu  Mwenyekiti wa Taifa wa TALGWU, BW. SELEMANI KIKINGO amewataka wanachama hao kuongeza mshikamano katika utekelezaji wa majukumu yao ya kila siku. BW. KIKINGO ameongeza kuwa kwa kufanya hivyo kutawezesha chama chao kupata mafanikio wanayotarajia katika kusimamia maslahi na haki za wafanyakazi wa serikali za mitaa. Mbali ya viongozi wengi kuchaguliwa kutoka makundi mbalimbali, Chama hicho kimefanikiwa kupata Mwenyekiti mpya wa Mkoa, BW.OBADIA MWAKASITU na BW. KULWA MASAMBU  akichaguliwa kuwa mjumbe kamati ya utendaji Taifa na BW. MASAU MASAU akichaguliwa kuwa mjumbe baraza kuu TALGWU Taifa. Akiuzungumza mara baada ya kuchaguliwa, Mwenyekiti mpya wa TALGWU Mkoa wa Pwani amewashukuru wanachama wote kwa kumchagua na kuwataka kuvunja kambi ili was...

MIFUGO TATIZO KITONGA

Ben Komba/Pwani-Tanzania/08/07/2016 08:57:26 Hali ya sintofahamu imeibuka katika kijiji cha Kitonga kata ya  Vigwaza wilaya mpya ya Chalinze kufuatia wafugaji kuingiza ng’ombe mashambani mwa wakulima na kuharibu mazao yao. Mwenyekiti wa kijiji cha Kitonga BW. LAMBERT MSAWANGA amesema kuwa hali ni mbaya kijijini hapo kiasi cha kutishia amani na usalama kutokana na wafugaji kuingiza mara kwa mara mifugo yao katika mashamba ya wakulima. BW. MSAWANGA ameongeza kuwa mara zote anapojaribu kutatua suala hilo imekuwa nggumu kutokana na dharau na ubabe unaoonyeshwa na baadhi ya wafugaji na hivyo jamii kuishi na wasiwasi. Naye mwananchi BW.SEIF ABDALLA  MPEMBENWEambaye shamba lake lilivamiwa na ng’o mbe wapatao 30 na kuharibu eka moja na nusu za mpunga na hivyo kurudisha nyuma jitihada zake za kuweka akiba ya chakula iwapo angefanikiwa kuvuna. BW.MPEMBENWE amebainisha mara zote wafugaji wanapoingiza ng’ombe mashambani unapowakuta wanatoa vitisho na iwapo ukimshataki ...

MADKTARI WAPATIWA MAFUNZO KIBAHA

https://youtu.be/5vuGISrXnJE

VIDEO-MATIBABU BURE KINYWA NA MACHO KIBAHA

WAPATIWA MATIBABU KINYWA NA MACHO BURE NA WATAALAM KUTOKA MAREKANI KIBAHA  https://plus.google.com/107747444353490815636/posts/2ygKCeJYr9C

VIDEO-WAKUU WA WILAYA WAPYA PWANI WAHIMIZWA KUZINGATIA USALAMA MAENEO YAO

https://youtu.be/Q_RsAbe1mZE

KAMPUNI YAWEKEZA KWENYE BURUDANI KIBAHA

https://youtu.be/w21YJUHscEg