Posts

YAMOTO BENDI KUWASHA MOTO MLANDIZI MEI MOSI.

Ben Komba/Pwani-Tanzania/4/29/2015 7:59:06 PM BENDI ya Yamoto inatarajiwa kutoa burudani kwenye mkesha wa siku ya wafanyakazi Duniani Mei Mosi Aprili 30 mwaka huu kwenye ukumbi wa Container Bar Mlandizi wilayani Kibaha mkoani Pwani. Kwa mujibu wa mkurugenzi wa baa hiyo Frank Mwalembwe alisema kuwa bendi hiyo katika kupamba burudani hiyo itasindikizwa na msanii wa kizazi Kipya Tunda Man ili kuwapa burudani wakazi wa wilaya hiyo na maeneo jirani. Mwalembwe amesema kuwa lengo la kutoa burudani hiyo ni kuwaandaa wafanyakazi katika sherehe yao ambayo inafanyika kila mwaka ambapo kimkoa itafanyika wilayani Mafia. Amesema BW. MWALEMBE Burudani hiyo itakuwa ni nzuri kwa wakazi hao ambapo pia tutaishirikisha bendi ya JKT Ruvu kwa lengo la kutoa burudani hiyo ambayo itakuwa ya aina yake kwa wakazi wa Mji wa Mlandizi na vitongoji vyake na vile vya jirani. Amesema kuwa mbali ya wasanii hao pia kutakuwa na waimbaji chipukizi wa mkoa wa Pwani nao watapata fursa ya kuonyesha um...

YAMOTO BENDI KUWASHA MOTO MLANDIZI MEI MOSI.

Ben Komba/Pwani-Tanzania/4/29/2015 7:59:06 PM BENDI ya Yamoto inatarajiwa kutoa burudani kwenye mkesha wa siku ya wafanyakazi Duniani Mei Mosi Aprili 30 mwaka huu kwenye ukumbi wa Container Bar Mlandizi wilayani Kibaha mkoani Pwani. Kwa mujibu wa mkurugenzi wa baa hiyo Frank Mwalembwe alisema kuwa bendi hiyo katika kupamba burudani hiyo itasindikizwa na msanii wa kizazi Kipya Tunda Man ili kuwapa burudani wakazi wa wilaya hiyo na maeneo jirani. Mwalembwe amesema kuwa lengo la kutoa burudani hiyo ni kuwaandaa wafanyakazi katika sherehe yao ambayo inafanyika kila mwaka ambapo kimkoa itafanyika wilayani Mafia. Amesema BW. MWALEMBE Burudani hiyo itakuwa ni nzuri kwa wakazi hao ambapo pia tutaishirikisha bendi ya JKT Ruvu kwa lengo la kutoa burudani hiyo ambayo itakuwa ya aina yake kwa wakazi wa Mji wa Mlandizi na vitongoji vyake na vile vya jirani. Amesema kuwa mbali ya wasanii hao pia kutakuwa na waimbaji chipukizi wa mkoa wa Pwani nao watapata fursa ya kuonyesha um...

VIDEO-MEI MOSI PWANI MAMBO MSWANO

Image
Ben Komba/Pwani-Tanzania/4/28/2015 9:13:45 PM Kamati ya maandalizi ya sikukuu ya MEI MOSI katika mkoa wa Pwani imendelea kuhakikisha shere hizo zinafana mkoani hapa ambapo kimkoa zinafanyika wilayani Mafia. Mwenyekiti wa TUCTA mkoa wa Pwani, BW.PAUL MSILU amesema mpaka sasa wenzao walio katika wilaya mwenyeji wameletea mchango na waao wanaendelea kuchangia ili kuweza kufanikisha sherehe hizo zinazotoa fursa kwa wafanyakazi bora kupatiwa tuzo katika suala zima la kujenga ari ya uwajibikaji. BW. MSILU amebainisha kuwa katika maandalizi ya sherehe hiyo wamekuwa wakikabiliwa na changamoto wa ufinyu wa michango, lakini hata hivyo jitihada zinaendelea katika kuhakikisha sherehe hizo zinafanikiwa. Naye mjumbe wa kamati ya maandalizi Kaimu Katibu wa  CHODAWU, BW.AMIN MSHANGA amesema kwa upande wao wamejiandaa vizuri na kitu wanachoomba waajiri kuchukua hatua ya kuwasafirisha wafanyakazi katika kuwawezesha kuhudhuria sherehe hizo. BW. MSHANGA ameongeza kuwa katika wi...

MAANDALIZI YA MEI MOSI PWANI YANAENDELEA VIZURI.

Ben Komba/Pwani-Tanzania/4/28/2015 9:13:45 PM Kamati ya maandalizi ya sikukuu ya MEI MOSI katika mkoa wa Pwani imendelea kuhakikisha shere hizo zinafana mkoani hapa ambapo kimkoa zinafanyika wilayani Mafia. Mwenyekiti wa TUCTA mkoa wa Pwani, BW.PAUL MSILU amesema mpaka sasa wenzao walio katika wilaya mwenyeji wameletea mchango na waao wanaendelea kuchangia ili kuweza kufanikisha sherehe hizo zinazotoa fursa kwa wafanyakazi bora kupatiwa tuzo katika suala zima la kujenga ari ya uwajibikaji. BW. MSILU amebainisha kuwa katika maandalizi ya sherehe hiyo wamekuwa wakikabiliwa na changamoto wa ufinyu wa michango, lakini hata hivyo jitihada zinaendelea katika kuhakikisha sherehe hizo zinafanikiwa. Naye mjumbe wa kamati ya maandalizi Kaimu Katibu wa  CHODAWU, BW.AMIN MSHANGA amesema kwa upande wao wamejiandaa vizuri na kitu wanachoomba waajiri kuchukua hatua ya kuwasafirisha wafanyakazi katika kuwawezesha kuhudhuria sherehe hizo. BW. MSHANGA ameongeza kuwa katika wila...

VIDEO-MCHANGE ANYEMELEA KIBAHA MJINI.

Image
Ben Komba/Pwani-Tanzania/4/26/2015 8:44:42 PM Mjumbe wa kamati kuu ya Chama cha ACT-ALLIANCE FOR CHANGE AND TRANSPARENCY, BW. HABIB MCHANGE  amewataka Watanzania kukiunga mkono Chama hicho Kichanga ili kuweza kuwatoa katika lindi la umaskini unaowakabili. Mjumbe huyo wa Kamati kuu ya ACT, BW.MCHANGE amesema kuwa chama hicho ni  chama chenye lengo la kuwakomboa wananchi wa kawaida ikiwza pamoja na kuwapatia fursa  watu wa kawaida kuweza kuwa viongozi. BW.MCHANGE amefafanua kwamba muundo wa Chama hicho umelenga kutoa nafasi kwa watoto wa makabwela kwa kupanga safu ya sura mpya kabisa katika masuala tofauti na ilivyozoeleka katika vyama vingine vya siasa kwa viongozi kurithisha madaraka bila kujali uwezo wa mrithi. Naye katibu wa ACT, BW.MRISHO SWAGALA amefafanua kuwa Chama hicho kichanga kina nia ya kweli ya kumkomboa Mtanzania na kwa kuanzia amewataka kinamama kujiunga katika vikundi ili waweze kukopeshwa na kuzisaidia familia zao na sera yao kubwa ni...

MASHINDANO YA KOMBE LA KOKA YAANZA.

Ben Komba/Pwani-Tanzania/4/26/2015 10:13:32 PM Mashindano ya kombe la KOKA CUP yamezinduliwa rasmi na Mbunge wa Jimbo la Kibaha mjini, SILVESTRY KOKA katika viwanja vya Shirika la Elimu Kibaha kwa kuwaasa vijana kushiriki katika michezo ili kuwa wakakamavu. KOKA amesema kuwa suala la vijan kushiriki michezo ni suala la msingi na hivyo amewataka vijana hao kutmia mashindano hayo ya mpira wa miguu kuendeleza vipaji vyao na hasa ikizingatiwa michezo ni burudani na ajira. Aidha ameongeza kuwa mashindano hayo ni jitihada ya kuenzi michezo ili kuwa na wachezaji mahiri ambao watakwenda kuunda timu ya Jimbo ambayo itapatikana kwa kuchagua wachezaji wenye uwezo wa kusakata kabumbu ili kujenga timu bora ambayo itakuwa mfano. END.

ACT-YAANZA VIKAO VYA MKAKATI PWANI.

Ben Komba/Pwani-Tanzania/4/26/2015 8:44:42 PM Mjumbe wa kamati kuu ya Chama cha ACT-ALLIANCE FOR CHANGE AND TRANSPARENCY, BW. HABIB MCHANGE  amewataka Watanzania kukiunga mkono Chama hicho Kichanga ili kuweza kuwatoa katika lindi la umaskini unaowakabili. Mjumbe huyo wa Kamati kuu ya ACT, BW.MCHANGE amesema kuwa chama hicho ni  chama chenye lengo la kuwakomboa wananchi wa kawaida ikiwza pamoja na kuwapatia fursa  watu wa kawaida kuweza kuwa viongozi. BW.MCHANGE amefafanua kwamba muundo wa Chama hicho umelenga kutoa nafasi kwa watoto wa makabwela kwa kupanga safu ya sura mpya kabisa katika masuala tofauti na ilivyozoeleka katika vyama vingine vya siasa kwa viongozi kurithisha madaraka bila kujali uwezo wa mrithi. Naye katibu wa ACT, BW.MRISHO SWAGALA amefafanua kuwa Chama hicho kichanga kina nia ya kweli ya kumkomboa Mtanzania na kwa kuanzia amewataka kinamama kujiunga katika vikundi ili waweze kukopeshwa na kuzisaidia familia zao na sera yao kubwa ni siasa...