Mwandishi mbaroni akifuatilia habari ya BAWACHA
#BreakingNews: Jeshi la Polisi wilaya ya Kipolisi Kawe @tanpol limemkamata mwanahabari wetu wa @MgaweTv ndugu Harlod Shemsanga aliyekuwa katika majukumu yake ya kazi, pamoja na wanachama wa BAWACHA wakidaiwa kufanya mazoezi ya viungo (jogging) bila kibali.
#MgaweTvNews https://t.co/Qt4x3Ydylj
Comments
Post a Comment