Posts

Showing posts from December, 2015

NAIBU WAZIRI AFYA ATAKIWA ASITISHWE NA LUGHA,DOCTOR NDIO MGANGA

Ben Komba/Pwani-Tanzania/12/28/2015 2:41:35 PM Serikali imetakiwa kuliangalia suala la tiba mbadala kwa umakini ili kuepusha upotoshaji unaofanywa na baadhi ya watu kuhusiana na tiba za asili na tiba mbadala katika kutibia magonjwa mbalimbali ambayo yamekuwa korofi kwa jamii. Nimeongea na Mganga wa Tiba mbadala, DKT.BAHATI MAYALA ambaye ameeleza kusikitishwa kwake kwa hatua ya Waziri anayehusiana na afya, DKT.HAMIS KINGWANGWALA kuzuia waganga wa tiba mbadala kuacha kutumia neno DOCTOR ambalo ni lugha ya kigeni ambayo nayo inaamanisha mganga. DKT.MAYALA amesema tendo linalofanywa na mganga wa hospitali la kusaidia watu kwa kuwaponya na magonjwa mbalimbali, ndivyo vivyo ambavyo mganga wa tiba mbadala anafanya katika kuhakikisha jamii haisumbuliwi na magonjwa ambayo yanaweza kutibika. DKT.MAYALA ameishauri serikali kufanya ufuatiliaji kwa waganga wa tiba mbadala ambao wamekuwa wakijinadi kuwa na tiba za magonjwa mbalimbali ambayo yameshindikana hospitalini ili kujua mada...

VIDEO-MISITU KUTUMIKA KUINGIZA FEDHA ZA KIGENI

Image
Ben Komba/Pwani-Tanzania/12/15/2015 1:15:09 PM Shirika lisilo la kiserikali la usimamizi wa misitu ya asili ya Tanzania imeanzisha mikakati mipya ya kuhakikisha misitu iliyopo ukanda wa Ruvu Kusini inatumika kama kivutio cha watalii ili kuwezesha jamii inayozunguka misitu hiyo kujua faida nyingine ya kutunza mazingira. Akizungumza katika tukio la kimataifa la kitalii la kuendesha baiskeli ndani hifadhi ya msitu Ruvu Kusini katika eneo la Kipangege Kisarawe, Mratibu wa tukio hilo BW.YAHAYA MTONDA amesema kwa hatua hiyo wanajaribu kuwajengea dhana wananchi ya faida zaidi ya misitu ya mbali ya mkaa na kuni. BW.MTONDA ameongeza kwa kufanya hivyo itawezesha wanachi kuilinda misitu hiyo kwa kujitoa na hivyo kuboresha suala zima la uboreshaji wa mazingira, na hivyo kupunguza athari inayoletwa na hewa ya ukaa. Naye mmoja wa washiriki wa mbio hizo za kimataifa za baiskeli ambazo zimefanyika ndani ya hifadhi msitu wa Ruvu Kusini,ambaye pia ni mshauri wa ufundi wa {TFCG} B...

MISITU KUTUMIKA KWA UTALII

Ben Komba/Pwani-Tanzania/12/15/2015 1:15:09 PM Shirika lisilo la kiserikali la usimamizi wa misitu ya asili ya Tanzania imeanzisha mikakati mipya ya kuhakikisha misitu iliyopo ukanda wa Ruvu Kusini inatumika kama kivutio cha watalii ili kuwezesha jamii inayozunguka misitu hiyo kujua faida nyingine ya kutunza mazingira. Akizungumza katika tukio la kimataifa la kitalii la kuendesha baiskeli ndani hifadhi ya msitu Ruvu Kusini katika eneo la Kipangege Kisarawe, Mratibu wa tukio hilo BW.YAHAYA MTONDA amesema kwa hatua hiyo wanajaribu kuwajengea dhana wananchi ya faida zaidi ya misitu ya mbali ya mkaa na kuni. BW.MTONDA ameongeza kwa kufanya hivyo itawezesha wanachi kuilinda misitu hiyo kwa kujitoa na hivyo kuboresha suala zima la uboreshaji wa mazingira, na hivyo kupunguza athari inayoletwa na hewa ya ukaa. Naye mmoja wa washiriki wa mbio hizo za kimataifa za baiskeli ambazo zimefanyika ndani ya hifadhi msitu wa Ruvu Kusini,ambaye pia ni mshauri wa ufundi wa {TFCG} BW....

VIDEO=DKT MAGUFULI AOMBWA KUTANUA WIGO WA ELIMU YA BURE.

Image
Ben Komba/Pwani-Tanzania12/10/2015 8:57:17 AM Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania DK.JOHN POMBE MAGUFULI ameombwa kutanua wigo wa utoaji elimu bure kuanzia ngazi ya awali mpaka Chuo kikuu ili kutoa fursa ya kupatikana kwa maendeleo kwa haraka. Mkurugenzi mtendaji wa shule ya awali ya  ANNE MONTESSORI PRE-PRIMARY SCHOOL, BI. ANNE MASAKA MAYOMBI ameyazungumza hayo wakati wa mahafali ya nne ya shule hiyo, ambapo amebainisha kuwa kwa kufanya hivyo kutasaidia kukuza kiwango cha elimu nchini. BI.MAYOMBI ameongeza kuwa yeye kwa upande wake amefurahishwa na hatua ya kutangazwa kwa utoaji wa elimu bure, ingawa amependekeza kuwa utoaji wa elimu kuambatane na kuboresha maslahi ya Walimu. Amehimiza iwapo kama serikali itatoa ruzuku kwa shule za awali na kuwalipa Walimu ambao wameamua kujiajiri baada ya kupata mafunzo ya Ualimu na kukosa ajira, suala hilo litapata mafanikio makubwa. Mgeni rasmi katika hafla hiyo, Mchoraji maarufu wa katuni nchini, BW.MASOUD KIPANYA aki...

DK.MAGUFULI AOMBWA KUTANUA WIGO UTOAJI ELIMU BURE.

Ben Komba/Pwani-Tanzania/12/7/2015 10:54:19 AM Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania DK.JOHN POMBE MAGUFULI ameombwa kutanua wigo wa utoaji elimu bure kuanzia ngazi ya awali mpaka Chuo kikuu ili kutoa fursa ya kupatikana kwa maendeleo kwa haraka. Mkurugenzi mtendaji wa shule ya awali ya MONTESSORI PRE-PRIMARY SCHOOL, BI. ANNE MASAKA MAYOMBI ameyazungumza hayo wakati wa mahafali ya nne ya shule hiyo, ambapo amebainisha kuwa kwa kufanya hivyo kutasaidia kukuza kiwango cha elimu nchini. BI.MAYOMBI ameongeza kuwa yeye kwa upande wake amefurahishwa na hatua ya kutangazwa kwa utoaji wa elimu bure, ingawa amependekeza kuwa utoaji wa elimu kuambatane na kuboresha maslahi ya Walimu. Amehimiza iwapo kama serikali itatoa ruzuku kwa shule za awali na kuwalipa Walimu ambao wameamua kujiajiri baada ya kupata mafunzo ya Ualimu na kukosa ajira, suala hilo litapata mafanikio makubwa. Mgeni rasmi katika hafla hiyo, Mchoraji maarufu wa katuni nchini, BW.MASOUD KIPANYA akizungumza am...