Posts

Showing posts from August, 2012

SENSA-KIBAHA

SENSA YAENDELEA VIZURI KIBAHA Ben Komba/Pwani-Tanzania/28-08-2012 MKUU wa Wilaya ya Kibaha mkoani Pwani Halima Kihemba amesema kuwa zoezi la sense linaendelea vizuri pamoja na kuwepo kwa changamoto kadhaa. Akizingumza na waandioshi wa habari ofisini kwake, amebainisha kuwa wananchi wameitikia vizuri hilo na kwamba wengi wamekubali kujiandikisha tofauti na ilivyofikiliwa hapo awali. Amesema kwamba kulikuwa na familia 25 korofi ambazo baada ya kupata taarifa zake viongozi walizifikia na kuzipatia elimu juu ya umuhimu wa sense na watu na makazi. “Kati ya hao kaya 12 zilikubali kuhesabiwa na zilizobaki zinaendelea kupatiwa elimu ili kuzishawishi kushiriki zoezi hilo linaloendelea kwa siku saba,” alisema Kihemba. Katika hatua nyingine Jeshi la Polisi wilayani Kibaha mkoani hapa limetupiwa lawama kwa kutowakamata wachochezi wanaolipinga zoezi la sensa ili hali wakiwafahamu wanaosambaza nyaraka za uchochezi. Taarifa kuhusu wachochezo hao zimeshafika kwenye ofisi ya Mkuu wa Jeshi la Pol...

SENSA TUHESABIWE.....

Image

SENSA YAANZA PWANI NA ONYO KWA WAKOROFI.

Image
BenKomba/Pwani-Tanzania/Sunday, August 26, 2012/19:38:46 Zoezi la sensa ya watu na makazi limeanza rasmi Katika mkoa wa Pwani na kuwepo na vipingamizi vidogo vidogo vilivyojitokeza na na kushughulikiwa na viongozi katika kuhakikisha zoezi hilo linafanikiwa kwa manufaa ya Taifa. Leo ii mwandishi wa habari hizi ameshuhudia Mkuu wa mkoa wa Pwani BIBI. MWANTUMU MAHIZA akihesabiwa kama ilivyo ada inapofikia siku hii muhimu kitaifa, Ambapo baada ya kuhesabiwa amesema kuwa anajisikia fahari kuhesabiwa kwani anatambua kwamba yeye kuwa ni mtanzania halisi na wala sio suala la kuchosha na haijateteresha imani yake ya dini. Na amewataka wananchi kujitokeza kuhesabiwa bila kujali kampeni zinazoendeshwa na watu wasio itakia mema Tanzania kwa kivuli cha udini, Ingawa mpaka sasa hakuna vikwazo vyovyote ambavyo vimejitokeza, toka ulinzi wa kutosha uliwekwa katika maeneo yote ambayo yalikuwa na utata. Katika hatua nyingine Mkuu wa Mkoa wa Pwani BIBI. MAHIZA amewataka makarani wa sensa kuwa...

WATAKAOCHEZA NA SENSA KUFUNGWA.

Ben Komba/Pwani-Tanzania/24-Aug-12/05:05:14 PM Mkuu wa Mkoa wa Pwani, BI. MWANTUMU MAHIZA amesema wakati wa kubembelezana na kutoa elimu juu ya umuhimu mzima wa sensa ya watu na makazi umekwisha na kwa kubainisha kuwa suala hilo ni PRESIDENTIAL ORDER na yoyote atakaye vuruga zoezi hilo kwa sababu zozote atachukuliwa hatua stahili. Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake maalum kwa jili ya sensa, BI. MAHIZA amesema utekelezaji mzuri wa zoezi hilo na kuweza kupata takwimu sahihi kutaiwezesha serikali kupanga mipango yake kwa ufanisi na kupunguiza kero kwa wananchi toka nchi imekuwa inakabiliana na mabadiliko mbalimbali ya kiuchumi, kijamii na kisiasa. Hivyo kwa mtu yoyote ambaye ana mpango wa kutaka kupotosha maana nzima ya Amri Jeshi Mkuu wa serikali kuhusina na zoezi hilo atakabiliwa na mkono wa sheria, na akasisistiza suala hilo siyo hiyari ni lazima kwa mtu yoyote ambaye atakuwa mtanzania, ambapo kwa Kibaha zoezi hilo litaenda sambmba na zoezi la utoaji wa vitambul...

CHEZEA SENSA!!!?

Ben Komba/Pwani-Tanzania/2012-08-23/17:04:17 Kupingana na zoezi la sensa ni kupingana na amri halali ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania DKT. JAKAYA KIKWETE toka yeye kutokana na mamlaka aliyopewa, kabla ya kuanza zoezi hilo anatakiwa kutoa Amri kama Rais ya kutangaza kufanyika kwake, muda, mahali na wahusika katika sensa. Hayo yamesemekana katika kikao kati ya madiwani na kamati ya uratibu wa sensa wilayani Kibaha, ambapo Mwanasheria wa halmashauri ya wilaya ya Kibaha, BI. SALAMA MANGARA amewaambia madiwani kuwa sheria hii inatamka kufuatana na sheria Namba 1 ya Mwaka 2002 kwa ajili ya zoezi la sensa ya watu na makazi kifungu cha 14. BI. MANGARA ameongeza kuwa makosa ambayo mtu anaweza kujikuta yupo hatiani iwao atayafanya ni pamoja na kumzuia AUTHORIZED OFFICER (Msimamizi, Mdadisi, Karani wa sensa kutekeleza majukumu yake, kukataa au kuacha kwa makusudi kujaza fomu au nyaraka yoyote iliyokabidhiwa kwake kwa lengo maalum, kukataa kujibu maswali aliyoulizwa, kutoa taarif...

MANHUNT

Someone trace somethings secretely but obvious big sorry!!!

FOOLISH EUROPEANS MONEY WILL COST YOU UR INTEGRITY.

FOOLISH EUROPEANS MONEY WILL COST YOU UR INTEGRITY. How Political Correctness Is Transforming British Education by Soeren Kern http://www.gatestoneinstitute.org/3170/british-education-political-correctness#.UAQtSmOuuGk.facebook In Cheshire, two students at the Alsager High School were punished by their teacher for refusing to pray to Allah as part of their religious education class. In Scotland, 30 non-Muslim children from the Parkview Primary School recently were required to visit the Bait ur Rehman Ahmadiyya mosque in the Yorkhill district of Glasgow (videos here and here). At the mosque, the children were instructed to recite the shahada, the Muslim declaration of faith which states: "There is no god but Allah and Mohammed is his messenger." Muslims are also demanding that Islamic preachers be sent to every school in Scotland to teach children about Islam, ostensibly in an effort to end negative attitudes about Muslims. British schools are increasingly dropping t...

RC AKERWA NA AJALI PWANI.

Ben Komba/Pwani-Tanzania/08/13/2012/18:20:40 Mkuu wa mkoa wa Pwani BI. MWANTUMU MAHIZA amewataka watanzania kuunga mkono hatua zinazochukuliwa na Waziri wa Miundombinu, BW. HARRISON MWAKYEMBE katika kuhakikisha suala la miundombinu na uchukuzi inakuwa katika kiwango kinachostahili ili kurahisisha usafirishaji wa abiria nchini na katika suala zima la kupunguza ajali za motokaa. BI. MAHIZA ameyasema hayo akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake leo, ambapo amesema wakati wa kufukiria njia nyingine inayopigiwa chapuo na Waziri wa Miundombinu na uchukuzi ya matumizi ya treni kwa kuanzia na jiji la Dar es Saalam na hata Mkoa mwingine wa jirani wa Pwani ni zuri na la kimaendeleo, jambo ambalo anaamini linaweza kusaidia kupunguza ajali za mara kwa mara zinazotokea katika barabara kuu ya Morogoro na ile ya Kaskazini. Mkuu wa mkoa amefika mbali na kupendekeza utaratibu wa kuwapima akili madereva kabla ya kupatiwa kibali cha kubeba abiria kwani siku hadi siku ajali zimekuwa zikio...

STOP MAASAILAND GRABBING FOR THE SAKE OF ARABS.

-------- Dear friends, At any moment, a big-game hunting corporation could sign a deal which would force up to 48,000 members of Africa’s famous Maasai tribe from their land to make way for wealthy Middle Eastern kings and princes to hunt lions and leopards. Experts say the Tanzanian President’s approval of the deal may be imminent, but if we act now, we can stop this sell-off of the Serengeti. The last time this same corporation pushed the Maasai off their land to make way for rich hunters, people were beaten by the police, their homes were burnt to a cinder and their livestock died of starvation. But when a press controversy followed, Tanzanian President Kikwete reversed course and returned the Maasai to their land. This time, there hasn’t been a big press controversy yet, but we can change that and force Kikwete to stop the deal if we join our voices now. If 150,000 of us sign, media outlets in Tanzania and around the world will be blitzed so President Kikwete gets the message ...

WAR AGAINST TERRORIS AND CLINTON AIDE

The Abedin Family’s Pro-Jihadist Journal Posted By Andrew Bostom On August 6, 2012 (Adapted from this essay [1]) Steadily burgeoning [2] evidence [3] indicates that one of Secretary of State Hillary Clinton’s closest aides, Huma Abedin, despite Ms. Clinton’s protestation [4], was inadequately vetted for either family, or personal ties to the Muslim Brotherhood. Diligent, open [5] source [2] investigation [3] has already uncovered and documented numerous alarming connections. One can reasonably infer that a serious, formal Congressional investigation of the overall extent of Muslim Brotherhood influence operations—as requested [6] by Representatives Bachmann, Gohmert, Franks, Westmoreland, and Rooney—might yield even more disturbing findings. Pending these sorely needed Congressional inquiries—replete with their probing investigative tools—much can still be gleaned from the public record. For example, over the past 33 years, Huma Abedin’s family has been responsible for the edit...

KIBAFA KUJADILI UCHAGUZI JUMAPILI

KAMATI YA UTENDAJI KIBAFA KUKETI Na Omary Mngindo, Kibaha Agosti 10 KAMATI ya Utendaji ya Chama Cha Mpira wa Miguu Wilaya ya Kibaha Mkoa wa Pwani inataraji kuketi Jumapili wiki hii kujadili mambo mbalimbali ya chama hicho. Hayo yameelezwa na Katibu wa chama hicho Kidodo Seif wakati akizungumza na waandishi wa habari mjini hapa ambapo amesema kikao hicho pia kitazungumzia masuala ya uchaguzi unaotaraji kufanyika hivi karibuni. Alisema kwamba tayari uongozi unaomaliza muda wake umeshafanya maandalizi yote ya uchaguzi na hivi sasa wanasubiri tarehe itapokuwa imefika ili zoezi hilo lfanyike na hatimaye viongozi wapya waweze kupatikana. “Chini ya Mwenyekiti wetu wa Kamati ya uchaguzi David Silaha tayari mchakato mzima wa zoezi hilo umekamilika ambapo wanamichezo zaidi ya 25 wamneshachukua fomu na kurejesha,” alisema Kidodo. Katibu huyo amewaomba viongozi wa KIBAFA kufika kwenye kikao hicho ili kupanga mikakati ya uchaguzi huo ambao unataraji kufanyika mwishoni mwa mwezi huu. Kwa upan...

BODABODA PWANI WATAKIWA KUJIPANGA.

Ben Komba/Pwani-Tanzania/09/08/2012 12:20:06 Wanajeshi na Polisi wanaomiliki pikipiki zinazofanya shughuli za uchukuzi wa abiria katika maeneo mbalimbali ya halmashauri ya mji na wilaya ya Kibaha wametakiwa kuheshimu taratibu ambazo zimewekwa na chama cha waendesha bodaboda mjini hapa. Akizungumza na waendesha pikipiki wa mjini Kibaha afisa tawala wa mkoa wa Pwani, BI. BEATHA SWAI katika ukumbi wa Mkuu wa Mkoa wa Pwani, amesema wao wanajeshi na Polisi wanatakiwa kuwa mfano bora katika kuheshimu taratibu zilizopo badala ya kutumia nafasi zao katika jamii kufanya mambo kinyume. Hivyo amewataka wamiliki hao kuwaongoza madereva wao katika kuwasisitizia kuheshimu taratibu za chama cha waendesha bodaboda na uongozi uliopo ili kuwezesha kufanya kazi hiyo kwa ufanisi na kwa kuzingatia taratibu zilizopo. BI.BEATHA ameongeza kuwa ofisi yake kwa kushirikiana na halmashauri mbili zilizopo wilayani Kibaha, kutatengwa maeneo maalum ya maegesho ya bodaboda katika kurahisisha udhibiti wa chombo hi...