YPC KUWAPA UWEZO WANAWAKE NA VIJANA PWANI


Ben Komba/Pwani-Tanzania/26-02-2019

Shirika lisilo la kiserikali la YOUTH PARTNERSHIP COUNTRYWIDE-YPC- limeandaa jukwaa kujadili nafasi ya wanawake na vijana wa kike kwenye nafasi mbalimbali za uongozi.



Mkurugenzi mtendaji wa Shirika hilo, BW.ISRAEL ILUNDE amesema washiriki wa wa jukwaa hilo ni wanawake na vijana wanaotoka katika makundi mbalimbali ya kijamii.

Lengo kubwa ni kujenga uwezo wa kiraia ili kuinua ushiriki wa wananchi hususan viajana na wanawake kwenye masuala ya umma na maendeleo kwa ujumla wake.

END

Comments

Popular posts from this blog

MAFUNZO YA UREFA