Posts

Showing posts from July, 2017

MADIWANI KIBAHA VIJIJINI WACHAGUA MAKAMU MWENYEKITI NA KAMATI

Image

BIASHARA YA KITIMOTO RUKSA KUENDELEA MJINI KIBAHA

Image

MHANDISI WA MAJI KIBAHA KIKAANGONI

Image

HALMASHAURI YA WILAYA KIBAHA YAKABIDHIWA MAGARI YA WAGONJWA

Image

HALMASHAURI YA WILAYA KIBAHA YAKABIDHIWA MAGARI YA WAGONJWA

Image

JMBAZI AUWAWA KWA UPORAJI WA KUTUMIA SILAHA

Image

MRADI REA KIBAHA VIJIJI WALEMTA MVUTANO WA KISIASA

Image

WAFANYABIASHARA NDOGO KIBAHA WAMLILIA RAIS MAGUFULI

Image

WABINAFSI WAMEZEA MATE ARDHI YA USHIRIKA WA KILIMO RUVU

Image

CHUMBA CHA KUHIFADHIA MAITI HOSPITALI YA TUMBI CHABORESHWA

Image

MWANAKIJIJI AKAMATWA KWA KUHOJI MAPATO NA MATUMIZI

Image

WAFANYABIASHARA SOKO LA JIONI MAILIMOJA WAOMBA HURUMA YA RC NDIKILO

Ben Komba/Pwani-Tanzania/06/07/2017 14:08:59 Mkuu wa mkoa wa Pwani Mhandis EVARIST NDIKILO amewataka wafanyabiashara wanaofanya biashara nyakati za jioni pembeni mwa barabara kuu ya Morogoro kuondoka ili kuwezesha kupendezesha sura ya mji wa Kibaha. Akiongea na wananchi hao katika kituo cha mabasi ya Mikoani, Kibaha Maili moja, MHANDISI NDIKILO  amesema wanatakiwa kuondoka eneo hilo ili kuwezesha kupandwa kwa majani ili kuleta sura nzuri ya Mji wa Kibaha. Hivyo amemwagiza Mkuu wa kikosi cha usalama Barabarani Mkoa wa Pwani Mrakibu msaidizi ABDI ISSANGO kuhakikisha kuwa mabasi yote ya abiria lazima yanapita katika soko lililojengwa hivi karibuni LOLIONDO kwa ajili ya kuwawezesha wafanyabiashara hao kufaidika. Kwa upande wa wafanyabiashara wenyewe wameshindwa kuelewa dhana hiyo na baadhi yao akiwamo BI. STELLA PETER amesema kuwa wao wenyewe ndio wanaofanya biashara katika Soko la Loliondo na wanahamia eneo hilo la barabarani muda wa soko unapoisha saa kumi na mbili ji...

VIONGOZI WATAKIWA KUSIMAMIA NIDHAMU KITUO CHA MABASI MLANDIZI

Ben Komba/Pwani-Tanzania/04/07/2017 13:33:28 Katika kuhakikisha kunakuwepo na amani na usalama katika kituo cha mabasi cha Mlandizi chama cha madereva na makondakta wa mabasi ya abiria ya Dar-es-Saalam kuelekea maeneo ya Mkoa wa Pwani wamechagua viongozi ambao watakuwa na jukumu la kusimamia nidhamu katika kituo hicho. Uchaguzi hiyo umefikiwa baada ya Diwani wa Kata ya Janga BW. CHANDE MWALIKA kupokea malalamiko mbalimbali kutoka kwa wananchi ambayo yanayohusiana na kero zinazosababishwa na wapiga debe wanaofanyakazi kiholela katika eneo hilo. BW.MWALIKA amesema kuwa kwa kuliona hilo amechukua hatua hiyo ya kuwaita makondakta na   ili kupata mwafaka juu ya kupunguza wimbi la vijana wa kihuni ambao wamejiunga kiholela na kazi ya kupiga debe na hivyo kuwadhalilisha abiria hususan wa kike wanapofika eneo hilo kwa ajili ya huduma ya usafiri. Viongozi waliochaguliwa katika kipindi cha mpito ni Mwenyekiti BW. RICHARD MILINGA na Makamu mwenyekiti  ni BW. BARNAB...

WANANCHI WATAKIWA KUSHIRIKI MAPAMBANO DHIDI YA RUSHWA

Ben Komba/Pwani-Tanzania/01/07/2017 11:19:32 Wananchi nchini wametakiwa kutoa ushirikiano katika kusaidia juhudi za serikali katika mapambano dhidi  ya rushwa ili kuleta matokeo yanayotarajiwakatika vita hivyo. Mwezeshaji katika jukwaa la ufahamu la kiraia la kila mwisho wa mwezi  linaloandaliwa na asasi ya kiraia ya YOUTH PARTNERSHIP COUNTRYWIDE-YPC-, BW.ISRAEL ILUNDE amesema ili mapambano hayo yafanikiwe wananchi hawana budi kutoa ushirikiano wa hali na mali ili kufanikisha malengo hayo. BW.ILUNDE amesema kuwa  nafasi ya umma katika mapambano hayo ni kubwa kwa wenyewe kuwa utayari katika kutokubali kuyakaribisha wao binafsi katika ushiriki wa vitendo vya upokeaji na utoaji rushwa ili kuziba mianya ya inayosababisha uwepo wa rushwa nchini. Akitoa mfano wan chi ya Rwanda kupitia taasisi yao ya kupambana na rushwa OMBUDSMAN ambayo imekuwa ikishirikisha watu makundi yote ya kijamii katika kuwaunganisha bila kujali nafasi zao katika jamii. Mshiriki kati...