Posts

Showing posts from April, 2016

Hide blue ticks in whatsapp.

Image
In  your mobile go to  settings->security->Check Unknown Sources , ” Don’t be afraid” – we are doing this because, we are installing an app not from google play. But, from other means this app is 100% secure. Open the latest version of WhatsApp  in  your phone and install it. Open WhatsApp, click on the three vertical dots. Goto   Settings->Accounts->Privacy. Uncheck Read receipts. As shown below in the image. Following this will stop showing your read receipts to the users for sure.

KMS windows activator.

Image
Windows 8 or windows 8.1 now become the most popular and widely downloaded operating system in the world, but also much expensive too. So people tend to search windows 8 product key, windows 8.1 activation keys, windows 8 product key generator in order to activate any version of windows 8 or windows 8.1.  But most of the time in the name of windows 8 serial number, windows 8 keygen and windows 8 or 8.1 activator you will only be able to find a software program that actually not work or carry a bunch of virus.  So in order to activate your windows 7, windows 8, windows 8.1 pro and also Microsoft office 2010 and office 2013 we are going to share all in one KMS activator that will activated all your Microsoft product. KMSpico is a software tool that is commonly used to activate or generate keys for any version of windows and Microsoft office.  Below are two downloadable files each containing separate KMS activator and KMSpico. Please follow the instructions in notepad fi...

VIDEO-HUDUMA ZA WAGONJWA WA KUSENDEKA MAJUMBANI KIBAHA ZAZOROTA

Image
Ben Komba/Pwani-Tanzania/20/04/2016 13:06:37 Imegundulika mjini Kibaha kuwa mradi wa kuwasaidia wagonjwa walio majumbani ambao ulikuwa unasimamiwa na chama cha msalaba mwekundu Tanzania umeshindwa kukidhi mahitaji ya wagonjwa ambao walikuwa wanalengwa. Kwa mujibu wa watoa huduma majumbani ambao mwandishi wa habari hizi amefanikiwa kuongea nao, Mmoja wao BW. RAJAB NGONJI ameeleza yeye amekuwa akifanya kazi hiyo kwa takriban miaka kumi lakini anachokiona sasa ni tofauti sana na awali. Bw. NGONJI  amesema mradi huo unaofadhiliwa EGPAF na PATHFINDER na kusimamiwa na Chama cha Msalaba mwekundu umekuwa ukiendeshwa kwa kuangalia zaidi gharama za uendeshaji wa Ofisi na kujilipa mishahara na posho na kuwaacha wagonjwa wanaangamia majumbani kwa kukosa madawa na lishe. BW. NGONJI ameongeza kuwa hapo awali wagonjwa walikuwa wanapatiwa misaada mbalimbali ikiwamo na madawa, kitu ambacho sasa hakuna na hivyo kuwafanya wagonjwa kunufaika kidogo na msaada unaotolewa kwao. Naye...

Father Kidevu: TAARIFA YA LUGUMI HII HAPA

Father Kidevu: TAARIFA YA LUGUMI HII HAPA

LICHA KUPEWA KIPAUMBELE WAGONJWA WA UKIMWI WAKOSA HUDUMA MUHIMU

Ben Komba/Pwani-Tanzania/20/04/2016 13:06:37 Imegundulika mjini Kibaha kuwa mradi wa kuwasaidia wagonjwa walio majumbani ambao ulikuwa unasimamiwa na chama cha msalaba mwekundu Tanzania umeshindwa kukidhi mahitaji ya wagonjwa ambao walikuwa wanalengwa. Kwa mujibu wa watoa huduma majumbani ambao mwandishi wa habari hizi amefanikiwa kuongea nao, Mmoja wao BW. RAJAB NGONJI ameeleza yeye amekuwa akifanya kazi hiyo kwa takriban miaka kumi lakini anachokiona sasa ni tofauti sana na awali. Bw. NGONJI  amesema mradi huo unaofadhiliwa EGPAF na PATHFINDER na kusimamiwa na Chama cha Msalaba mwekundu umekuwa ukiendeshwa kwa kuangalia zaidi gharama za uendeshaji wa Ofisi na kujilipa mishahara na posho na kuwaacha wagonjwa wanaangamia majumbani kwa kukosa madawa na lishe. BW. NGONJI ameongeza kuwa hapo awali wagonjwa walikuwa wanapatiwa misaada mbalimbali ikiwamo na madawa, kitu ambacho sasa hakuna na hivyo kuwafanya wagonjwa kunufaika kidogo na msaada unaotolewa kwao. Naye ...

VIDEO=PCCB PWANI TAARIFA YA ROBO MWAKA

Image
Ben Komba/Pwani-Tanzania/13/04/2016 15:52:46 Ofisi ya TAKUKURU (M) Pwani katika kipindi cha robo  ya kwanza ya mwaka 2016 imefanikiwa kutekeleza majukumu yake katika kuielimisha jamii na kufanya uchunguzi wa tuhumaa mbalimbali zinazohusiana na rushwa. Kamanda wa TAKUKURU mkoa wa Pwani, BI. SUZAN RAYMOND amezungumza hayo wakati wa kikao na waandishi wa habari katika ofisi za taasisi hiyo mjini Kibaha, amesema katika mkipindi hicho taasisi hiyo imefanya uchunguzi na uchambuzi wa mifumo kwa lengo la kubaini mianya ya rushwa na kutoa ushauri wa namna ya kuiziba katika taasisoi na idara mbalimbali. BI.SUZAN ameongeza kwamba katika kipindi hicho ofisi yake imepokea malalamiko 64 kati ya hayo 49 yanahusiana na vitendo bvya rushwa na uchunguzi wake unaendelea na malalamiko 15 hayakuhusiana na vitendo vya rushwa ambapo walalamikaji  walishauriwa kupeleka kero zao katika idara husika. Kamanda huyo wa TAKUKURU Mkoa wa Pwani BI SUZAN RAYMOND ametaja kama serikali za mi...

PCCB PWANI YATOA RIPOTI YA ROBO YA KWANZA 2016

Ben Komba/Pwani-Tanzania/13/04/2016 15:52:46 Ofisi ya TAKUKURU (M) Pwani katika kipindi cha robi ya kwanza ya mwaka 2016 imefanikiwa kutekeleza majukumu yake katika kuielimisha jamii na kufanya uchunguzi wa tuhumaa mbalimbali zinazohusiana na rushwa. Kamanda wa TAKUKURU mkoa wa Pwani, BI. SUZAN RAYMOND amezungumza hayo wakati wa kikao na waandishi wa habari katika ofisi za taasisi hiyo mjini Kibaha, amesema katika mkipindi hicho taasisi hiyo imefanya uchunguzi na uchambuzi wa mifumo kwa lengo la kubaini mianya ya rushwa na kutoa ushauri wa namna ya kuiziba katika taasisoi na idara mbalimbali. BI.SUZAN ameongeza kwamba katika kipindi hicho ofisi yake imepokea malalamiko 64 kati ya hayo 49 yanahusiana na vitendo bvya rushwa na uchunguzi wake unaendelea na malalamiko 15 hayakuhusiana na vitendo vya rushwa ambapo walalamikaji  walishauriwa kupeleka kero zao katika idara husika. Kamanda huyo wa TAKUKURU Mkoa wa Pwani BI SUZAN RAYMOND ametaja kama serikali za mitaa ndio k...

UHURU WA HABARI HATARINI,

Ben Komba- Katibu Chama Cha Waandishi Habari,Pwani Hatua ya Rais Magufuli kuleta mabadiliko ya kijamii kwa Watanzania kwa sasa inaonyesha kuna baadhi ya watu wanapotosha dhana nzima ya kwa kuiga aina ya utendaji kazi ambayo sio asili yao na matokeo yake kuna wananchi maskini ambao ndio waliolengwa kusaidiwa na juhudi za Rais kuwaondolea adha ndio wanaoumizwa na waigizaji. Tunashuhudia baadhi ya Mawaziri wa awamu ya tano wakipita huko na huko kuwajengea wananchi hofu kwa kutoa kauli ambazo zenyewe tu zinaonekana hazijaenda shule, kwa ajili tu labda kupitia mchakato wa kidemokrasia kandamizi wamebahatika kugawiwa vyeo ambavyo hawastahili. Kwanza nikianzia suala la bomoabomoa ambalo wenyewe wanadai limelenga kuhakikisha maeneo ya wazi ambayo yamevamiwa na kujengwa nyumba kinyume cha taratibu linafanyika bila kufuata taratibu za kiutu na kuwasababishia wananchi umaskini zaidi, kutokana na baadhi ya watendaji kuingiza masuala binafsi wakati wa utekelezaji wa zoezi hilo. Bi...