CCM WAVUANA NGUO KIBAHA.
Ben Komba/PWANI-TANZANIA/22-05-2014/14:13 Chama cha mapinduzi Kata ya Mailimoja kinaingia katika uchaguzi mdogo kujaza nafasi ya Katibu mwenezi wa Kata hiyo, kufuatia kuondolewa kwa aliyekuwa anashikilia nafasi kwa tuhuma mbalimbali. Kutrokana na kuondolewa Katibu Mwenezi wa awali, BW.SEBASTIAN MAGANGA ambaye kwa sasa amebadilisha makazi kuylisababisha nafasi hiyo kuwa wazi na hivyo kukilazimu chama kutisha ucahaguzi mdogo. Ambapo wagombea watatu wamejitokeza kugombea nafasi hiyo ambao ni BW. LAZARO RIZIKI KULIGWA, BI. ASHURA SEKELELA na BW. JACOB ambao ewanatarajiwa kupambana katika uchaguzi ambao utafanyika jumapili Mei 25. Mmoja wa wagombea ambao nimeongea nao, BW.LAZARO KULIGWA amesema yeye kwa upande wake ana uzoefu wa kutosha katika shughuli za chama na ana uhakika akipata nafasi ya kucchaguliwa atakisaidia chama kuhakikisha kinaingiza wanachama wengi zaidi. BW.KULIGWA amewataka wagombea wenzake kufanya kampeni za kistaarabu ili kuwezesha kufanyik...