#BreakingNews: Jeshi la Polisi wilaya ya Kipolisi Kawe @tanpol limemkamata mwanahabari wetu wa @MgaweTv ndugu Harlod Shemsanga aliyekuwa katika majukumu yake ya kazi, pamoja na wanachama wa BAWACHA wakidaiwa kufanya mazoezi ya viungo (jogging) bila kibali. #MgaweTvNews https://t.co/Qt4x3Ydylj