Posts

Showing posts from October, 2016

RAIS MAGUFULI ANAZIDI KUOMBEWA MAKANISANI

Image

MAPATO YALETA KIZAAZAA BAGAMOYO

Image

WIZARA YA KILIMO MIFUGO NA UVUVI IYASITISHA KUPIGA CHAPA MIFUGO PWANI.

Image

TAWI LA YANGA KIBAHA KWA MFIPA LAMUUNGA MKONO MANJI.

Image

MABANGO YAANIKIZA MKUTANO WA MKUU WA MKOA PWANI

Image

MIUNDOMBINU SHULE ZA MSINGI MJINI KIBAHA IPO HOI.

Image

WANANCHI WAJITOLEA KUCHIMBWA BWAWA BAGAMOYO

Image

MUHTASARI WAZUA SINTOFAHAMU RUVU DARAJANI BAGAMOYO

Image

BARABARA ZA KULIPIA KUJENGWA NCHINI

Image

BARABARA ZA KULIPIA KUJENGWA NCHINI

Image

HUKUMU KESI YA WALIOKUWA WAFANYAKAZI HALMASHAURI YA MJI KIBAHA.

Image

MWANAMKE AKAMATWA AKITOA MAFUNZO YA KIGAIDI KWA WATOTO BAGAMOYO

Ben Komba/Pwani-Tanzania/06/10/2016 06:04:43 Jeshi la Polisi katika mkoa wa Pwani linamshikilia mwananchi mmoja mkazi wa eneo la Kimarang’ombe Kata ya Nianjema, Tarafa ya Mwambao Wilaya ya Bagamoyo kwa kosa kutoa mafunzo yanayohusiana na uhalifu  kwa watoto  wadogo. Taarifa ya Jeshi la Polisi iliyotolewa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, BOINVENTURE MUSHONGI imemtaja BIBI.ASHURA SAID ambaye ni Mwalimu wa madrassa ya Al rahma alinasa katika mtego wa Polisi kufuatia taarifa ambazo walipata kutoka kwa wananchi juu ya vitendo vyake  vya kuwapa kasumba ya chuki watoto hao. Kamanda MUSHONGI ameongeza baada ya kupata taarifa hizo Polisi walifanya uvamizi wa kustukiza na kumpekua mtuhumiwa huyo na kufanikiwa kumkuta na bomu moja la moshi lenye namba G2020C SS-STCS katika makazi yake. Amebainisha kuwa uchunguzi wa awali unaonyesha makazi hayo ambayo BIBI.ASHURA SAID alikuwa anaishi ni mali ya Taasisi ya kiislamuya AKHA LAAGUL ISLAM ambayo imesajiliwa kwa lengo l...