VIDEO-BABU MLEZI AZAA NA YATIMA ANAOWALEA
Ben Komba/Pwani-Tanzania/11/5/2015 7:47:04 PM Katika hali isiyo ya kawaida suala la kutunza watoto yatima katika jamii limeingia mdudu kufuatia mmoja ya wanajamii ambao wanajinasibu kulea watoto yatima baadhi yao wametumia nafasi hiyo kukidhi mahitaji yao ya kimwili. Hali hiyo imedhihirika hivi karibuni kufuatia mlezi wa watoto yatima, BW.JOSEPH BAGULE kuamua kuanza kutembea na watoto anaowatunza na kuzaa nao, hali ambayo imesababisha wanajamii kustusha wakazi na wanajamii wa mtaa wa Pangani halmashauri ya mji wa Kibaha na kuamua kuchukua hatua. Mjumbe wa serikali ya mtaa BW.EMMANUEL SWAI akizungumza na mwandishi wa Habari hizi, amebainisha kuwa kwa muda mrefu wao kama wakazi wa mtaa wa Pangani wamekuwa wanashangazwa na huruma ambayo mzee BAGULE amabyo amekuwa akionyesha kwa watoto yatima ilihali akiwa anakiuka taratibu zxa kuwalea watoto hao na kuamua kuwafanya baadhi yao wake zake. Kwa mujibu wa wakazi wa mtaa huo, Mzee Josaeph Bagule amekuwa akiwatumia watoto ambao a...